FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Katika suala la natural selection and elimination ni kwamba wale tu ambao wanastahimili mazingira husika ndio hubakizwa na wengine wasioweza kuvumilia hufyekelewa mbali.
Mfano ni wale twiga wenye shingo fupi walivyokufa kwa njaa na kuwaacha wale wenye shingo ndefu za kufikia majani laini yenye virutubisho juu, na hatimaye twiga wote sasa wana shingo ndefu, hiyo ndio evolution.
Sasa je, katika mustakabali huo huo, ni kwanini 'evolution' iliwabakiza binadamu wenye aibu ya ngono (wanaofanya chumbani/gizani/ mafichoni) na kuwafyekelea mbali wale waliokuwa wakifanya ngono hadharani/ mchana kweupe?
what is the evolutionary significance of such a selection of one over the latter? Tujadili bila aibu.
==============================
Jibu: Post na 41