Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Vipi kwa wengine wenye makosa yanayodhaminika?Mbinu aliyoitumia kumtoa MBOWE na kina @adamo aitumie hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kwa wengine wenye makosa yanayodhaminika?Mbinu aliyoitumia kumtoa MBOWE na kina @adamo aitumie hiyo.
Ndio Chadomo MkuuChadomo ndio nini?
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.Kwa MBOWE alihusikaje na kesi ilikuwa ikirindima mahakamani?
Mzee wacha akae ale na pasaka huko naona alidhani anawatu huwezi kwenda kwenye mitandao ukashutumu idara ya usalama na Raisi hadharani kwa rushwa bila kuwa na uthibitisho, eti nimeambiwa na mwana usalama mmoja halafu uachwe salama. Mzee mnafiki ni huyu huyu alimchongea Mbowe kwa JPM akatiwa ndani na siku alihojiwa akasema mahakama iachwe kufanya maamuzi. Sasa unafiki umefika mwisho wako wapi wafuasi wake wa kwenye mitandao? serikali ikitaka inakujia tu....akitoka hakumbuki hata nyumba yake ipo wapi.....Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine.
MBOWE na kina @adamoo walipokuwa wakihenyeshwa na kesi ya ugaidi, rais aliweza kuingilia muhimili wa Mahakama na kuamuru kesi ya MBOWE na wenzake ifutwe.
Kesi ikafutwa, kituo cha kwanza cha MBOWE ikawa ni kwenda ikulu.
Mzee Slaa ana miaka 76, yuko magerezani, anasota, je mama huyu mpenda haki, ambaye ana taasisi ya kisheria ya kupania haki kwa wanyonge, anashindwaje kumtoa Slaa jela?
Slaa atoke jela, kesi yake iendelee akiwa uraiani.
Huo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.
Bahati aloyoipata Mbowe ndiyo license ya Slaa?Kwa hiyo MBOWE sio mwananchi wa kawaida?
Yote tunayajuwa hayo atakaa mpaka maji aite mmaaa, mzee mnafiki sana sura yake tu unajuwa mwanga na mdini.Issue kubwa ni kwamba kosa wanalomtuhumu lina dhamana pia bado wanaomtuhumu hawajakamilsha ushahidi sasa kwanini bado anaendelea kukaa rumande?
Umeelewa hapo kipara cha zamani?
YEYE SILAA SI ANAJIFANYA CHA MDOMO,Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine.
MBOWE na kina @adamoo walipokuwa wakihenyeshwa na kesi ya ugaidi, rais aliweza kuingilia muhimili wa Mahakama na kuamuru kesi ya MBOWE na wenzake ifutwe.
Kesi ikafutwa, kituo cha kwanza cha MBOWE ikawa ni kwenda ikulu.
Mzee Slaa ana miaka 76, yuko magerezani, anasota, je mama huyu mpenda haki, ambaye ana taasisi ya kisheria ya kupania haki kwa wanyonge, anashindwaje kumtoa Slaa jela?
Slaa atoke jela, kesi yake iendelee akiwa uraiani.
Huo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.
Kwahiyo hakuna utawala wa sheria hadi mnasema bali kukomoana?Yote tunayajuwa hayo atakaa mpaka maji aite mmaaa, mzee mnafiki sana sura yake tu unajuwa mwanga na mdini.
Adhabu waliompa inatosha wamsamehe anatia huruma kwa umri wake.Mzee wacha akae ale na pasaka huko naona alidhani anawatu huwezi kwenda kwenye mitandao ukashutumu idara ya usalama na Raisi hadharani kwa rushwa bila kuwa na uthibitisho, eti nimeambiwa na mwana usalama mmoja halafu uachwe salama. Mzee mnafiki ni huyu huyu alimchongea Mbowe kwa JPM akatiwa ndani na siku alihojiwa akasema mahakama iachwe kufanya maamuzi. Sasa unafiki umefika mwisho wako wapi wafuasi wake wa kwenye mitandao? serikali ikitaka inakujia tu....akitoka hakumbuki hata nyumba yake ipo wapi.....
yupo ndani kisheriaKwahiyo hakuna utawala wa sheria hadi mnasema bali kukomoana?
Atatoka uchaguzi ukiisha 2026Adhabu waliompa inatosha wamsamehe anatia huruma kwa umri wake.
Haki sawa kwa woteBahati aloyoipata Mbowe ndiyo license ya Slaa?
Ni Lugha GANI hiyo? Inatumika wapi?Ndio Chadomo Mkuu
KiswahiliNi Lugha GANI hiyo? Inatumika wapi?
hili neno naunga mkono hoja Asante Rais Samia kwa kuwasisitiza watendaji wa vyombo vya haki kuwa haki sio hisani, bali ni stahiki. Watende haki, tubadili Katiba kurudisha hakiHuo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.
Cha China bila shakaKiswahili
Kama nakumbuka vizuri, huyo mama alimtaja kwa jina mzee Slaa, kuwa intelejensia yao imebaini anataka kufanya vurugu. Kuna vitu akivifanya au kuvisema rais, ujue vinatoa maagizo fulani kwa wahusika washiriki wake. Kuwepo ndani kwa huyu mzee, ni agizo la moja kwa moja la rais, hata kama hakuna maneno ya moja kwa moja.Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine.
MBOWE na kina @adamoo walipokuwa wakihenyeshwa na kesi ya ugaidi, rais aliweza kuingilia muhimili wa Mahakama na kuamuru kesi ya MBOWE na wenzake ifutwe.
Kesi ikafutwa, kituo cha kwanza cha MBOWE ikawa ni kwenda ikulu.
Mzee Slaa ana miaka 76, yuko magerezani, anasota, je mama huyu mpenda haki, ambaye ana taasisi ya kisheria ya kupania haki kwa wanyonge, anashindwaje kumtoa Slaa jela?
Slaa atoke jela, kesi yake iendelee akiwa uraiani.
Huo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.
Babu wa miaka 76 atafanya vurugu GANI?Kama nakumbuka vizuri, huyo mama alimtaja kwa jina mzee Slaa, kuwa intelejensia yao imebaini anataka kufanya vurugu. Kuna vitu akivifanya au kuvisema rais, ujue vinatoa maagizo fulani kwa wahusika washiriki wake. Kuwepo ndani kwa huyu mzee, ni agizo la moja kwa moja la rais, hata kama hakuna maneno ya moja kwa moja.