Je, ni kweli ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya mradi?

Hii kitu imeniuzunisha sana, nasema imeniumiza sana.

Na ukweli unabaki hivyo kuwa ni HUJUMA kubwa sana imefanyika na waliofanya ni hao hao wafanyaB.

Nchi inaungua taratibu...
 
CCM mtandao hawautaki mradi huu, eti treni linatoka Dar - Dom lina abilia 180 tu - kweli jamani??

Tanzania hii hata maombi hayatoboi.
 
Hii kitu imeniuzunisha sana, nasema imeniumiza sana.

Na ukweli unabaki hivyo kuwa ni HUJUMA kubwa sana imefanyika na waliofanya ni hao hao wafanyaB.

Nchi inaungua taratibu...
Hawa hawa ndiyo waliua reli ya kati miaka ya 1990 hadi leo.
 
Thibitisha
 
Zenji hamna sgr!..Sgr ni ya watu wa bara, wewe umejitambulisha kama mzenji, na ukasema utekaji haukuhusu, sgr inakuhusu nini kama sio kiherehere?
 
Imani tuu ajali ni ajali haku lolote.
Ajali ni ajali ni mawazo Mgando ya kizamani. Ajali zinazuilika.. Njia moja yya treni inatushinda. Je tungekuwa na njia 300? Si kila siku treni zingegongana? Mkuu nini chanzo cha ajali? Naomba jibu
 
Uko sahihi kabisa.
Changamoto kubwa ambayo Tanzania iko nayo ni maamuzi mengi ya kitaalamu kufanywa na wanasiasa wakati huo huo siasa zikiwabeba majuha.
Kutokana na siasa hizo hizo zinazalisha wanaoitwa wataalam wa serikali na mashirika ya uma ambao siyo competent.
Kuhusu biashara ya mabasi, ni kweli kwamba wabunge na mawaziri au mwingine yeyote mwenye nafasi ya uamuzi kuhusu train atakuwa na conflict of interest ambayo yaweza kusababisha hujuma.
Akili ya kawaida tu inataka waondolewe wakafanye kazi nyingine.
 
Hapi dola za kimarekani Milioni 3,200,000 zimepotea na akuna anayejali
 
Kuna watu wanapikwa as we speek ila ni shoo ya kimya kimya.
 
Hawa watu wanatabia moja, uwa wanafanya maamuzi ya kipuuzi; madhara yakitokea wanatafuta ‘scape goat’.

Uwongo unatabia ya ku-catch overtime. Kama ni swala la uzembe wajipange kwa sababu, kulaumu wengine sio solution; litajirudia tu.

Ukweli wa science ni kwamba fast train zinasababisha heavy stress kwenye railway line na regular checks and upkeep is the norm. Hakuna mbadala wa hilo zoezi au compromise vinginevyo ni swala la muda tu before a lot of lives are lost.

Fanya research ya accidents za fast trains utabaini asilimia kubwa ni kwa sababu ya miundombinu au traffic errors
 
Haya toa hoja yako sasa baada ya nukuu zote. Twende taratibu ili tuelewe.
Sina hoja juu ya mada yako, hoja niliyonayo ndo hiyo ambayo nimemjibu huyo jamaa kwenye comment yake ku support alichoongea
Ila kuhusi topic yako mimi sina neno
 
CCM mtandao hawautaki mradi huu, eti treni linatoka Dar - Dom lina abilia 180 tu - kweli jamani??

Tanzania hii hata maombi hayatoboi.
Na ukiingia online tickets hakuna
 
Kuna watu wanapikwa as we speek ila ni shoo ya kimya kimya.
Inafikirisha. Ile train EMU inabeba abiria wachache wanaojiweza kiuchumi, kuna matukio ya kupoteza watu na wakati mahakama wanasema hakuna ushahidi..... Kuna kitu kilipangwa kuhalalisha vifo kwa gharama ya EMU?... 🤔 Heche inasemekana yuko Dodoma, baada ya kunyakuliwa asubuhi ya tarehe 22/10/2025 Je, ajali ya kesho yake inakosaje kuhusishwa na maendeleo ya kesi zilizoko mahakamani mfano ile ya Pole Pole whereabouts? 🤔🧐🤨

Nawaza kwa sauti tu na kujaribu kuunganisha dots..... 😳
 
Heche hana gharama ya ile ajali brother as of risk calculation na wala sio ishu ya kisiasa..... Kuna makosa yalifanyika control room na wanawajibika najua as we speek.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…