Je, ni kwanini leo mabenki yote ya biashara Tanzania hayataki kuikopesha Serikali kama ilivyokuwa wakati Hayati Rais Magufuli?

Je, ni kwanini leo mabenki yote ya biashara Tanzania hayataki kuikopesha Serikali kama ilivyokuwa wakati Hayati Rais Magufuli?

Attachments

  • Screenshot_20220726-111601.png
    Screenshot_20220726-111601.png
    158.1 KB · Views: 5
Ndio maana nimeona unasema uongo, why usitaje Bank
Ikikutajia ndo utaamini , kwani humu tunadanganyana kwa ID fake? . Embu uliza benki yoyote ya Karibu yako hapo, lini walipunguza Riba toka 24% hadi 17%? Au hadi 15%? ..
 
Ikikutajia ndo utaamini , kwani humu tunadanganyana kwa ID fake? . Embu uliza benki yoyote ya Karibu yako hapo, lini walipunguza Riba toka 24% hadi 17%? Au hadi 15%? ..
Nenda kasome ripoti za BOT vizuri.
 
Mi nimekopa 2019 kwa asilimia 17%. 2015 nilikopa kwa asimilia 24%.
Interest ya 16-17% nakumbuka ilikuwa kipindi Cha nduli MEKO, sasa hv tunaambiwa riba ni 13-14% ila wameongeza hidden costs. Ni utapeli wa kichinichini unaofanyika na mabenki.
 
Ni upuuzi mtupu! Ughali wa maisha liopo sasa una kiwango gani cha ongezeko la namba ukilinganisha na hiyo mikopo ya Leo na kipindi kile kilichochukiwa na mafisadi felia ya form4?

Embu Fanya hiyo hisabati ikiwa utaona kuna unafuu wowote uliosababishwa na kushuka kiwango cha riba kwenye mikopo!
 
Interest ya 16-17% nakumbuka ilikuwa kipindi Cha nduli MEKO, sasa hv tunaambiwa riba ni 13-14% ila wameongeza hidden costs. Ni utapeli wa kichinichini unaofanyika na mabenki.
Wewe unaelewa mambo yalivyo.
Na hiyo ni benki chache sana. Na ujue utawala ulio feli.
 
Màgufool hakuwa na pahali pengine pa kupata pesa tofauti na hivi vibank uchwara & utekaji wa wafanyabiashara
 
Shida yetu ni kuona Mama Samia Suluhu anafanya vizuri,
Afanye vizuri zaidi. Aache nongwa na kikumbatia wezi na kugawa Mali zetu.

Sasa hivi karuhusu Mashoga wajiachie hapa nchini. Sijui kama unalijua hilo. Au nikupe evidence? Nchi inakuwa ha machoko hii.
 
Afanye vizuri zaidi. Aache nongwa na kikumbatia wezi na kugawa Mali zetu.

Sasa hivi karuhusu Mashoga wajiachie hapa nchini. Sijui kama unalijua hilo. Au nikupe evidence? Nchi inakuwa ha machoko hii.
Lete evidence, Jf ni jukwaa kubwa Sana
 
Back
Top Bottom