Je, ni kwanini Tanzania haijawaji kukumbwa na uhaba wa chumvi?

Je, ni kwanini Tanzania haijawaji kukumbwa na uhaba wa chumvi?

Kitu ambacho familia nzima mnaweza kutumia nusu kijiko tu kitawezaje kuadimika??
 
Je, hakuna mavitalu ya mashamba ya sukari Kagera, Kilombero, Mtubwa na Bagamoyo Sugar?
Matumizi ya chumvi ni tofauti na sukari, sukari inatumika sana pia process ya kuipata chumvi sio ngumu kama process ya kupanda miwa, ichipue, ikomae, ivunwe mpaka kupatikana sukari
 
 
Back
Top Bottom