Hii itasaidia nini kama mlipaji na yeye hawezi ku-break even ? Ndio maana nikauliza kama una mfanyakazi wa ndani unamlipaje ? Je anao uwezo wa kujikimu na unachomlipa ?
Pili Kama kuna watu kumi wanataka hio kazi ya kulipwa kwa masaa huyu anaweza akachukua robo unayochukua wewe unadhani kutoka kwenye salary mpaka wages kutasaidia nini ?
Tatu hata sasa watu wanalipana kwa masaa (ndio maana kuna siku na muda wa kazi) Pia kukazia hapa kwenye wages bado itakuwa yaleyale unless unaweza kusema hakuna overtime ni flat late (ila hio itamsaidia vipi anayelipwa)?
Utaona hapa issue ni competition na ili uweze ku-compete kwa bei unahitaji kupunguza overheads (na mishahara ni mojawapo ya hizo overheads)
Na hapo bado sijaanza kuongelea automation....