Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

Hivi mnaota mchana huu? Rwanda kuitwaa Zaire pekee hawakuweza bila msaada wa majeshi mengine ikiwemo ..... Rwanda labda amuonee Burundi tu na pengine akala kichapo!

Rwanda inaweza kupigwa na rasilimali jeshi za mkoa wa Kagera pekee achilia mbali nchi nzima. Hata wao wanajua ...
 
Tunaomba mtufikishie ujumbe kwamba sisi hatuna ubaguzi wa hutu au Tusi.

Tunawapenda tupate mbegu kule. Watoto wakali sana.

Hatuwezi kuwabomoa coz ni shemeji zetu. Pk atajijua mwenyewe kama ana inteligensia kali sana dunia nzima au vipi.
 
Kamuulize tu huyo Kikwete wako kama alijua anauweza 'Mziki' wa Kagame mbona alimwomba Hayati Mkapa na Team yake wampatanishe nae PK?
 
Kuna 'Geniuses' wachache sana hapa JF ambao huwa wananielewa upesi kama Wewe Mkuu ila 'Wapumbavu' wengi hupenda 'Kukurupuka' Kwangu.
 
Kaka unaakili sana umeamua uwachane ukweli maana wameeenda tofauti mleta uzi katumia fasihi lakini wameshindwa kujua key point nini ya kujadili jitahidini kumjua hata RAFIKI wa kagame bac labda mtajua

sent from HUAWEI
 
Kaka unaakili sana umeamua uwachane ukweli maana wameeenda tofauti mleta uzi katumia fasihi lakini wameshindwa kujua key point nini ya kujadili jitahidini kumjua hata RAFIKI wa kagame bac labda mtajua

sent from HUAWEI
Nakushukuru sana na 'Genius' Mwingine Wewe 'Kunielewa' vyema na kwa haraka juu ya huu 'Uzi' ngoja niendelee Kuwasanifu wale 'Majuha' hapa.
 
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
 
Wewe mkuu wala hujamuelewa huyu jamaa,mabandiko yake yanahitaji ujuzi na utulivu kumuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamuulize tu huyo Kikwete wako kama alijua anauweza 'Mziki' wa Kagame mbona alimwomba Hayati Mkapa na Team yake wampatanishe nae PK?
aha kumbe hiyo ndio FASIHI ambayo watu wote wameshindwa kuelewa. Ehh bro tunaomba u shemeji tu tafadhali sana tuunganishe kwa namna mmoja au nyingine na dada zako hizo tantalila nyingine kuhusu PK hazisidii kitu. Afrika ni ndugu moja.
 
Wapo Karibu na mossad hata hapa kwetu mkuu alipo ingia aliwakaribia kupata maujanja yao
 
Wapo Karibu na mossad hata hapa kwetu mkuu alipo ingia aliwakaribia kupata maujanja yao
Ninashukuru kwa Kujua Jambo ambalo Watanzania Wenzako wengi hapa Jukwaani walikuwa hawalijui. Rwanda haina Mpinzani kabisa hapa EAC.
 
Sasa nchi yenyewe ukubwa kama wa Tandale, kuifuatilia ina kazi gani?
Marehemu Simba wa vita mzee Kawawa wakati wa vita vya Kagera alishawahi kusema ''Vita havina nchi ndogo'' mwisho wa kunukuu.Ukubwa wa nchi sio hoja ona Mobutu alivyokuwa na jeshi dhaifu pamoja na ukubwa wa Zaire.

Ona Korea Kaskazini ilivyo ndogo hata mkoa wa Tabora pamoja na Mwanza ni mkubwa lakini anavyomtoa Mmarekani kamasi.
Kagame nchi yake ndogo sana but I am telling you that man is a brilliant and tactician solder askari mwenye akili na mbinu nyingi kwenye medani za kivita.
 
Huenda unawaza kama navyowaza!
Kama ni kweli tunachosikia kinaendelea kwenye mpaka wetu na nchi moja ya Kusini basi ukiondoa neno "Rwanda"weka"TZ".
 
Huyu ni popoma kweli.Nashangaa baadhi ya watu wanamremba eti katumia Fasihi.Hamumjui kama huyu Gentamicyn ni Kabila la watwa kule Rwanda?.Asiwazuge,amemaanisha alichoandika na anamuhusudu sana Rais wake PK
tunamjua sana huyo popoma ndakindaki ila yeye anajidanganya anadhani hatumjui. Hata akija na ID nyingine uandishi wake tumeshamsoma. Huyo PK mwenyewe ameshaanza kuhudhuria clinic kwa siri kama Mugabe, ana matatizo kichwani.

Tatizo ana dada wakali sana ndio hapo tunashindwa kuchomoka?
 
Hapa Afrika hakuna chombo cha ujasusi kilichosawa au zaidi ya TISS kiuwezo

Mimi mfuatiliaji sana wa mambo ya ujasusi ,anaefuatilia sana pia masuala hayo ataungana nami
 
We mwenyewe umeanza kusema kua inasemekana!! Yaani huna uhakika na ulicho leta hapa, kiufupi Rwanda ni kijiji na watu wake ni wa kawaida sana kuliko unavyo dhani akilini mwako,wala hawana lolote la kutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…