figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Inadaiwa kwamba Ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya ya Mradi. Wamiliki wengi wa mabasi ni wabunge na mawaziri, wanasema huu mradi wa SGR unakwamisha sana biashara zao.
Ndo maana hata mradi unaenda kwa kususasua sababu vizingiti vya wafanyabishara wanaoidhamini CCM ni vingi.
Je, kwanini Serikali haijaagiza usalama wa taifa kuchunguza hili jambo?
Kwanini Serikali imekaa kimya? Nani yupo nyuma ya ukimya huu?
Je, ni hujuma au mpango wa Shetani?