5 5520 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 849 Reaction score 1,482 Oct 1, 2023 #61 FRANCIS DA DON said: Je, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video? View: https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn Click to expand... JIbu unalo wao wanagandamizana kwenye treni huko kwenu bongo munagandamizana kwenye mabasi ya kizamani vumbi tupu na wizi uliokithiri
FRANCIS DA DON said: Je, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video? View: https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn Click to expand... JIbu unalo wao wanagandamizana kwenye treni huko kwenu bongo munagandamizana kwenye mabasi ya kizamani vumbi tupu na wizi uliokithiri
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Oct 1, 2023 Thread starter #62 bongo dili said: Japan hakuna masikini Click to expand... Upo ufukara wa kutisha kwenye usafiri wa treni
bongo dili said: Japan hakuna masikini Click to expand... Upo ufukara wa kutisha kwenye usafiri wa treni