Wewe elewa hivyo tu. Mambo ya kutaja benk hapa sifanyi matangazo.Umekopa aina gani ya mkopo na ni toka Bank gani?
nadharia tu hii aise.
Ndio maana nimeona unasema uongo, why usitaje BankWewe elewa hivyo tu. Mambo ya kutaja benk hapa sifanyi matangazo.
Ikikutajia ndo utaamini , kwani humu tunadanganyana kwa ID fake? . Embu uliza benki yoyote ya Karibu yako hapo, lini walipunguza Riba toka 24% hadi 17%? Au hadi 15%? ..Ndio maana nimeona unasema uongo, why usitaje Bank
Nenda kasome ripoti za BOT vizuri.Ikikutajia ndo utaamini , kwani humu tunadanganyana kwa ID fake? . Embu uliza benki yoyote ya Karibu yako hapo, lini walipunguza Riba toka 24% hadi 17%? Au hadi 15%? ..
Wacha nikusaidie hii ya 2018.Nenda kasome ripoti za BOT vizuri.
Leo riba ni 14% shida yenu ni kuonesha kuwa Mama hafanyi kaziWacha nikusaidie hii ya 2018.
Interest ya 16-17% nakumbuka ilikuwa kipindi Cha nduli MEKO, sasa hv tunaambiwa riba ni 13-14% ila wameongeza hidden costs. Ni utapeli wa kichinichini unaofanyika na mabenki.Mi nimekopa 2019 kwa asilimia 17%. 2015 nilikopa kwa asimilia 24%.
Vp kuhusu hidden costs za mikopo? Wakati mwingine tuweke siasa pembeni-sisa zikiwa too much ni very harmfulLeo riba ni 14% shida yenu ni kuonesha kuwa Mama hafanyi kazi
Wanaofanya hivyo kwanini wasikamatwe?!Vp kuhusu hidden costs za mikopo? Wakati mwingine tuweke siasa pembeni-sisa zikiwa too much ni very harmful
Uneanza kuelewa ee!Leo riba ni 14% shida yenu ni kuonesha kuwa Mama hafanyi kazi
Wewe unaelewa mambo yalivyo.Interest ya 16-17% nakumbuka ilikuwa kipindi Cha nduli MEKO, sasa hv tunaambiwa riba ni 13-14% ila wameongeza hidden costs. Ni utapeli wa kichinichini unaofanyika na mabenki.
Shida yetu ni kuona Mama Samia Suluhu anafanya vizuri,Wewe unaelewa mambo yalivyo.
Na hiyo ni benki chache sana. Na ujue utawala ulio feli.
Ulivikamua sana aiseMàgufool hakuwa na pahali pengine pa kupata pesa tofauti na hivi vibank uchwara & utekaji wa wafanyabiashara
Afanye vizuri zaidi. Aache nongwa na kikumbatia wezi na kugawa Mali zetu.Shida yetu ni kuona Mama Samia Suluhu anafanya vizuri,
Lete evidence, Jf ni jukwaa kubwa SanaAfanye vizuri zaidi. Aache nongwa na kikumbatia wezi na kugawa Mali zetu.
Sasa hivi karuhusu Mashoga wajiachie hapa nchini. Sijui kama unalijua hilo. Au nikupe evidence? Nchi inakuwa ha machoko hii.
Lete evidence, Jf ni jukwaa kubwa Sana