Je, ni kweli Allah amewaumba binadamu na majini ili wamuabudu?

Je, ni kweli Allah amewaumba binadamu na majini ili wamuabudu?

Hivi hicho kitabu kinaweza kutueleza sababu ya Majini kufukuzwa Mbinguni kama yanavyo simulia yenyewe kwenye Sura yao ya Majini?

وَأَنَّا لَمَسْنَا السَّمَاءَ فَوَجَدْنَاهَا مُلِئَتْ حَرَسًا شَدِيدًا وَشُهُبًا
(AL - JINN - 8)
Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.

وَأَنَّا كُنَّا نَقْعُدُ مِنْهَا مَقَاعِدَ لِلسَّمْعِ ۖ فَمَن يَسْتَمِعِ الْآنَ يَجِدْ لَهُ شِهَابًا رَّصَدًا
(AL - JINN - 9)
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!

Hivi kuna ushahidi wowote unao eleza kuwa Majini yaliwahi kukaa Mbinguni ?
 
Back
Top Bottom