FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kila sehemu na utamaduni wake, Wajapan hawana muda wa kupotezaJe, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video?
View: https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn
Utamaduni au umasikini?Kila sehemu na utamaduni wake
Wajapan wako busy sana na daima wanaona muda hauwatoshi ndio maana hako tayari kuachwa na treniUtamaduni au umasikini?
Kwahiyo ukiwa na haraka ndio unakuwa na utamaduni wa ufukara? Wananchi wana haraka kote duniani, lakini hali ya kishindwa kuweka treni za kutosha ni umasikini wa hali ya juu.Wajapan wako busy sana na daima wanaona muda hauwatoshi ndio maana hako tayari kuachwa na treni
Wewe unaona ufukara ila kwao ni fahariKwahiyo ukiwa na haraka ndio unakuwa na utamaduni wa ufukara? Wananchi wana haraka kote dunini, lakini hali yankushindwa kuweka treni za kutosha ni umasikini wa hali ya juu.
Kumbe kushindiliwa hivyo ni ufahari? Basi hata huku tukiona watu wanalala kwenye nyumba za mbavu za mbwa wakisema ni ufahari itabidi tukubali tu, si ndio?Wewe unaona ufukara ila kwao ni fahari
Unaweza kuambiwa ni wapinzani wanaichafua Japani🤣Je, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video?
View: https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn
Mzee Japan ni nchi yenye uchumi mkubwa sana, suala unalo ongelea ww sio kipimo cha uchumi wao.Kwahiyo ukiwa na haraka ndio unakuwa na utamaduni wa ufukara? Wananchi wana haraka kote duniani, lakini hali ya kishindwa kuweka treni za kutosha ni umasikini wa hali ya juu.
Ni kama huku tunavyoshindwa kuweka mwendokasi za kutosha, ni umasikini tu
Uko brainwashed kwamba chochote cha magharibi ndio boraKumbe kushindiliwa hivyo ni ufahari? Basi hata huku tukiona watu wanalala kwenye nyumba za mbavu za mbwa wakisema ni ufahari itabidi tukubali tu, si ndio?
Mimi siongelei kusimama kwenye usafiricwa umma. Nazungumzia ufukara mkubwa unaoonekana kwenye video clip ndani ya nchi yenye uchumi mkubwa wa kutisha.Mzee Japan ni nchi yenye uchumi mkubwa sana, suala unalo ongelea ww sio kipimo cha uchumi wao.
Hata mataifa kama marekani na china kuna muda mabasi/treni zinajaa na watu wanasimama vizur tuu, kama ulidhani hizi nchi za uchumi mkubwa kwamba watu hawasimami kweny public transport bac nikushauri tuu ongeza exposure.
Wapi nimesema ni bora? Mimi nimehoji matajiri kuishi katika lindi la umasikini wa kutupwaUko brainwashed kwamba chochote cha magharibi ndio bora
Mwendokasi za Dar huwa tunajali muda au ni ufukara ndio unasababisha kujazana kama panya?Japan wanaitwa Passenger Pusher na hawa waliwekwa miaka mingi nyuma ili kusaidia wasafiri kuingia haraka wakati wa Rush hours wakiwa wanawahi makazini
Hata New York wapo pia na inaitwa Step lively ilianza mwaka 1908 ila Japan walianza 1964 wakati wa Summer Olympics
Sio umasikini bali wanajali mda zaidi naona mdau kaandika hapo juu
Japan wanaitwa Passenger Pusher na hawa waliwekwa miaka mingi nyuma ili kusaidia wasafiri kuingia haraka wakati wa Rush hours wakiwa wanawahi makazini
Hata New York wapo pia na inaitwa Step lively ilianza mwaka 1908 ila Japan walianza 1964 wakati wa Summer Olympics
Sio umasikini bali wanajali mda zaidi naona mdau kaandika hapo juu
No hurry in Africa au sio MkuuUko sahihi sana, ila ni vigumu kwa mswahili kukuelewa.
Ni tofauti kubwa sana ya hizi nchi mbiliMwendokasi za Dar huwa tunajali muda au ni ufukara ndio unasababisha kujazana kama panya?
Mwendokasi kushindwa kuboreshwa kwa kuongeza hizo huduma za basi ndio ufukara wenyewe huo, ni umasikini tu unatusumbua.Ni tofauti kubwa sana ya hizi nchi mbili
Mwendokasi kama itaboreshwa na kuongeza huduma za mabasi
Lakini pia rush hours kila sehemu ni hivyo especially kwenye miji mikubwa kama Dar ambapo watu wengi wanaenda mjini kwa ajili ya biashara zao au kazi kwa ujumla
Sio lazima umasikini hata London kuna wakati unabanwa kwenye underground mpaka unakoma
Kwahiyo ni matajiri wanaoishi kwenye lindi la ufukara kwa kushindwa kuongeza treni kwenye reli hizo hizo zilizopoVisiwa vidogo sana vile, wasingeweza kujenga reli kila sehemu hivyo, wanalazimika kutumia hicho walichonacho. hawawezi kupanua reli wala kupanua treni.
kupunguza hilo tatizo waweke mahitaji muhimu kila kona ya nchi ili kupunguza watu kusafiri kutoka eneo moja kwenda jingine.