Je ni kwasababu gani watu wanapenda wowowo?

Je ni kwasababu gani watu wanapenda wowowo?

Habari yako Smiles....:welcome:

Kama hutajali, naweza pata japo kwa PM physical appearance yako kwa upande wa nyuma? :confused2:

Duh....I went speechless there a bit!
Ningeweza ningekutumia Asprin....lakini bahati mbaya ombi lako liko nje ya uwezo wangu!!
 
The phrase "tunaangalia tuu, just enjoying what we see" aint true. Question to you my brothers, when u r offered what you have admired, wont u go for it? an honest opinion will be appreciated.
 
Duh....I went speechless there a bit!
Ningeweza ningekutumia Asprin....lakini bahati mbaya ombi lako liko nje ya uwezo wangu!!
Sasa waweza kuibadili hiyo avatar yako ili nifanye kazi kwa ufanisi?

I am in love with your avatar.....:confused2::confused2:
 
Nimekumbuka wimbo wa dudu baya wa sipendi majipu napenda manundu
 
Taratibu mpwa.... am doing the needful....

Mi na Smiles tumetokea kuwa marafiki tangu enzi za praimare skuli darasa la 6B shule ya msingi Mtakuja.

Chrispin vipi:becky::becky::becky:
 
Sasa waweza kuibadili hiyo avatar yako ili nifanye kazi kwa ufanisi?

I am in love with your avatar.....:confused2::confused2:

Phew......! Am flattered...
And nafikiri ni vema ikiendelea kukaa hapo....ili ichemshe akili yako vizuri!
Mind shud be busy....not dull!!:smile-big:
 
Taratibu mpwa.... am doing the needful....

Mi na Smiles tumetokea kuwa marafiki tangu enzi za praimare skuli darasa la 6B shule ya msingi Mtakuja.

hahahahah......:becky:
 
Taratibu mpwa.... am doing the needful....

Mi na Smiles tumetokea kuwa marafiki tangu enzi za praimare skuli darasa la 6B shule ya msingi Mtakuja.
Go Asprin go, tena kimbia usilembe hata kdg, gud lucky.
 
Mwenzenu namshukuru Allah SWT kanijaalia wowowo ninalo si haba mtoto natupa mawe kwa raha zangu. Mwenzangu flani kajikondesha kawa kama perege alokaushwa kwa jua imeshakula kwake tayari!
Ktk post zako huwa navutiwa na sanaa yako ya LUGHA. Najaribu kutengeneza animation hapa ya mwanamke mwenye wowowo akitembea ntampa jina la Da Sophy akitupa mawe
 
hii thread bado haichuji .... ?? mmoja atoe conclusion iishe
 
hii thread bado haichuji .... ?? mmoja atoe conclusion iishe
Mkuu. ni sawa na kutoa conclusion ya mjadala wa ndoa.
Ngoma inogile na ninaona hii thread inarudi upyaaa ikitukuta tumeshakua na kuanza kupost upyaaaaa.
 
makalio yana raha yake bwana,kuanzia ktk aina fulani za mavazi au mpk kwa 6 x 6, but yasiwe makubwaaaa mpk yanakera, size fulani hivi ni poa zaidi.
 
Back
Top Bottom