ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Anaogopa kuwaachia ikulu mukaichafuwa. Wengi wa wafuasi wake hawajawahi tumia vyoo vya kukaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
To be honest ukiangalia Kwa umakini na lugha anazotumia unaweza kuhdhani Yuko kwenye campaign Trail...SASA sijajua NEC wameweka criteria zipi zinazosema Jambo lipi ni campaign na lipi sio...Wanaojua zaidi wanaweza kutusaidia hapaWanataka hiyo style yake ije iwe SI Unit ili wamuengue Lissu kuwa yeye ameshaanza kampeni kabla ya muda.
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.
Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Dah! Wewe ni muongo hatari!!Anaogopa aibu,Magu huyu wa 2020 ni tofauti kabisa na Magu wa 2015, Magu huyu wa 2020 bila police na vyombo vingine vya dola kumsaidia wadhamini 200 kila mkoa atawapata wapi? Hakuna wa kujitokeza kwa hiari yake
Mkuu watu 200 unawapataje kwa mfano bila mkutano?Magu nae alifanya baada ya kuchukua form pale Dodoma but also this has been a practice kila mwaka hata 2015 wagombea walifanya hivyo
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.
Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Rais Magufuli ana majukumu mengi ya kitaifa wadhamini wanamfuata wenyewe kwa mamilioni pale Chamwino wakitokea mikoa tofauti tofauti.
Lisu anauza sura wengi walikuwa hawamjui!
Habari na picha ...hivi Jo unayajua mamilion yalivyo lakini?
Magufuli hata mwaka 2015. Alizunguka nchi nzima kusaka wazamini kimya kimya..
Kina membe na lowassa walijaza sana watu toka enzi za kura za maoni
Ndo maana alishindwa
Anaogopa aibu,Magu huyu wa 2020 ni tofauti kabisa na Magu wa 2015, Magu huyu wa 2020 bila police na vyombo vingine vya dola kumsaidia wadhamini 200 kila mkoa atawapata wapi? Hakuna wa kujitokeza kwa hiari yake
Kwani wao wameshambuliwa?Kila mtu alifanya pale anapochukua form lakini baada ya hapo unawaina akina rungwe wakishambulia wenzao
Wabunge wote wameamrishwa kumdhamini wa CCMMambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.
Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Anaogopa aibu,Magu huyu wa 2020 ni tofauti kabisa na Magu wa 2015, Magu huyu wa 2020 bila police na vyombo vingine vya dola kumsaidia wadhamini 200 kila mkoa atawapata wapi? Hakuna wa kujitokeza kwa hiari yake
Rais Magufuli ana majukumu mengi ya kitaifa wadhamini wanamfuata wenyewe kwa mamilioni pale Chamwino wakitokea mikoa tofauti tofauti.
Lisu anauza sura wengi walikuwa hawamjui!
Kuna mtu ameniambia kuanza kampeni kabla ya muda haiko katika orodha ya mambo yanayoweza kuwekewa pingamizi kulingana na sheria za uchaguzi. Hata jiwe kuna mahali nimeona clip yake, naye kumbe alishaanza maana ameuambia umati wasimchague mtu atakaye uza nchi kwa mabeberu. Sisi tutafute tu [emoji897][emoji897][emoji897][emoji897] tufuatilie mtifuano huo.To be honest ukiangalia Kwa umakini na lugha anazotumia unaweza kuhdhani Yuko kwenye campaign Trail...SASA sijajua NEC wameweka criteria zipi zinazosema Jambo lipi ni campaign na lipi sio...Wanaojua zaidi wanaweza kutusaidia hapa
Hakuna cha Kuanza kampeni au nini!!
Magufuli baada ya kuchukua fomu ya NEC alikwenda White House Dodoma, akaongea sera zake na akasema Sera zake zijazo!! Uzuri ilirushwa Live na kila mtu aliona, Kwenye page ya Magufuli facebook anapost kila leo, Magufuli tano tena, anapost Picha za miradi zenye hashtag magufuli tano tena. Sasa kama ni kuanza kampeni wote Magufuli na Lissu watakuwa wameanza kampeni na kama kukatwa wanatakiwa wakatwe wote.
Watu tunakusanya ushahidi wa kila kitu alafu tunawaangalia tu NEC.
Wajaribu kumkata Magufuli. Kama wamechoka na amani ya Tanzania waseme tu maana sasa ni baaasi!! Tuko tayari watupige risasi wote waone kama watapona na Mahakama ya Kimataifa
Wewe hauna akili,kwani anayetafuta wadhani ni nani, rais au Magufuli? Kama anayetafuta wadhani ni rais hao wadhamini ni wa kazi gani?Yani unaandika mpaka najiuliza umelogwa au huwa mnauza na akili. Mein Gott! Hivi kwa akili ya kawaida Rais akose watu 200 kila mkoa. Please Kuna wakati Ukiwa mjinga , ufiche kwa kukaa kimya.
Mm sipo tayari kupigwa risasi! Usisemqe wote, sema mimi
Zitto ashawatahadharisha kwamba wasijaribu kwasasa tumesimamisha miguu miwili ,huku tuna Membe huku tuna Mwamba Konki Ni yeye Muujiza unaotembea!!Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.
Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?