Chiferereji Cha jisatu
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 117
- 258
Aiseeh Leo katika pita pita zangu mm huwa syo mtu wa story za vjiwen ila Leo mlienda mahali tulikuw wanaume tu bas story zlipgwa nyingiii akina s unajua palpo na wanaume wanawake pia huongelewa😂😂, kama ilivo kwenye saloon za wanawake pia wanaume huongelewa 🥲🥲
Ikaja Agenda kama ilivosome hapo juu kwamba Watu wanaochangia ndoa nyingi za Harusi kuvunjika bas n wale washiriki wa Ile harusi, marafiki na ndugu
Wakaenda mbali kabsa wakasema kwmba unaandikia watu kwmba double 150,000
Single 75,000 hyo hela watu wanatoa ila inawauma hvo hutaman kukuibia mkeo
Je Lina ukweli ndani yake