FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ni daladala au mabasi ya mkoani?Duh nunua mkuu mbona kuna Mabasi ya Zuberi na Super najmunisa tangu nimezaliwa nimeyakuta na bado yapo
Ku maintain magari ya biashara hususan ya usafiri wa watu si jambo rahisi!
Gari linapotumika mara kwa mara wear and tear yake nayo ni kubwa.
Kukiwepo na wear and tear maana yake lazima iwepo na repair.
Na repair za magari si hela ndogo.
Kwanza umeongea uongo dhahiri.
Kila anayeanzisha biashara ya daladala lazima ife????
Hizo daladala zilizojaa miji Mwanza, Dar, Arusha, Morogoro zinamilikiwa na Masokwe?????
ni mkoani, daladala zinachoka haraka mkuu, bora hata iwe inapga route za Mbezi-Mlandiz, Chalinze, msata,Ni daladala au mabasi ya mkoani?
Anzisha ili ujue amemaanisha nini
Tupeane hizo mbinu wanazotumia wapemba..mbona wapemba hawajawahi kufilisika na ndio wanaongoza hapa mjini kumiliki daladala nyingi
mpemba mmoja unakuta ana daladala 20
Kwahiyo route fupi fupi zinachangamoto ya kuchakaza gari sio..ni mkoani, daladala zinachoka haraka mkuu, bora hata iwe inapga route za Mbezi-Mlandiz, Chalinze, msata,
Kaa na dereva kisha zungumza nae mawili matatu kuhusu kazi ya daladala..grammar ilotumika kwenye lugha ya heding isikutie upofu...boya weweHizo zinazozagaa barabarani zinamililiwa na Masokwe????
Mnavosema kila anayeanzisha lazima biashara ife... Hata hapa naenda kupanda Daladala.
Acheni mawazo ya kiboya nyie.
Asante kwa Maelezo mazuri kiongozi yaani umeekeweka vizuri, umeongelea kuhusu kununua second hand unatushauri nini sisi wenye mitaji midogo tukitaka kununua binafs nahiaji hiace superoofNi biashara nzuri sana kama ukinunua gari mpya, gari kama Eicher hurudisha hela kati ya miaka 1 na miezi 8_ 2yrs. Na ukiiangalia gari iliotumika miaka 2 ni bado iko poa sana! Mimi nina Eicher yenye miaka 3.9 mpaka sasa, huwa IPO servs j.Pili tu na siku zote za kazi IPO barabarani. 130,000 @ day"
Nakuhakikishia mkuu inafaida!
Wanaofilisika ni wale wanaonunua magari second hand, gari limetumika mtu karudisha hela yake na kapata na faida akiona tu injini linaanza kupungua nguvu hasubiri kufanya overhall, analiuza anapata faida zaidi na ananunua jipya lingine, anaeenda kuumia ni mnunuaji ambaye baada ya muda labda miezi 6 ya kupata hela vzr,
Linaanza season ya natengeneza mengi makubwa yanayohitaji hela nyingi na kama hakua amejipanga ndo hao wanaofilisika'
Na anaweza sema kalogwa kwsbb kila akitengeneza hiki kiazuka kile! MB🙁kwenye gari ukiona injini imechoka ujue vitu vingi vikubwa navyo vitafuatia!)
Na kitu lingine ktk daladala ni hesabu, ukiwa kubwa gari inachoka haraka sana na gari zenye hesabu ndogo ndo zile unaziona mchana imepaki wanakula,
Usiku unakuta imeoshwa vzr imepaki mapema na inakuwa haina Shida sana na trafiki (vyeti) ksb haina sababu ya kuvunja sana sheria za barabarani.
Out of contextwaambieni makonda na madereva waache kuwagegeda wanafunzi,malipo ni hapa hapa duniani..
Ndio hivyo mkuuKwahiyo route fupi fupi zinachangamoto ya kuchakaza gari sio..