Pre GE2025 Je, ni kwamba Rais hajui kuwa Dkt. Slaa anasota jela kwa makosa yanayo dhaminika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Adabu kwa kosa gani, mnamshikisha adabu kwa kosa ambalo bado lina dhamana na bado mahakama ilidai bado uchunguzi haujakamilika na mtu anashikiliwa kwa kosa lenye dhamana, akili za wapi hizo?

Nenda Kenya hapo ujifunze standards za kimahakama.
Hamia Kenya
 
Raisi anahusikaje na mahakama si mwanasheria yule ajitoe!

Kwani huko mahakamani unafikiri alifikaje? Unafikiri kweli kituo cha police Mbweni wanaweza kwenda kumkamata Solaa saa 7:00 usiku bila maelekezo kutoka juu...!?

Kinachoendelea kwa sasa is "In The Name of The President". Period.
 
Wapo wengi jela na kesi zao zinaweza kuthaminiwa...sasa tumuombe Mh. Rais awaachie basi
 
Reactions: Tui
Yaani mfanye makosa mtegemee kutolewa kwa huruma.Asote akome kuropoka.Wacha sheria ichukue mkondo wake.Unavuna unachopanda.
 
Nenda kamdhamini unalialia nini JF?Kosa si lina dhamana nenda kamdhamini.
Wapo waliokwenda kumdhani wamezuiliwa na kwani niliposema kosa lina dhamana ni lazima nikamdhamini mimi?
 
Mnataka rais aingilie uhuru wa mahakama?
 
Reactions: Tui
Mzee wanamtesa Tu hapa inatakiwa kupaza sauti Hadi watu wa Haki za binadamu watoe tamko kama walivyotoa kwa Uganda kumuachia kiiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…