Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kituo cha simu2000waambieni makonda na madereva waache kuwagegeda wanafunzi,malipo ni hapa hapa duniani..
Eicher bus ni bei gan mpya mkuuCha kwanza uwe na dereva muaminifu, aijalishi gari mpya au ya zamani, ukipata bahati mbaya ukapata dereva mbovu, anaweza akaitia mtaroni gari yako au mapato yako ukayatumia kulipia fines. Madereva wengi ni illiterate na IQ zao ni ndogo, hathamini kazi wala ajali thamani ya gari. Ni bora ukanunue shamba pengine siku moja value yake itaongezeka kuliko kufanya hiyo biashara, ila kama una insist nitafute PM nina rafiki yangu ana gari ame pack huu mwaka mzima sasa na haina tatizo lolote kubwa
Kiongozi kama una mtaji ndogo sio lazima ununue gari, unaweza kudhamini gari lililomshinda mwenyewe, na hii ndo njia ya uhakika ya kupata faida, unaweza ukawekeza labda laki sita kwa makubaliano ya kulitu gari kwa labda siku 90 za kufanya kazi ambapo wewe ktk siku hizo ndo inakuwa mmiliki na unachukua hesabu, yakitokea natengeneza mwingine ndani ya muda huo, mnaongea tena kwa kuzingatia makubaliano ya mwanzo kama nilikuwa laki moja inazalisha elfu 50, ni hivo hivo!Asante kwa Maelezo mazuri kiongozi yaani umeekeweka vizuri, umeongelea kuhusu kununua second hand unatushauri nini sisi wenye mitaji midogo tukitaka kununua binafs nahiaji hiace superoof
Aisee..., but sounds pretty risky..!Kiongozi kama una mtaji ndogo sio lazima ununue gari, unaweza kudhamini gari lililomshinda mwenyewe, na hii ndo njia ya uhakika ya kupata faida, unaweza ukawekeza labda laki sita kwa makubaliano ya kulitu gari kwa labda siku 90 za kufanya kazi ambapo wewe ktk siku hizo ndo inakuwa mmiliki na unachukua hesabu, yakitokea natengeneza mwingine ndani ya muda huo, mnaongea tena kwa kuzingatia makubaliano ya mwanzo kama nilikuwa laki moja inazalisha elfu 50, ni hivo hivo!
Nami ningependa kufahamu...Eicher bus ni bei gan mpya mkuu
Service, kutokununua gari zilizochoka,wasimamizi wazuri ( walao kidogo kidogo na kukuachia),nkTupeane hizo mbinu wanazotumia wapemba..
Yes ukizijumlisha kwa siku zinazidi ndefu pia GARI hapumziki.Kwahiyo route fupi fupi zinachangamoto ya kuchakaza gari sio..
Bila mambo ya uswahili hayo madude utayauza tu. Hata hayo ya mkoani ni hvy hvyTupeane hizo mbinu wanazotumia wapemba..
Kwahiyo kila mpemba anatumia uchawi kwenye biashara zake?Bila mambo ya uswahili hayo madude utayauza tu. Hata hayo ya mkoani ni hvy hvy