Je, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video?
View: https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn
JIbu unalo wao wanagandamizana kwenye treni huko kwenu bongo munagandamizana kwenye mabasi ya kizamani vumbi tupu na wizi uliokithiri