Je, ni kwanini Tanzania haijawaji kukumbwa na uhaba wa chumvi?

Chumvi inatumika kidogo mno. Demand yake ni ndogo. Kilo moja ya chuvi familia ya watu watano inaweza kutumia mpaka mwezi mzima. Kilo ya sukari haiwezi kutoboa wiki kwenye familia ya ukubwa wa namna hiyo ikiwa wanatumia kila siku.
Halafu sukari siyo bidhaa muhimu kiasi hicho.

Watu ndiyo wanaipaisha kwa sababu ni tamu japo ina madhara.
 
Demand ya chumvi ni ndogo

Mimi binafsi nikinunuachumvi mifuko miwili Kodi ya nyumba inaisha chumvi bado 😂😂😂😂😂
sasa ndo nimegundua
KULA CHUMVI NYINGI SIO JAMBO RAHISI
 
Bora ungetokea uhaba maana zile supu za baa wanazijaza chumvi plus unawekewa chumvi kijiko kizima pembeni yaani
 
Nimeshuduia mara kadhaa nchii ikiingia kwenye uhaba mkali sana wa sukari na bei kupanda juu sana.

Sasa je, ni kwanini uhaba huu haujitokezi kwenye chumvi?

Je utoaji wa vibali vya kuagiza chumvi ni tofauti na utoaji wa vibali vya kuagiza sukari?

Je, viwanda vya chumvi nchini vina ufanisi zaidi kuliko viwanda vya sukari?

Je, viwanda vya chumvi vina Tanesco yao isiyo na mgao tofauti na viwanda vya sukari?

Ikimbukwe, enzi za Yesu watu walilipwa mshahara kwa kutumia chumvi. Neno ‘Salary’ limetokana na neno ‘Saline’, Saline ina maanisha chumvi. Hii ni kuonyesha ni jinsi gani chumvi ina umuhimu kuliko hata Sukari, ila bado hakuna uhaba wa Chumvi, uhaba upo kwenye sukari tu, Why?!.
Ndo ushawapa signal wahuni watapita nayo hii idea
 
Kwa wenye akili hii ni misimu ya kupiga maokoto fresh kama mtu uko mipakani bonge la fursa
Kingine wakati wa uchaguzi vitu hushuka baada ya uchaguzi vitu hupanda zaidi na zaidi kuliko ile kawaida na huwa havirudi chini tena
 
Nimeshuduia mara kadhaa nchii ikiingia kwenye uhaba mkali sana wa sukari na bei kupanda juu sana.

Sasa je, ni kwanini uhaba huu haujitokezi kwenye chumvi?

Je utoaji wa vibali vya kuagiza chumvi ni tofauti na utoaji wa vibali vya kuagiza sukari?

Je, viwanda vya chumvi nchini vina ufanisi zaidi kuliko viwanda vya sukari?

Je, viwanda vya chumvi vina Tanesco yao isiyo na mgao tofauti na viwanda vya sukari?

Ikimbukwe, enzi za Yesu watu walilipwa mshahara kwa kutumia chumvi. Neno ‘Salary’ limetokana na neno ‘Saline’, Saline ina maanisha chumvi. Hii ni kuonyesha ni jinsi gani chumvi ina umuhimu kuliko hata Sukari, ila bado hakuna uhaba wa Chumvi, uhaba upo kwenye sukari tu, Why?!.
Unafahamu chumvi inazalishwaje? Huwezi kulinganisha chumvi na sukari aisee! Chumvi hailimwi!
 
Co
Chumvi inatumika kidogo mno. Demand yake ni ndogo. Kilo moja ya chuvi familia ya watu watano inaweza kutumia mpaka mwezi mzima. Kilo ya sukari haiwezi kutoboa wiki kwenye familia ya ukubwa wa namna hiyo ikiwa wanatumia kila siku.
lakini ukiangalia Coverage ya chumvi kimatumizi ni kubwa kuliko sukari vijijini wengi hawatumii sukari kwa maana kunywa chai sio mara kwa mara.
 
Vinywaji vingi vinatumia sukari sana
Hata chumvi ingekuwa inatumika kwenye vinywaji vya viwandani pazima ingeadimika sana
 
Yaani sukari sh 5300kwa kilo hapa dar meli zimeleta matani ya sukari mbona hatuioni? Nasikia matajiri wananunua kwa wingi halafu wanaificha kwenye magodown Yaani ykapewa mifiko milion moja yeye anatoa laki 2 tu
 
Sukari inalimwa chumvi inachotwa baharini na sea never dry
 
Yaani sukari sh 5300kwa kilo hapa dar meli zimeleta matani ya sukari mbona hatuioni? Nasikia matajiri wananunua kwa wingi halafu wanaificha kwenye magodown Yaani ykapewa mifiko milion moja yeye anatoa laki 2 tu
Kwanini Burundi Sukari ni 1,500/=? , wametuzidi nini?
 
Back
Top Bottom