figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #21
Haya sema unaongelea nini tukuelewe. Tatizo huelewekiUmevamia mada, huelewi hata naongelea nini
Haya sema unaongelea nini tukuelewe. Tatizo huelewekiUmevamia mada, huelewi hata naongelea nini
Hawa hawa ndiyo waliua reli ya kati miaka ya 1990 hadi leo.Hii kitu imeniuzunisha sana, nasema imeniumiza sana.
Na ukweli unabaki hivyo kuwa ni HUJUMA kubwa sana imefanyika na waliofanya ni hao hao wafanyaB.
Nchi inaungua taratibu...
ThibitishaInadaiwa kwamba Ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya ya Mradi. Wamiliki wengi wa mabasi ni wabunge na mawaziri, wanasema huu mradi wa SGR unakwamisha sana biashara zao.
Ndo maana hata mradi unaenda kwa kususasua sababu vizingiti vya wafanyabishara wanaoidhamini CCM ni vingi.
Je, kwanini Serikali haijaagiza usalama wa taifa kuchunguza hili jambo?
Kwanini Serikali imekaa kimya? Nani yupo nyuma ya ukimya huu?
Je, ni hujuma au mpango wa Shetani?
View attachment 3492988
Kwa nani? Undeni tume niende? Unataka nithibitishe kwako nyankaragata?Thibitisha
Hii ni mada yako uliandika hiviHaya sema unaongelea nini tukuelewe. Tatizo hueleweki
Haya toa hoja yako sasa baada ya nukuu zote. Twende taratibu ili tuelewe.Hii ni mada yako uliandika hivi
View attachment 3493093
Kuna mtu akakujibu hivi
View attachment 3493094
Na mimi nikamsupport kwa kujibu hivi
View attachment 3493095
Zenji hamna sgr!..Sgr ni ya watu wa bara, wewe umejitambulisha kama mzenji, na ukasema utekaji haukuhusu, sgr inakuhusu nini kama sio kiherehere?Inadaiwa kwamba Ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya ya Mradi. Wamiliki wengi wa mabasi ni wabunge na mawaziri, wanasema huu mradi wa SGR unakwamisha sana biashara zao.
Ndo maana hata mradi unaenda kwa kususasua sababu vizingiti vya wafanyabishara wanaoidhamini CCM ni vingi.
Je, kwanini Serikali haijaagiza usalama wa taifa kuchunguza hili jambo?
Kwanini Serikali imekaa kimya? Nani yupo nyuma ya ukimya huu?
Je, ni hujuma au mpango wa Shetani?
View attachment 3492988
Ajali ni ajali ni mawazo Mgando ya kizamani. Ajali zinazuilika.. Njia moja yya treni inatushinda. Je tungekuwa na njia 300? Si kila siku treni zingegongana? Mkuu nini chanzo cha ajali? Naomba jibuImani tuu ajali ni ajali haku lolote.
Uko sahihi kabisa.Katika shughuli ambazo hazitaki mzaha duniani, biashara ya fast train ni moja wapo.
Train za speed zina stress njia balaa, wear and tear ni jambo la kawaida sana. Huko walipozizoea usiku kucha ni kazi ya kukagua njia na kufanya upkeep maintanance.
Roughly kwa nchi kama Facts Sheet 8: Rail versus road, Track maintenance costs | Transport watch UK. Wanatumia kati ya £62-94,000 kufanya upkeep per mile.
Sasa sisemi hizo ndio baseline costs lakini you get the idea kwa Tanzania inaweza kuwa labda theluthi kufanya kitu hiko hiko kwa ubora huo huo.
Hii sio shughuli ya kupita na kiłę kiberenge chao cha hovyo TRC na kukagua njia, this is requires serious checks za njia.
Hiyo ajali ni kama forewarning of the worst possible outcome kama hawakakuwa serious. Na iwapo train zenyewe za mtumba ndio kabisa, there is a very good reason kwanini huyo aliekuuzia anabadilisha baada ya kurudisha hela yake ya kununulia na kuagiza zingine.
Kuna watu wanapikwa as we speek ila ni shoo ya kimya kimya.Badala ya kueleza chanzo cha ajali ile wamekimbilia kujisifu kurudisha huduma mara na ratiba kuendelea bila kusimama.
Kitendo hicho cha kukimbilia kurudisha safari haraka na kudai kutokuwa na vifo, kinaanzisha shauku ya kujua kilichoko nyuma ya pazia. Treni ya sasa ya Standard gauge ina center ya kuendeshea treni mbali na dereva wa treni yenyewe. Ilikuwaje ikahama kwenye njia yake hadi kung'oka exel wakati ilikuwa kwenye mwendo wa kawaida tena station?
Hawa watu wanatabia moja, uwa wanafanya maamuzi ya kipuuzi; madhara yakitokea wanatafuta ‘scape goat’.Uko sahihi kabisa.
Changamoto kubwa ambayo Tanzania iko nayo ni maamuzi mengi ya kitaalamu kufanywa na wanasiasa wakati huo huo siasa zikiwabeba majuha.
Kutokana na siasa hizo hizo zinazalisha wanaoitwa wataalam wa serikali na mashirika ya uma ambao siyo competent.
Kuhusu biashara ya mabasi, ni kweli kwamba wabunge na mawaziri au mwingine yeyote mwenye nafasi ya uamuzi kuhusu train atakuwa na conflict of interest ambayo yaweza kusababisha hujuma.
Akili ya kawaida tu inataka waondolewe wakafanye kazi nyingine.
Sina hoja juu ya mada yako, hoja niliyonayo ndo hiyo ambayo nimemjibu huyo jamaa kwenye comment yake ku support alichoongeaHaya toa hoja yako sasa baada ya nukuu zote. Twende taratibu ili tuelewe.
Na ukiingia online tickets hakunaCCM mtandao hawautaki mradi huu, eti treni linatoka Dar - Dom lina abilia 180 tu - kweli jamani??
Tanzania hii hata maombi hayatoboi.
Inafikirisha. Ile train EMU inabeba abiria wachache wanaojiweza kiuchumi, kuna matukio ya kupoteza watu na wakati mahakama wanasema hakuna ushahidi..... Kuna kitu kilipangwa kuhalalisha vifo kwa gharama ya EMU?... 🤔 Heche inasemekana yuko Dodoma, baada ya kunyakuliwa asubuhi ya tarehe 22/10/2025 Je, ajali ya kesho yake inakosaje kuhusishwa na maendeleo ya kesi zilizoko mahakamani mfano ile ya Pole Pole whereabouts? 🤔🧐🤨Kuna watu wanapikwa as we speek ila ni shoo ya kimya kimya.
Heche hana gharama ya ile ajali brother as of risk calculation na wala sio ishu ya kisiasa..... Kuna makosa yalifanyika control room na wanawajibika najua as we speek.Inafikirisha. Ile train EMU inabeba abiria wachache wanaojiweza kiuchumi, kuna matukio ya kupoteza watu na wakati mahakama wanasema hakuna ushahidi..... Kuna kitu kilipangwa kuhalalisha vifo kwa gharama ya EMU?... 🤔 Heche inasemekana yuko Dodoma, baada ya kunyakuliwa asubuhi ya tarehe 22/10/2025 Je, ajali ya kesho yake inakosaje kuhusishwa na maendeleo ya kesi zilizoko mahakamani mfano ile ya Pole Pole whereabouts? 🤔🧐🤨
Nawaza kwa sauti tu na kujaribu kuunganisha dots..... 😳