Aaaah Da Sophy weee.........
Kutesa kwa zamu my dear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaah Da Sophy weee.........
Kutesa kwa zamu my dear
Mmmh.... tesa mwaya!
Habari yako Smiles....:welcome:
Kama hutajali, naweza pata japo kwa PM physical appearance yako kwa upande wa nyuma? :confused2:
Sasa waweza kuibadili hiyo avatar yako ili nifanye kazi kwa ufanisi?Duh....I went speechless there a bit!
Ningeweza ningekutumia Asprin....lakini bahati mbaya ombi lako liko nje ya uwezo wangu!!
Sasa waweza kuibadili hiyo avatar yako ili nifanye kazi kwa ufanisi?
I am in love with your avatar.....:confused2::confused2:
Mpwa nakuona at your best
Taratibu mpwa.... am doing the needful....
Mi na Smiles tumetokea kuwa marafiki tangu enzi za praimare skuli darasa la 6B shule ya msingi Mtakuja.

Go Asprin go, tena kimbia usilembe hata kdg, gud lucky.Taratibu mpwa.... am doing the needful....
Mi na Smiles tumetokea kuwa marafiki tangu enzi za praimare skuli darasa la 6B shule ya msingi Mtakuja.
Ktk post zako huwa navutiwa na sanaa yako ya LUGHA. Najaribu kutengeneza animation hapa ya mwanamke mwenye wowowo akitembea ntampa jina la Da Sophy akitupa maweMwenzenu namshukuru Allah SWT kanijaalia wowowo ninalo si haba mtoto natupa mawe kwa raha zangu. Mwenzangu flani kajikondesha kawa kama perege alokaushwa kwa jua imeshakula kwake tayari!
Mkuu. ni sawa na kutoa conclusion ya mjadala wa ndoa.hii thread bado haichuji .... ?? mmoja atoe conclusion iishe
makalio yana raha yake bwana,kuanzia ktk aina fulani za mavazi au mpk kwa 6 x 6, but yasiwe makubwaaaa mpk yanakera, size fulani hivi ni poa zaidi.
makalio yana raha yake bwana,kuanzia ktk aina fulani za mavazi au mpk kwa 6 x 6, but yasiwe makubwaaaa mpk yanakera, size fulani hivi ni poa zaidi.