Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

Je, ni kwanini nchi ya Rwanda si tu 'inasifika' bali kwa sasa 'inaogopeka' pia kwa kuwa na 'Majasusi' mahiri kabisa kuliko nchi nyingine za EAC?

Ni kweli ndugu kwa sasa Rwanda inapata taarifa yoyote ile kwenye Nchi nyingi za Africa kutokana na tabia yao ya kuweka watu wao katika sehemu nyeti za Nchi nyingi za Africa.Ukienda jeshini wapo, ukienda ikulu unakuta ndo walinzi wenyewe.sasa hapo unachomokaje ndugu?.

Kagame akiamua wiki 1 tu inatosha kwake kuchukua Easte Africa yote na vitongoji vyake.
Hivi mnaota mchana huu? Rwanda kuitwaa Zaire pekee hawakuweza bila msaada wa majeshi mengine ikiwemo ..... Rwanda labda amuonee Burundi tu na pengine akala kichapo!

Rwanda inaweza kupigwa na rasilimali jeshi za mkoa wa Kagera pekee achilia mbali nchi nzima. Hata wao wanajua ...
 
Tunaomba mtufikishie ujumbe kwamba sisi hatuna ubaguzi wa hutu au Tusi.

Tunawapenda tupate mbegu kule. Watoto wakali sana.

Hatuwezi kuwabomoa coz ni shemeji zetu. Pk atajijua mwenyewe kama ana inteligensia kali sana dunia nzima au vipi.
 
Hivi Nani aangaike na mkoa ambao hauna hata rasilimali moja? Kamkoa magazine yenye risasi 30 inatosha kukasambaratisha. Hao ni intelijensia ya kagame sio Rwanda na wanafanya kazi ya kumlinda kagame na maslahi. Kagame Kama sio kuiba madini ya Kongo angeshindwa kukaendesha kale kamkoa. Wanaoigopa intelijensia ya Rwanda ni maadui binafsi wa kagame ambao NI wanyarwanda wenzao ikiwemo na wewe na wanawashughulikia kweli kweli. Nchi Kama Tanzania inaanzaje kuiogopa intelijensia ya Rwanda. Huyo kagame si alijaribu kumshika sharubu kikwete kilichomkuta hukumsikia Tena anaishobokea tz, au unajisahaulisha?
Kamuulize tu huyo Kikwete wako kama alijua anauweza 'Mziki' wa Kagame mbona alimwomba Hayati Mkapa na Team yake wampatanishe nae PK?
 
Nimesoma comments zote nahisi watu hawajelewa fasihi nzito iliyopo kwenye huu uzi. Nawashauri kwamba hebu muupitie tena kwa utulivu na umakini, msome kati ya mistari(between the lines) kisha tupate maoni ya kifasihi.

Fasihi ni pana na inategemea kila mmoja kaichambua vipi kazi husika na hiyo inaonyesha ubora wa "Fanani", ila kwa maoni yangu Rwanda kama Rwanda imetumika kuwakilisha hoja ya mahala fulani
Kuna 'Geniuses' wachache sana hapa JF ambao huwa wananielewa upesi kama Wewe Mkuu ila 'Wapumbavu' wengi hupenda 'Kukurupuka' Kwangu.
 
Nimesoma comments zote nahisi watu hawajelewa fasihi nzito iliyopo kwenye huu uzi. Nawashauri kwamba hebu muupitie tena kwa utulivu na umakini, msome kati ya mistari(between the lines) kisha tupate maoni ya kifasihi.

Fasihi ni pana na inategemea kila mmoja kaichambua vipi kazi husika na hiyo inaonyesha ubora wa "Fanani", ila kwa maoni yangu Rwanda kama Rwanda imetumika kuwakilisha hoja ya mahala fulani
Kaka unaakili sana umeamua uwachane ukweli maana wameeenda tofauti mleta uzi katumia fasihi lakini wameshindwa kujua key point nini ya kujadili jitahidini kumjua hata RAFIKI wa kagame bac labda mtajua

sent from HUAWEI
 
Nakushukuru sana na 'Genius' Mwingine Wewe 'Kunielewa' vyema na kwa haraka juu ya huu 'Uzi' ngoja niendelee Kuwasanifu wale 'Majuha' hapa.
 
Rwanda ni Taifa dogo sana lisilo na lolote la maana zaidi ya wananchi wake kuishi kwa hofu kubwa sana kutokana historia mbaya ya vita ya wenyewe kwa wenyewe

Hivyo hakuna Taifa lolote linaweza kupanga kuvamia nchi hiyo.

Pia hiyo intelijensia yao unayosema ipo maalumu kwaajili ya kulinda utawala wa Kitutsi dhidi ya mahasimu wao wa Kihutu na si dhidi ya Taifa lao against Taifa jingine

Katika ukanda huu wa nchi za maziwa makuu Tanzania ndio baba lao, superior country katika ishu za majeshi na intelijensia kwa ujumla.

UN Security Council linai-label Tanzania kama a supervisor/watchdog katika ukanda wa nchi za maziwa makuu,,, ikitokea mtifuano kidogo tu Burundi/Rwanda/Congo DRC basi UN security Council wanapiga simu Tz kuomba taarifa kamili na kuhitaji Tz iunde na ipeleke delegates kushughulikia mtifuano huo.
Amani ya ukanda wa maziwa makuu ipo mikononi mwa Tz

Tunalinda Amani ya nchi yetu,Tunalinda Amani ya nchi nyingine.

Mungu Ibariki Tanzania
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
 
Si kweli kwamba Rwanda wana intelejensia ya hivyo isipokuwa P. K Mbuli kumlomo kama ulivyosikia hizo tetesi. Watu wanawachukulia poa kutokana na maswaibu yaliyowakuta 1994.... lakini ukiangalia ukubwa wa nchi yao, kilometer za mraba ni bomu mbili tu zinatosha kuimaliza Rwanda.

Vile vile kwa nchi inayo pakana nazo hakuna cha maana hasa Rwanda kitakachopelekea kuwaanzishia gwamvu. Gwamvu pekee litakaloibuka Rwanda ni la wenyewe kwa wenyewe kama ilivyo ada yao. Kwa Sasa watu wanajipanga wanammezea mate ya akili P. K, ni suala la muda tu..
Wewe mkuu wala hujamuelewa huyu jamaa,mabandiko yake yanahitaji ujuzi na utulivu kumuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamuulize tu huyo Kikwete wako kama alijua anauweza 'Mziki' wa Kagame mbona alimwomba Hayati Mkapa na Team yake wampatanishe nae PK?
aha kumbe hiyo ndio FASIHI ambayo watu wote wameshindwa kuelewa. Ehh bro tunaomba u shemeji tu tafadhali sana tuunganishe kwa namna mmoja au nyingine na dada zako hizo tantalila nyingine kuhusu PK hazisidii kitu. Afrika ni ndugu moja.
 
Wapo Karibu na mossad hata hapa kwetu mkuu alipo ingia aliwakaribia kupata maujanja yao
Ninashukuru kwa Kujua Jambo ambalo Watanzania Wenzako wengi hapa Jukwaani walikuwa hawalijui. Rwanda haina Mpinzani kabisa hapa EAC.
 
Sasa nchi yenyewe ukubwa kama wa Tandale, kuifuatilia ina kazi gani?
Marehemu Simba wa vita mzee Kawawa wakati wa vita vya Kagera alishawahi kusema ''Vita havina nchi ndogo'' mwisho wa kunukuu.Ukubwa wa nchi sio hoja ona Mobutu alivyokuwa na jeshi dhaifu pamoja na ukubwa wa Zaire.

Ona Korea Kaskazini ilivyo ndogo hata mkoa wa Tabora pamoja na Mwanza ni mkubwa lakini anavyomtoa Mmarekani kamasi.
Kagame nchi yake ndogo sana but I am telling you that man is a brilliant and tactician solder askari mwenye akili na mbinu nyingi kwenye medani za kivita.
 
Nimesoma comments zote nahisi watu hawajelewa fasihi nzito iliyopo kwenye huu uzi. Nawashauri kwamba hebu muupitie tena kwa utulivu na umakini, msome kati ya mistari(between the lines) kisha tupate maoni ya kifasihi.

Fasihi ni pana na inategemea kila mmoja kaichambua vipi kazi husika na hiyo inaonyesha ubora wa "Fanani", ila kwa maoni yangu Rwanda kama Rwanda imetumika kuwakilisha hoja ya mahala fulani
Huenda unawaza kama navyowaza!
Kama ni kweli tunachosikia kinaendelea kwenye mpaka wetu na nchi moja ya Kusini basi ukiondoa neno "Rwanda"weka"TZ".
 
Huyu ni popoma kweli.Nashangaa baadhi ya watu wanamremba eti katumia Fasihi.Hamumjui kama huyu Gentamicyn ni Kabila la watwa kule Rwanda?.Asiwazuge,amemaanisha alichoandika na anamuhusudu sana Rais wake PK
tunamjua sana huyo popoma ndakindaki ila yeye anajidanganya anadhani hatumjui. Hata akija na ID nyingine uandishi wake tumeshamsoma. Huyo PK mwenyewe ameshaanza kuhudhuria clinic kwa siri kama Mugabe, ana matatizo kichwani.

Tatizo ana dada wakali sana ndio hapo tunashindwa kuchomoka?
 
Hapa Afrika hakuna chombo cha ujasusi kilichosawa au zaidi ya TISS kiuwezo

Mimi mfuatiliaji sana wa mambo ya ujasusi ,anaefuatilia sana pia masuala hayo ataungana nami
 
We mwenyewe umeanza kusema kua inasemekana!! Yaani huna uhakika na ulicho leta hapa, kiufupi Rwanda ni kijiji na watu wake ni wa kawaida sana kuliko unavyo dhani akilini mwako,wala hawana lolote la kutisha.
 
Back
Top Bottom