Je, ni kwanini ngono hufanyika kwa kificho?, what is the evolutionary significance of such a behaviour in humans?

Katika suala la natural selection and elimination ni kwamba wale tu ambao wanastahimili mazingira husika ndio hubakizwa na wengine wasioweza kuvumilia hufyekelewa mbali.
Mfano ni wale twiga wenye shingo fupi walivyokufa kwa njaa na kuwaacha wale wenye shingo ndefu za kufikia majani laini yenye virutubisho juu, na hatimaye twiga wote sasa wana shingo ndefu, hiyo ndio evolution.
Sasa je, katika mustakabali huo huo, ni kwanini 'evolution' iliwabakiza binadamu wenye aibu ya ngono (wanaofanya chumbani/gizani/ mafichoni) na kuwafyekelea mbali wale waliokuwa wakifanya ngono hadharani/ mchana kweupe? what is the evolutionary significance of such a selection of one over the latter? Tujadili bila aibu.

Kwanza kabisa, je tutaamini vipi kuwa hiyo nadharia yenyewe ya evolution ni kama moja ya false ideas?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia wanyama, karibu wote wanafanya ngono hadharani, hata wale wa karibu yetu kabisa kwenye family ya primates (nyani, ngedere, tumbili,sokwe mtu nk.) hufanya hadharani, mchana na hata kwenye kadamnasi, humans have ascended through evolution from other subspecies as i have named, hivyo lazima wapo binadamu hapo awali waliokuwa wakidabuana hadharani, so why were they naturally eliminated by evolution?
Mkuu hakuna ushahidi wa kuaminika kwamba walikuwa wanafanya hadharani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia wanyama, karibu wote wanafanya ngono hadharani, hata wale wa karibu yetu kabisa kwenye family ya primates (nyani, ngedere, tumbili,sokwe mtu nk.) hufanya hadharani, mchana na hata kwenye kadamnasi, humans have ascended through evolution from other subspecies as i have named, hivyo lazima wapo binadamu hapo awali waliokuwa wakidabuana hadharani, so why were they naturally eliminated by evolution?

You have a point...big one...i like ur theory it make sense on a really world...
 
Katika suala la natural selection and elimination ni kwamba wale tu ambao wanastahimili mazingira husika ndio hubakizwa na wengine wasioweza kuvumilia hufyekelewa mbali.
Mfano ni wale twiga wenye shingo fupi walivyokufa kwa njaa na kuwaacha wale wenye shingo ndefu za kufikia majani laini yenye virutubisho juu, na hatimaye twiga wote sasa wana shingo ndefu, hiyo ndio evolution.
Sasa je, katika mustakabali huo huo, ni kwanini 'evolution' iliwabakiza binadamu wenye aibu ya ngono (wanaofanya chumbani/gizani/ mafichoni) na kuwafyekelea mbali wale waliokuwa wakifanya ngono hadharani/ mchana kweupe? what is the evolutionary significance of such a selection of one over the latter? Tujadili bila aibu.

Kiongozi nimekuelewa sana...unajua mnooo...ur very right ur Assumption make alot of sense...
 
Angalia wanyama, karibu wote wanafanya ngono hadharani, hata wale wa karibu yetu kabisa kwenye family ya primates (nyani, ngedere, tumbili,sokwe mtu nk.) hufanya hadharani, mchana na hata kwenye kadamnasi, humans have ascended through evolution from other subspecies as i have named, hivyo lazima wapo binadamu hapo awali waliokuwa wakidabuana hadharani, so why were they naturally eliminated by evolution?
umewahi kuona paka wakijamiiana!? au unatusingizia sisi wanadamu, by the way siku hzi tunabanduana mchana kweupe tu!.
 
Ngono hufanyiwa sirini kwasababu viungo vinavyohusika kwenye huo mziki vyote ni vya siri.
 
Angalia wanyama, karibu wote wanafanya ngono hadharani, hata wale wa karibu yetu kabisa kwenye family ya primates (nyani, ngedere, tumbili,sokwe mtu nk.) hufanya hadharani, mchana na hata kwenye kadamnasi, humans have ascended through evolution from other subspecies as i have named, hivyo lazima wapo binadamu hapo awali waliokuwa wakidabuana hadharani, so why were they naturally eliminated by evolution?
Tembea uchi basi!
 
Sodoma & Gomora, maandiko yapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jambo hili hata leo tukasema tulifanye hadharani, wanaume tutadhalilika sana kuliko wanawake.

Jambo hilo kulianza halina shida, tatizo linakuja kwenye umaliziaji, wee...wee!

Watu wasingelifanyakazi kushuhudia wenzao wanavyotoa mate ya udenda na kilio cha dhahiri, we'unadhani kama ambavyo movie ya gwajiboy ilivyochezwa, utasema kutakuwa na kazi hapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile ni jambo la faragha na linafanyika akili ikitambua hapa hamna anetuona. Sasa huwezi fanya hadharani yaani hata viungo husika havitokubali!

Jamaa 1 aliwahi kwenda msumbiji kikanuka huko, sasa wakati akichanja mbuga porini kurudi Mtwara akakutana na lory limeharibika. driver na tingo wake wanaandaa chakula wale. Jamaa akakaribishwa bahati nzuri wakafahamiana kumbe wote ni waTz.

Msosi ukapakuliwa ile wamenawa waanze kufinya ghafla wakavamiwa, wenyeji waka wapole yule mgeni kawa mbishi. Hajalazimishwa azamishe mboo kwenye ugali na ni wa moto! Ile kufungua zipu kitu imesinyaa nyeusi mbaya.

Kufupisha story hilo jambo kama unazo timamu huwezi fanya hata ushikiwe mtutu itakuwa kama kushindilia shipa lilolegea kwa shimo na ile dude haitaki ulazima huo!
Sawa sijabisha, ila kwanini evolutions imebakiza aina hiyo ya 'trait' na kuondoa the contrary?
 
Lini binadamu walikua na kawaida ya kufanya hadharani.?
Njoo na ushahidi kwanza mkuu
Nb:si mfuasi wa Darwinism kuwa tumetokana na sokwe .,naamini uumbaji wa Mungu
Ukweli si imani, ukweli ni ukweli na unakuwa supported na evidence. Evolution in evidence za kila aina, mfano 'Vestiges', tafuta uzi wangu wa 'vestiges'
 
Back
Top Bottom