FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #41
Wewe naanza kukuelewa, So unamaanisha kwakuwa binadamu wote tunapenda kuendeleza genes zetu hivyo tunatamani kushiriki tendo na mtu hata ambae anashiriki tayari, kiasi tunaweza kuingilia kati na kumfukuza mwingine ili sisi ndio tupandikize genes zetu, ni kama chui anavyoenda kula juu ya mti kwa kujificha ili asipokwe chakula chake na wengine, aisee nimekuelewa kwanini evolution imewaondoa waliofanya hadharani, maana walivamiwa na kunyang'anya papuchi huku wanajiona na hivyo wakashindwa kuendeleza genes zao, kumbuka anaekunyang'anya papuchi anaenda kuila kwa kujificha ili usije ukaipora na wewe..., aise una akili sana..!!!Mkuu jambo hili hata leo tukasema tulifanye hadharani, wanaume tutadhalilika sana kuliko wanawake.
Jambo hilo kulianza halina shida, tatizo linakuja kwenye umaliziaji, wee...wee!
Watu wasingelifanyakazi kushuhudia wenzao wanavyotoa mate ya udenda na kilio cha dhahiri, we'unadhani kama ambavyo movie ya gwajiboy ilivyochezwa, utasema kutakuwa na kazi hapo!
Sent using Jamii Forums mobile app