FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tumeshuhudia vichochoro vingi huko Sinza na Kinondoni vikipigwa lami mwanzo mwisho, tena havina umuhimu wowote, maana vingi ni dead ends zinazoishia kwenye mageti ya watu.
Sasa najiuliza, iweje barabara muhimu kama ile ya maji chumvi kuelekea Kimanga inayotumiwa na malaki ya raia wa T/Kimanga ikakosa lami?! Why?
Yaani daladala inatoka mawasiliano kwenda Kimanga halafu inapitia bima hebu ingieni google map muone jinsi Kimanga na Mawasiliano palivyo karibu, hata kwa mguu unafika, lakini gari inatembea umbali kama Dar- Bagamoyo, why?