Je, ni kwanini waajiri wengi hapa kwetu mishahara yao haiendani na uhalisia wa gharama za maisha, na Je, ni halali kubakia hivi miaka yote?

Mkuu unaweza tu kuendelea kutuelimisha kuhusu issue ya automation ili na sisi tufaidike kwa haya maarifa unayotoa. Karibu sana.
 
Mkuu unaweza tu kuendelea kutuelimisha kuhusu issue ya automation ili na sisi tufaidike kwa haya maarifa unayotoa. Karibu sana.
Zamani walihitajika watu kuhesabu pesa, watu wa kulima watu kwenye assembly line kuchomeka hiki na kile muhasibu wa kukufanyia mahesabu..., sasa hivi mtu akinunua kitu kwenye point of sale mahesabu yote yanapigwa kwa sekunde na kujua faida inventory n.k. na hata manunuzi kuweza kufanywa automatically na mashine..., mashine inaweza kulima masaa 24, kuanzia kupanda mpaka kuvuna...

Kizazi hiki Gen-Z hawana muda wa kuzungukia supermarket na kufanya window shopping wanaangalia kwenye mtandao wanaagiza kitu kinatoka directly kwenye stock, huitaji sales people wengi au watu kwenye counter.... Hata diagnosis kwa madaktari au ushauri wa kisheria mtu anaweza akaingiza tu data na kupata jibu akiwa amekaa Bar na simu yake....

Kwa ufupi nguvu kazi haitakiwi kama zamani..., Kiwanda kilichokuwa na watu 200 kinaweza kufunga mashine mpya na kuhitaji watu watano tu wa kufanya service na ku-monitor production mashine hailalamiki wala haechelewi wala kukuibia wala kudai nyongeza ya mshahara...

Kwahio through automation kumesababisha demand ya nguvu kazi nyingi (hususan manual) kupungua sana.., kwahio we need to rethink labda kwenye industry ya creativity huko ndio bado hakuna automation zaidi ila kuna mashine moja ilikuwa programed ikaweza kutunga wimbo....

In the future itabidi kama binadamu tuangalie tunataka nini sababu kwa sasa a lot can be produced with less; issue ni how do we share it....
 
Nadhani hukumuelewa ndug.....ametumia kula na kusaza kama kuonesha kuwa mshahara huo unakidhi mahitaji yote ya msingi ikiwemo kula.......na kula ni moja hitaji la msingi la kwanza kwa kuwa ndio linebeba sababu ya kuishi........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…