Je, ni kwanini leo mabenki yote ya biashara Tanzania hayataki kuikopesha Serikali kama ilivyokuwa wakati Hayati Rais Magufuli?

Kabla ya Rais Samia CRDB walikopesha wakulima kwa 19% leo hii ni 9% tu

Kabla ya Rais Samia NMB walikopesha wafanyakazi kwa 24% leo wanakopa kwa 14-17%

Haya niambieni nani kama Rais Samia?
24% ni wakati wa Mkwele wewe ..

Magufuli anakufa anaacha 18% ndio liba kubwa... Zililiwepo hadi 9%

Hadi Sasa hakuna benki imeshusha riba, isipokuwa zimebadili aina ya Riba na kupandisha masharti ya mkopo.

Mfano . Kuna benki zinakwambia asilimia 13 lakini hadi uupate huo mkopo ni asilimia 16.

Mimi nakujua wewe ni kijujuu Cha BiTozo. Hapo nakukumbusha tu ila sitaki kabisa kupambana na wewe.

Hapo Kafulila anaongelea kipindi yeye akiwa bungeni yaani 2011-2015.
 
Wakati wa Magufuli watu wengi walikufa na presha ya mikopo,
Mabenki yalipiga riba yanazotaka
Mungu mbariki Sana Rais Samia Suluhu Hassan
Hebu jaribu sasa hivi ambapo unasema kuna u afuu, ukope benki halafu usilipe uone kama nyumba haijapigwa mnada!
Mnadanganya watu. Kama ulikopa kipindi cha Magufuli kwa 23% na Bado hujamaloza deni unafikiri sasa utalipa kwa 14%?? Mmekaa ukilaza kilaza hivi.
Pressure ya deni inakuja kama biashara haiendi sawa, kama ulikopa alimuradi wengine wamekopa, kama ulikopa ukaingiza kwenye liability, kama hulipi deni n.k
 
Naomba kuchangia pia

Mbona kama unapotosha?

9% ya CRDB ni mwaka huu ndio wameshusha,

16 ya NMB ni mwaka jana,

Nenda kasome tena
 
Watu sio kwamba waligoma kulipa hapana,Shida ilikuwa mzunguko hafifu wa pesa,

Leo mzunguko umeongezeka Sana
 
Naomba kuchangia pia

Mbona kama unapotosha?

9% ya CRDB ni mwaka huu ndio wameshusha,

16 ya NMB ni mwaka jana,

Nenda kasome tena
Soma Tena Uzi wangu. Shida yako umekuja kama mtetezi wa BiTozo wakati Mimi naandika fact tu.
 
Soma Tena Uzi wangu. Shida yako umekuja kama mtetezi wa BiTozo wakati Mimi naandika fact tu.
Ninao wajibu wa kumtetea Rais wangu na huo ndio Uzalendo kwa Taifa langu,

Hoja yako nimeijibu vema kabisa
 
Chadema hoja hamna tena zaidi ya matusi na kashfa
Chadema inahusikaje hapo kwenye ujinga wenu.huna hoja ndo maana umekimbilia kuitaja chadema wakati haihusiki.wewe ni chawa usiye na akli ndo maana huwezi kujenga hoja zaidi ya kusifia ujinga.
 
Chawa wa Samia upo kazin
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Bora chawa kuliko mchwa
Hii mpaka mwaka 2020 rates ni hizi, fanya marejeo
 
Hivi wewe mtoa mada umesoma maelezo ya Kafulira? Una mtindio wa Ubongo sio bure..

Umeambiwa Serikali ilitenga 1T Ili kukopesha mabenki Ili nayo yakopeshe sekta binafsi hasa za kimkakati kwa ajili ya kuongeza ukwasi kweli uchumi na kuchochea uzalishaji.

Sasa Wewe huoni ni economic tool ya serikali kuongeza mzunguko wa Fedha kwenye uchumi na kuchechua uwekezaji na uzalishaji?

Serikali ikikopa Sana watu wakawaida unapita wanyonge watakosa pesa hivyo ukata kuwa mkubwa mtaani..

Hata hivyo msikilize Mwigulu hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • 2022030133155.jpg
    94.8 KB · Views: 3
Wakati wa Magufuli Mabenki yaliuza nyumba za watu balaa,
Mikopo ilikuwa hailipiki,
Leo chini ya Mama Samia kila kitu "good "
Na hazikuuzika Hali Halisi ilikuwa hivi πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220628-202202.png
    63.9 KB · Views: 3
Wewe nae huishia kukurupuka. Aishi.

Magufuli alishusha sana riba. Kasome Tena ili kichwa kichangamke maana unatia aibu.

Hapo Kafulila kaingelea kipindi akiwa bungeni. Yaani kabla ya 2015.
Alishusha Sana riba kutoka ngapi kuwa ngapi?

We don't want more words from your dirty mouth weka namba ndio zinaongea.
 
CRDB wanakopesha kwa 13% biashara na kwenye kilimo ni 9%
 
nadharia tu hii aise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…