Mkuu
Tindo, kwanza asante sana kwa hoja hii, pili kwa ruhusa yako, naomba kuitumia hoja hii kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
Mimi sijakwama popote, na ni kweli kabisa nitaonekana kama nimekosa uthubutu, kwasababu wengi wanaamini kazi ya uwakili ni ku practice mahakamani tuu, mimi japo ni wakili lakini sijawahi kukanyaga mahakamani ukiondoa field, kwasababu my approach is different.
Namshuru sana Mungu, nimejaliwa uwezo wa kuyasikia ya moyoni ambayo hayakusemwa wakati wakati wakati mtu anazungumza, hivyo my approach sio confrontations ya kumkabili na kwenda kupambana mahakamani kwenye court battles, my approach is using persuasive approach ya kuelimisha, kushauri na kuomba, asking and begging!.
Njia hii worked very well with JPM, kwanza kabla JPM hajawa Rais wetu, nilisema kitu hapa
Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli kabla hajatangazwa mshindi nikasema
Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! baada ya mwaka mmoja madarakani baada ya kumpiga lile swali pale Ikulu,
View: https://youtu.be/Ta0URHvUlko?si=S9IHypZ7QvzHIJhh
Nikawashangaa wapinzani kwanini hawaendi mahakamani kupinga udikiteta!,
Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
View: https://youtu.be/A_YPEHtM9WM?si=QR0p57OagnPHXMs
zilifuata the consequences, ndipo nikagundua tunatawaliwa na the law of the jungle, struggle for existence, survival is only for the fittest, to be fit one has to adapt to the changing environments, usipo badilika kuendana na mabadiliko, you'll just perish!. Hivyo nika change approach, baada ya kugundua anapenda sifa, the approach ni kumsifu kwanza kwa kumpuliza kwanza kisha ndipo unang'ata, kiukweli this method was very effective, mkimdunga sindano, inamuingia na dose inampata, akaanza kubadilika, changing for the better, by the time Sir God anamuita kumpangia majukumu mengine, he was a saint!, na amini usiamini, kama Mungu asinge muita kwake, ni JPM angetuachia katiba mpya!
Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!
Na huwezi amini mahali alipo sasa !
Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
Hivyo huyu Maza bado naendelea kumsoma na kumtafakari kwa makini baadhi ya kauli zake kama hii
View: https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=G1tCetZ_w34Dbnmv na kujiuliza mtu ukifungua shauri kama hili, hutaonekana unamuendea kinyume?. Ameisha sema ukimuendea kinyume atakufanya nini!, je niko tayari for that?. Ile nimeuliza tuu lile swali siku ile pale Ikulu, kilichofuatia ... nikifungua shauri will I be ready for the consequences?. Will it be effective?.
Mimi nimeamua kwenye hili la katiba, sio kumkabili bali kumu engage kwa mtindo wa circumnavigation, badala ya head on collision, unatuamia uelimishaji umma kumuelimisha ataelimika, atabadilika na hatimaye atabadilisha na kuruhusu. This is my approach
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=8ob-hL1B2YLMq8Mj
Hivyo vipindi kama hivi
View: https://youtu.be/owBvx8H2H68?si=1k8ehNBwf0jEYiZm vitasaidia kumzindua.
Pia naandikia magazeti mawili, Nipashe ya kila Jumapili na Mwananchi ya kila Jumatano, kule ni mwndo wa spana za lugha ya kistaarabu na kiugwana ila sindano zinadungwa!.
Hili ni bandiko soon nitalipandisha ila sio leo!
P.