Je, ni kwanini Japan tunayoambiwa ina uchumi mkubwa na maendeleo inagandamiza abiria kwenye treni kama viazi ulaya?

Wajapan wako busy sana na daima wanaona muda hauwatoshi ndio maana hako tayari kuachwa na treni
Kwahiyo ukiwa na haraka ndio unakuwa na utamaduni wa ufukara? Wananchi wana haraka kote duniani, lakini hali ya kishindwa kuweka treni za kutosha ni umasikini wa hali ya juu.

Ni kama huku tunavyoshindwa kuweka mwendokasi za kutosha, ni umasikini tu
 
Mzee Japan ni nchi yenye uchumi mkubwa sana, suala unalo ongelea ww sio kipimo cha uchumi wao.
Hata mataifa kama marekani na china kuna muda mabasi/treni zinajaa na watu wanasimama vizur tuu, kama ulidhani hizi nchi za uchumi mkubwa kwamba watu hawasimami kweny public transport bac nikushauri tuu ongeza exposure.
 
Kumbe kushindiliwa hivyo ni ufahari? Basi hata huku tukiona watu wanalala kwenye nyumba za mbavu za mbwa wakisema ni ufahari itabidi tukubali tu, si ndio?
Uko brainwashed kwamba chochote cha magharibi ndio bora
 
Mzee Japan ni nchi yenye uchumi mkubwa sana, suala unalo ongelea ww sio kipimo cha uchumi wao.
Hata mataifa kama marekani na china kuna muda mabasi/treni zinajaa na watu wanasimama vizur tuu, kama ulidhani hizi nchi za uchumi mkubwa kwamba watu hawasimami kweny public transport bac nikushauri tuu ongeza exposure.
Mimi siongelei kusimama kwenye usafiricwa umma. Nazungumzia ufukara mkubwa unaoonekana kwenye video clip ndani ya nchi yenye uchumi mkubwa wa kutisha.

Sikujua mtu anaweza akawa tajiri wa kutisha na akaishi katika ufukara wa kutupwa. Imagine hii ingekuwa ni treni ya waAfrika uone jinsi maneno ‘Umasikini’ na ‘Ufukara’ yatakavyotumika.
 
Japan wanaitwa Passenger Pusher na hawa waliwekwa miaka mingi nyuma ili kusaidia wasafiri kuingia haraka wakati wa Rush hours wakiwa wanawahi makazini

Hata New York wapo pia na inaitwa Step lively ilianza mwaka 1908 ila Japan walianza 1964 wakati wa Summer Olympics

Sio umasikini bali wanajali mda zaidi naona mdau kaandika hapo juu
 
Mwendokasi za Dar huwa tunajali muda au ni ufukara ndio unasababisha kujazana kama panya?
 
Uko sahihi sana, ila ni vigumu kwa mswahili kukuelewa.
 
Mwendokasi za Dar huwa tunajali muda au ni ufukara ndio unasababisha kujazana kama panya?
Ni tofauti kubwa sana ya hizi nchi mbili
Mwendokasi kama itaboreshwa na kuongeza huduma za mabasi
Lakini pia rush hours kila sehemu ni hivyo especially kwenye miji mikubwa kama Dar ambapo watu wengi wanaenda mjini kwa ajili ya biashara zao au kazi kwa ujumla
Sio lazima umasikini hata London kuna wakati unabanwa kwenye underground mpaka unakoma
 
Visiwa vidogo sana vile, wasingeweza kujenga reli kila sehemu hivyo, wanalazimika kutumia hicho walichonacho. hawawezi kupanua reli wala kupanua treni.
kupunguza hilo tatizo waweke mahitaji muhimu kila kona ya nchi ili kupunguza watu kusafiri kutoka eneo moja kwenda jingine.
 
Mwendokasi kushindwa kuboreshwa kwa kuongeza hizo huduma za basi ndio ufukara wenyewe huo, ni umasikini tu unatusumbua.

Ila kwa Japan sasa, ni matajiri, ila nao wanaishi katika lindi la ufukara kwa kushindwa kuongeza huduma za treni
 
Visiwa vidogo sana vile, wasingeweza kujenga reli kila sehemu hivyo, wanalazimika kutumia hicho walichonacho. hawawezi kupanua reli wala kupanua treni.
kupunguza hilo tatizo waweke mahitaji muhimu kila kona ya nchi ili kupunguza watu kusafiri kutoka eneo moja kwenda jingine.
Kwahiyo ni matajiri wanaoishi kwenye lindi la ufukara kwa kushindwa kuongeza treni kwenye reli hizo hizo zilizopo
 
Back
Top Bottom