Uchaguzi 2020 Je, ni kwanini Magufuli anatafuta wadhamini kimya kimya?

Uchaguzi 2020 Je, ni kwanini Magufuli anatafuta wadhamini kimya kimya?

Anaogopa kuwaachia ikulu mukaichafuwa. Wengi wa wafuasi wake hawajawahi tumia vyoo vya kukaa!
 
Wanataka hiyo style yake ije iwe SI Unit ili wamuengue Lissu kuwa yeye ameshaanza kampeni kabla ya muda.
To be honest ukiangalia Kwa umakini na lugha anazotumia unaweza kuhdhani Yuko kwenye campaign Trail...SASA sijajua NEC wameweka criteria zipi zinazosema Jambo lipi ni campaign na lipi sio...Wanaojua zaidi wanaweza kutusaidia hapa
 
Kutafuta wazamin.kimyakimya ni saili ya rushwa.
Maana hawatatafuta kwa wananchi ote ila watatafuta kwa wenye uwezo,hasa wafanya biashara.
Inamaana mfanyabiashara akigoma kumuunga mkona au kumzamin kunahatari ya kukutwa na matatizo huko mbele kwenye biashara zake.

Njia nzuri na isiyo na ubaguzi ni kupita kwa wananchi ote.
 
Swali fikirishi, Magu anapenda sana kuongea, ukimya wake hasa kipindi hiki unafikirisha kidogo
 
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?

Wewe ulishawahi kuona hiyo inafanyika toka huko nyuma?
Inaweza kufanyika tu pale unapotafuta kuteuliwa na chama, sasa yeye ameanza kushambulia wenzake kalba ya filimbi.

Wanafanya hivyo makusudi kabisa wakijua yatakoyowakuta kisha wawaite mabeberu wao
Mwaka huu ni wao iwe kwa sheria au kwa box lazima watupwe kule.
 
Anaogopa aibu,Magu huyu wa 2020 ni tofauti kabisa na Magu wa 2015, Magu huyu wa 2020 bila police na vyombo vingine vya dola kumsaidia wadhamini 200 kila mkoa atawapata wapi? Hakuna wa kujitokeza kwa hiari yake
Dah! Wewe ni muongo hatari!!
Magu akitokea hata hapo mtaani kwenu kusaka sahihi, karatasi moja haitoshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu watu 200 unawapataje kwa mfano bila mkutano?Magu nae alifanya baada ya kuchukua form pale Dodoma but also this has been a practice kila mwaka hata 2015 wagombea walifanya hivyo

Kila mtu alifanya pale anapochukua form lakini baada ya hapo unawaina akina rungwe wakishambulia wenzao
 
Mambo ya magu ni magumu sana mwaka huu kwanza tangu Lissu aanze kuchanja mbuga ameacha kupanda juu ya magari na kugawa hela.
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Rais Magufuli ana majukumu mengi ya kitaifa wadhamini wanamfuata wenyewe kwa mamilioni pale Chamwino wakitokea mikoa tofauti tofauti.

Lisu anauza sura wengi walikuwa hawamjui!
Habari na picha ...hivi Jo unayajua mamilion yalivyo lakini?
Magufuli hata mwaka 2015. Alizunguka nchi nzima kusaka wazamini kimya kimya..

Kina membe na lowassa walijaza sana watu toka enzi za kura za maoni
Ndo maana alishindwa
Anaogopa aibu,Magu huyu wa 2020 ni tofauti kabisa na Magu wa 2015, Magu huyu wa 2020 bila police na vyombo vingine vya dola kumsaidia wadhamini 200 kila mkoa atawapata wapi? Hakuna wa kujitokeza kwa hiari yake
 
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Wabunge wote wameamrishwa kumdhamini wa CCM
 
Anaogopa aibu,Magu huyu wa 2020 ni tofauti kabisa na Magu wa 2015, Magu huyu wa 2020 bila police na vyombo vingine vya dola kumsaidia wadhamini 200 kila mkoa atawapata wapi? Hakuna wa kujitokeza kwa hiari yake

Yani unaandika mpaka najiuliza umelogwa au huwa mnauza na akili. Mein Gott! Hivi kwa akili ya kawaida Rais akose watu 200 kila mkoa. Please Kuna wakati Ukiwa mjinga , ufiche kwa kukaa kimya.
 
Rais Magufuli ana majukumu mengi ya kitaifa wadhamini wanamfuata wenyewe kwa mamilioni pale Chamwino wakitokea mikoa tofauti tofauti.

Lisu anauza sura wengi walikuwa hawamjui!

..Jpm amefanya kampeni na kugawa pesa kwa miaka 4+ sasa.

..muda wote huo TL na chama chake walizuiliwa kukutana na wananchi.

..Jpm amechoka kufanya kampeni, wakati TL anahitaji kufanya kazi ya ziada ili kufidia muda waliokuwa wamezuiliwa.
 
To be honest ukiangalia Kwa umakini na lugha anazotumia unaweza kuhdhani Yuko kwenye campaign Trail...SASA sijajua NEC wameweka criteria zipi zinazosema Jambo lipi ni campaign na lipi sio...Wanaojua zaidi wanaweza kutusaidia hapa
Kuna mtu ameniambia kuanza kampeni kabla ya muda haiko katika orodha ya mambo yanayoweza kuwekewa pingamizi kulingana na sheria za uchaguzi. Hata jiwe kuna mahali nimeona clip yake, naye kumbe alishaanza maana ameuambia umati wasimchague mtu atakaye uza nchi kwa mabeberu. Sisi tutafute tu [emoji897][emoji897][emoji897][emoji897] tufuatilie mtifuano huo.
 
Hakuna cha Kuanza kampeni au nini!!

Magufuli baada ya kuchukua fomu ya NEC alikwenda White House Dodoma, akaongea sera zake na akasema Sera zake zijazo!! Uzuri ilirushwa Live na kila mtu aliona, Kwenye page ya Magufuli facebook anapost kila leo, Magufuli tano tena, anapost Picha za miradi zenye hashtag magufuli tano tena. Sasa kama ni kuanza kampeni wote Magufuli na Lissu watakuwa wameanza kampeni na kama kukatwa wanatakiwa wakatwe wote.

Watu tunakusanya ushahidi wa kila kitu alafu tunawaangalia tu NEC.

Wajaribu kumkata Magufuli. Kama wamechoka na amani ya Tanzania waseme tu maana sasa ni baaasi!! Tuko tayari watupige risasi wote waone kama watapona na Mahakama ya Kimataifa

Tume, mahakama, polisi na mzee baba wasitake kutuharibia nchi.

Maamuzi ya nani anatakikana ni kutoka kwa wajumbe Oct 28.

Bora waache mambo yaende haki bin haki.
 
Yani unaandika mpaka najiuliza umelogwa au huwa mnauza na akili. Mein Gott! Hivi kwa akili ya kawaida Rais akose watu 200 kila mkoa. Please Kuna wakati Ukiwa mjinga , ufiche kwa kukaa kimya.
Wewe hauna akili,kwani anayetafuta wadhani ni nani, rais au Magufuli? Kama anayetafuta wadhani ni rais hao wadhamini ni wa kazi gani?
 
Mambo yamepamba moto, wakti Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini, Rais Magufuli anawatuma makada wa CCM kutembeza fomu kimya kimya ili zijazwe na wadhamini katika mikoa husika.

Je, huu ni mkakati wa kumkata Lissu kwa madai kuwa alianza kampeni kabla kuteuliwa na NEC?
Zitto ashawatahadharisha kwamba wasijaribu kwasasa tumesimamisha miguu miwili ,huku tuna Membe huku tuna Mwamba Konki Ni yeye Muujiza unaotembea!!
 
Back
Top Bottom