ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Magu alikuwa zigo la TaifaNi kama Bongo treni ya umeme.
Inakula matrilion ya pesa .
Magu namkubali ila swala la kujenga reli mpya ndefu halikuwa na ulazima.
Angeboresha zile zile reli za zamani. Treni za kizamani mbona zinabeba mizigo na abiria fresh kabisa.
Hizo trilioni za kujenga reli..zingejenga kiwanda kikubwa cha kusapoti agliculture zetu for export