Halafu sukari siyo bidhaa muhimu kiasi hicho.Chumvi inatumika kidogo mno. Demand yake ni ndogo. Kilo moja ya chuvi familia ya watu watano inaweza kutumia mpaka mwezi mzima. Kilo ya sukari haiwezi kutoboa wiki kwenye familia ya ukubwa wa namna hiyo ikiwa wanatumia kila siku.
Ndo ushawapa signal wahuni watapita nayo hii ideaNimeshuduia mara kadhaa nchii ikiingia kwenye uhaba mkali sana wa sukari na bei kupanda juu sana.
Sasa je, ni kwanini uhaba huu haujitokezi kwenye chumvi?
Je utoaji wa vibali vya kuagiza chumvi ni tofauti na utoaji wa vibali vya kuagiza sukari?
Je, viwanda vya chumvi nchini vina ufanisi zaidi kuliko viwanda vya sukari?
Je, viwanda vya chumvi vina Tanesco yao isiyo na mgao tofauti na viwanda vya sukari?
Ikimbukwe, enzi za Yesu watu walilipwa mshahara kwa kutumia chumvi. Neno ‘Salary’ limetokana na neno ‘Saline’, Saline ina maanisha chumvi. Hii ni kuonyesha ni jinsi gani chumvi ina umuhimu kuliko hata Sukari, ila bado hakuna uhaba wa Chumvi, uhaba upo kwenye sukari tu, Why?!.
Acha masikhara, hii unayosema ni kweli au umeamua kutuumiza roho tu?!Matatizo mengi Tanzania ni ya kutengeneza
Tukivuka Burundi sukari ni 1500
Kwani Waburundi wametuzidi nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu chumvi inazalishwaje? Huwezi kulinganisha chumvi na sukari aisee! Chumvi hailimwi!Nimeshuduia mara kadhaa nchii ikiingia kwenye uhaba mkali sana wa sukari na bei kupanda juu sana.
Sasa je, ni kwanini uhaba huu haujitokezi kwenye chumvi?
Je utoaji wa vibali vya kuagiza chumvi ni tofauti na utoaji wa vibali vya kuagiza sukari?
Je, viwanda vya chumvi nchini vina ufanisi zaidi kuliko viwanda vya sukari?
Je, viwanda vya chumvi vina Tanesco yao isiyo na mgao tofauti na viwanda vya sukari?
Ikimbukwe, enzi za Yesu watu walilipwa mshahara kwa kutumia chumvi. Neno ‘Salary’ limetokana na neno ‘Saline’, Saline ina maanisha chumvi. Hii ni kuonyesha ni jinsi gani chumvi ina umuhimu kuliko hata Sukari, ila bado hakuna uhaba wa Chumvi, uhaba upo kwenye sukari tu, Why?!.
Dhahabu huwa inalimwa shamba lipi?Unafahamu chumvi onazalishwaje? Huwezi kulinganisha chumvi na sukari aisee! Chumvi hailimwi!
Elewa neno uvinza!
Tuna migodi mingi...Elewa neno uvinza!
Santo sana
Tanzania tumebarikiwa sana Uvinza kama yote
Kabeeesa kwa Migodi tu aaah tumebarikiwa sanaTuna migodi mingi...
lakini ukiangalia Coverage ya chumvi kimatumizi ni kubwa kuliko sukari vijijini wengi hawatumii sukari kwa maana kunywa chai sio mara kwa mara.Chumvi inatumika kidogo mno. Demand yake ni ndogo. Kilo moja ya chuvi familia ya watu watano inaweza kutumia mpaka mwezi mzima. Kilo ya sukari haiwezi kutoboa wiki kwenye familia ya ukubwa wa namna hiyo ikiwa wanatumia kila siku.
Kweli mkuuAcha masikhara, hii unayosema ni kweli au umeamua kutuumiza roho tu?!
Kwanini Burundi Sukari ni 1,500/=? , wametuzidi nini?Yaani sukari sh 5300kwa kilo hapa dar meli zimeleta matani ya sukari mbona hatuioni? Nasikia matajiri wananunua kwa wingi halafu wanaificha kwenye magodown Yaani ykapewa mifiko milion moja yeye anatoa laki 2 tu