Je, ni kweli ajali ya Treni ya SGR ni hujuma ya mradi?

Heche hana gharama ya ile ajali brother as of risk calculation na wala sio ishu ya kisiasa..... Kuna makosa yalifanyika control room na wanawajibika najua as we speek.
Yeah. Hiyo ndio ilikuwa assumption yangu ya kwanza baada ya ajali ile, Lakini kwa level ya impunity iliyoko sasa Serikalini inatoa mwanya mpana wa hawa waharifu wa kwenye System kufanikisha mambo yao bila kuacha ushahidi. 👍
 
Hakuna watu wanao tuhujumu.
We are just incompentent, inefficient society.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…