figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Moja ya wataalam aliyeongozana na Kamati ya ulinzi na usalama kasema kuna uwezekano mkubwa ni hujuma sababu sio rahisi ajali itokee vile na teknolojia ya sasa.Nasikia walitaka toa kafara, ila limefyoba maana hajafa hata mmoja.
Anyway hii inchi ina upumbuvu mwingi. Usalama na vyombo vingine vimeishajifia kitambo
Kwani hakuna biashara zingine za kufanya, hadi wang'aninie mabasi??Inadaiwa kwamba Ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya ya Mradi. Wamiliki wengi wa mabasi ni wabunge na mawaziri, wanasema huu mradi wa SGR unakwamisha sana biashara zao.
Ndo maana hata mradi unaenda kwa kususasua sababu vizingiti vya wafanyabishara wanaoidhamini CCM ni vingi.
Je, kwanini Serikali haijaagiza usalama wa taifa kuchunguza hili jambo?
Kwanini Serikali imekaa kimya? Nani yupo nyuma ya ukimya huu?
Je, ni hujuma au mpango wa Shetani?
View attachment 3492988
Not serious people at allBadala ya kueleza chanzo cha ajali ile wamekimbilia kujisifu kurudisha huduma mara na ratiba kuendelea bila kusimama.
Kitendo hicho cha kukimbilia kurudisha safari haraka na kudai kutokuwa na vifo, kinaanzisha shauku ya kujua kilichoko nyuma ya pazia. Treni ya sasa ya Standard gauge ina center ya kuendeshea treni mbali na dereva wa treni yenyewe. Ilikuwaje ikahama kwenye njia yake hadi kung'oka exel wakati ilikuwa kwenye mwendo wa kawaida tena station?
Halafu wote ni ccmInadaiwa kwamba Ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya ya Mradi. Wamiliki wengi wa mabasi ni wabunge na mawaziri, wanasema huu mradi wa SGR unakwamisha sana biashara zao.
Ndo maana hata mradi unaenda kwa kususasua sababu vizingiti vya wafanyabishara wanaoidhamini CCM ni vingi.
Je, kwanini Serikali haijaagiza usalama wa taifa kuchunguza hili jambo?
Kwanini Serikali imekaa kimya? Nani yupo nyuma ya ukimya huu?
Je, ni hujuma au mpango wa Shetani?
View attachment 3492988
Watanzania wamekuwa wagumu kutolewa kafara kama Vengu wa Orijino komedi, kina masanja, mpoki na joti wamejaribu mwamba kakomaa kufa.Inadaiwa kwamba Ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya ya Mradi. Wamiliki wengi wa mabasi ni wabunge na mawaziri, wanasema huu mradi wa SGR unakwamisha sana biashara zao.
Ndo maana hata mradi unaenda kwa kususasua sababu vizingiti vya wafanyabishara wanaoidhamini CCM ni vingi.
Je, kwanini Serikali haijaagiza usalama wa taifa kuchunguza hili jambo?
Kwanini Serikali imekaa kimya? Nani yupo nyuma ya ukimya huu?
Je, ni hujuma au mpango wa Shetani?
View attachment 3492988
Bila shaka,wanamtandao wanajaribu kudumisha maslahi yao na kupunguza washiriki wa kutotiki,na kufufua fursa zao zilizouliwa na sgrInadaiwa kwamba Ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya ya Mradi. Wamiliki wengi wa mabasi ni wabunge na mawaziri, wanasema huu mradi wa SGR unakwamisha sana biashara zao.
Ndo maana hata mradi unaenda kwa kususasua sababu vizingiti vya wafanyabishara wanaoidhamini CCM ni vingi.
Je, kwanini Serikali haijaagiza usalama wa taifa kuchunguza hili jambo?
Kwanini Serikali imekaa kimya? Nani yupo nyuma ya ukimya huu?
Je, ni hujuma au mpango wa Shetani?
View attachment 3492988
hivi kweli unaamini serikali ya mama clock100 eti ifanye uchunguzi !? Upo serious kweli!?Inadaiwa kwamba Ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya ya Mradi. Wamiliki wengi wa mabasi ni wabunge na mawaziri, wanasema huu mradi wa SGR unakwamisha sana biashara zao.
Ndo maana hata mradi unaenda kwa kususasua sababu vizingiti vya wafanyabishara wanaoidhamini CCM ni vingi.
Je, kwanini Serikali haijaagiza usalama wa taifa kuchunguza hili jambo?
Kwanini Serikali imekaa kimya? Nani yupo nyuma ya ukimya huu?
Je, ni hujuma au mpango wa Shetani?
View attachment 3492988
Tatizo tunabomoa Nchi ili kujenga chama. UjingaSitoshangaa wakisingiziwa wapinzani kung'oa taruma la yepi merkezi.
Na pia hakuna route nyingine apart from Dar to Dodoma? Kwa nini wang'ang'anie route hiyo tu?Kwani hakuna biashara zingine za kufanya, hadi wang'aninie mabasi??
Imani tuu ajali ni ajali haku lolote.Inadaiwa kwamba Ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya ya Mradi. Wamiliki wengi wa mabasi ni wabunge na mawaziri, wanasema huu mradi wa SGR unakwamisha sana biashara zao.
Ndo maana hata mradi unaenda kwa kususasua sababu vizingiti vya wafanyabishara wanaoidhamini CCM ni vingi.
Je, kwanini Serikali haijaagiza usalama wa taifa kuchunguza hili jambo?
Kwanini Serikali imekaa kimya? Nani yupo nyuma ya ukimya huu?
Je, ni hujuma au mpango wa Shetani?
View attachment 3492988
Yaani bado unaamini kwenye bunge? Basi upelekwe nzuguni kata Uhindini DodomaNa pia hakuna route nyingine apart from Dar to Dodoma? Kwa nini wang'ang'anie route hiyo tu?
Kama ni kweli hiyo ndo sababu basi hao wabunge watakuwa wajinga.
Umevamia mada, huelewi hata naongelea niniYaani bado unaamini kwenye bunge? Basi upelekwe nzuguni kata Uhindini Dodoma