KUMBE SIO RUHUSA KUFUGA MAJINI EEwanafuga majini kweli,,kasome "suratul jinn" ALLAH anawaambia waislam,hakika ninyi nyote mtaenda motoni kwani mnawaweka majini kati yangu na ninyi,,na majini yanalalamika kwa kusema kwamba,,,,tunashirikiana na wanadamu ktik kutafuta risk!!!
Hiyo Ni Quran Yako Hakuna Aya Inasema Hivo Au Hujui Kufafanua Unachosoma.Ni Aya Ya Ngap Hyowanafuga majini kweli,,kasome "suratul jinn" ALLAH anawaambia waislam,hakika ninyi nyote mtaenda motoni kwani mnawaweka majini kati yangu na ninyi,,na majini yanalalamika kwa kusema kwamba,,,,tunashirikiana na wanadamu ktik kutafuta risk!!!
Mimi nikotofauti na hii fikra ambayo pia hapo zamani nlijua ivo kutokana na mapokeo ya kijamii ila kwa siku hizo najuaga Mungu aliumba binadamu ili akatawale dunia na vyote viujazavyo kwa lugha ingine ni kwamba Mungu alitaka kutawala dunia kwa kukaimisha madaraka kwa mwanadamu...nimewakilisha tuViumbe wote vimeumbwa na allah mwingi wa rehema, ikiwemo watu , majini , miti na kadhalika na hakika lengo kubwa wote tunalijua ni kumuabudu yeye mungu mmoja ambae hana mshirika, hakuzaa wala hakuzaliwa
iko siku utaujua ukweli!!!Hiyo Ni Quran Yako Hakuna Aya Inasema Hivo Au Hujui Kufafanua Unachosoma.Ni Aya Ya Ngap Hyo
da!!!,ebu niambie kazi ya jinni makata na maimuna,,,je??? izo kazi zao nao wanamwabudu MUNGU???Kuna watu wanashangaa kusikia majini yameumbwa ili kuabudu.!!! Mtu akisikia neno jini akili yake anaipeleka katika mawazo TOFAUTI kabisa ! Kweli wazungu wamewashika watu pabaya na propaganda zao !
Hakuna Ukwel Naoweza Kuamini Zaidi Ya Huu Naouamin Sasa Kama Wewe Ni Mkristo Naujua Ukristo Zaid Yakoiko siku utaujua ukweli!!!
okHakuna Ukwel Naoweza Kuamini Zaidi Ya Huu Naouamin Sasa Kama Wewe Ni Mkristo Naujua Ukristo Zaid Yako
Kuna Majini Mabaya Na Mazur Kama Quran Inavosema.Kama Tulivyo Wanadamu Kuna Wabaya Na Wazur,da!!!,ebu niambie kazi ya jinni makata na maimuna,,,je??? izo kazi zao nao wanamwabudu MUNGU???
Wapi Nabii Sulemani aliishi na Majini?Muislam Ndungu Yake Muislam,jini Kwa Jini Mwanadamu Kwa Mwanadamu.Tunaamini Katika Ghaibu Mungu,malaika,majini Hatuoni Ila Tunaamini,kama Majini Ningekuwa Nawaona Bas Hata Mimi Majini Ya Kiislamu Ningeishi Nao Kama Nabii Suleiman
Mbona hujamtaja shetanViumbe wote vimeumbwa na allah mwingi wa rehema, ikiwemo watu , majini , miti na kadhalika na hakika lengo kubwa wote tunalijua ni kumuabudu yeye mungu mmoja ambae hana mshirika, hakuzaa wala hakuzaliwa
Hata binaadamu wapo wasiomuabudu mungu hapo israel tu ambapo ndio mnaita taifa teule kuna almost 30% hawaamini kama kuna mungu, na hakuna kiumbe kikakmilifu bali mungu, hata binaadamu kuna vibaka, matapeli wauaji na kadhalikada!!!,ebu niambie kazi ya jinni makata na maimuna,,,je??? izo kazi zao nao wanamwabudu MUNGU???
Mungu hakuwahi kuumba majini, bali Maiaika ambao baada ya kuwa wameasi ndiyo wakaitwa majiniViumbe wote vimeumbwa na allah mwingi wa rehema, ikiwemo watu , majini , miti na kadhalika na hakika lengo kubwa wote tunalijua ni kumuabudu yeye mungu mmoja ambae hana mshirika, hakuzaa wala hakuzaliwa
Hapa anayeongea ni jini au Allah mana Quran yote ni maneno ya AllahWapi Nabii Sulemani aliishi na Majini?
Weka Aya
Majini yamelaaniwa na kufukuzwa mbinguni yakitaka kuchungulia Mbinguni yanapigwa na vimondo.
Yenyewe yanakili mwanzoni yalikuwa yanaishi huko.
وَأَنَّا لَمَسْنَا السَّمَاءَ فَوَجَدْنَاهَا مُلِئَتْ حَرَسًا شَدِيدًا وَشُهُبًا
(AL - JINN - 8)
Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.
وَأَنَّا كُنَّا نَقْعُدُ مِنْهَا مَقَاعِدَ لِلسَّمْعِ ۖ فَمَن يَسْتَمِعِ الْآنَ يَجِدْ لَهُ شِهَابًا رَّصَدًا
(AL - JINN - 9)
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
Hapa nani ni mkweli, ni nyinyi mnaoyatetea Majini au Majini yenyewe?
Kwahiyo majini wameumbwa na nani mkuu? Maana muumba ni mmoja tu au ndio miungu watatu?Mungu hakuwahi kuumba majini, bali Maiaika ambao baada ya kuwa wameasi ndiyo wakaitwa majini
Hivi Kaka zako sio ndugu zako ?Nini maana ya ndugu?
Ndugu ni mtu mwenye uhusiano na wewe kwa damu (wazazi wenu ni wamoja au mmechangia mzazi mmoja) au ni watu wa familia au ukoo mmoja. Kuna undugu wa imani ambao udugu huu unawafungamamnisha watu wa familia au kabila tofauti kwa imani zao. Jini hawezi kuwa na udugu na mwanadamu hata wakiwa na imani moja, kwani maumbile yao hayafanani, ni sawa kusema kuwa na udugu na nyoka au simba.
Yanaongea Majini.Hapa anayeongea ni jini au Allah mana Quran yote ni maneno ya Allah