Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Nioneshe hicho kifungu kilichoandika hivyo.BIBLIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nioneshe hicho kifungu kilichoandika hivyo.BIBLIA
Majinni ni viumbe kama walivyo Bina damu tofaoti yake majinni yanaweza kumuona binadamu lakini binadamu hawezi kuyaona pia majinni yaweza kuishi kuingia popote anapo ishi binadamu ila binadamu awezi kuingia yanapo ishi majinni yana uwezo mkubwa sana yako sawa na upepo au hewa mwanga unaweza zuiya mwanga hewa upepo isiingie ulipo?Mkuu mimi nikiskia story za jini nakaa mbali najua ni adui sasa kuna mtu ndiyo kanipa elimu kuwa majini wana sali sala tano sijaamini
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581] huyo jamaa ufahamu wake mdogo sanaMbona hauulizi magonjwa , chuki ,unafiki na majanga ya asili (matetemeko ,mafuriko nk)?
Kama una muamini Mungu anaweza kunipa sababu ipi Mungu unayemuani alete vitu hivyo ?
Ukijibu hilo swali nitakujibu swali lako.
Hayo hapo majini, kuasi ndio sifa zao.Kwanza hata shetani jinni ujui maana ya haya majina,haya majini yamo kwenye biblia baada ya kutolewa kwenye qur,aan na kuingizwa kwenye biblia wakati watafsiri lani maana yake ujui wapo wakirito wengine upinga kuwa majini sio viumbe ufahamu mdogo tu
Nioneshe hicho kifungu kilichoandika hivyo.
Malaika wewe unafahamu?hili jina malaika linatoka kabila gani?hili tuweze kujua utendaji kazi wake,yesu unae muongelea ni yele alie uwawa na wayahudi kisha kundikwa masalsbani au ni yesu muingine?Ufunuo 12:7-10 SUV
Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake; nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, Sasa kumekuwa wokovu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu, yeye awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku.
Katika hili bandiko lako, nioneshe wapi walipoandika malaika waliohasi ndio wanaitwa majini.Ufunuo 12:7-10 SUV
Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake; nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, Sasa kumekuwa wokovu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu, yeye awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku.
Jini ni PEPO.. Ni Malaika na wasaidizi wa Shetani.Ni ajabu ikiwa utamtafsiri jini kutokana na upeo wako au mafundisho ya dini yako.
Ushaambiwa dini ni viumbe kama ilivyokuwa binadamu kuna ,wema ,waovu,washirikina ,wapagani nk na wana ulimwengu wa tofauti kabisa .
Ingekuwa ajabu kama ingekuwa tumearishwa tuwaabudu au tuwatumikie.
Yes kwahiyo tumekubaliana kuwa wameumbwa na mungu?Majini ni jina walilopewa na wanadamu, malaika waliasi pamoja na shetani na kufukuzwa mbinguni. Jini ni malaika aliyewahi kuasi na kufukuzwa mbinguni.
Thread 'Aina za majini na kazi zake' Aina za majini na kazi zake mkuu natofautiana na wewe embu soma hapa kwa ndugu mshana jrMajinni ni viumbe kama walivyo Bina damu tofaoti yake majinni yanaweza kumuona binadamu lakini binadamu hawezi kuyaona pia majinni yaweza kuishi kuingia popote anapo ishi binadamu ila binadamu awezi kuingia yanapo ishi majinni yana uwezo mkubwa sana yako sawa na upepo au hewa mwanga unaweza zuiya mwanga hewa upepo isiingie ulipo?
Pia majini yanazo tabia kama za watu wapo watu washenzi na majini pia tunapo ongelea kuabudu dunia anae abudu ni muisilamu tu na kitabu chake kinafundisha maana ya kuabudu ndio maana dunia kote ibada ya kuabudu ni 1 tu hatuna tofaoti ya kuabudu kati ya tz na China
Wameumbwa na Mungu,, siyo mungu; na wakati wanaumbwa hawakuwa wanaitwa majiniYes kwahiyo tumekubaliana kuwa wameumbwa na mungu?
Majini ni malaika waasi waliotupwa dunian pamoja na shetani.Lete kwanza maana ya majina haya jini binadamu
Wanaosema kuna majini mazuri wasome hapo alipoyaorodhesha mtaalamu wa majini Mshana.Thread 'Aina za majini na kazi zake' Aina za majini na kazi zake mkuu natofautiana na wewe embu soma hapa kwa ndugu mshana jr
Nimekuelewa sana mkuu kwahiyo Allah ni luciferi Lofocare?allah mwenyewe ni jini aliyefukuzwa pamoja na mashetani mengine, 1/3 ya malaika wa Mbinguni waliasi wakafukuzwa na shetani kiongozi wao, angeumba nini? kwenye kitabu cha allah kuna muujiza gani wowote ulishawahi kufanyika tukasema ni mungu wa kweli? Mungu wa Israel alikausha maji ya bahari ya shamu hadi wamisri ambao sio wa dini hiyo wanayo historia hiyo hadi leo, allah alishawahi kukausha hata maji kwenye kibakuli tu? never. mungu gani anayakubali majini? mungu gani anaabudiwa na majini wakati anatakiwa ayaadhibua? seriously?
Mkuu Allah hana tofauti na Mungu wa Isaka Abrahamu na Yakobo ndiyo mana Abrahamu waislamu wanamwita Ibrahim, yakobo ni Yakubu au Yaqub na Isaka ni Isihaka tofauti ni majina hivyo hivyo mfalme Solomon wao wanamwita Seleman au Suleiman nkallah hana uwezo hata wa kuuumba panya tu hata mjusi tu hawezi kuumba. ila Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, Mungu wa Israel ambaye makoreshi wenyewe walikiri kwamba ndiye wa kweli, ndiye Muumba mbingu na nchi.
umepotea. allah anasema aliyaumba majini, majini yanamuabudu na yeye anapokea ibada yao, na waumini wa allah wanaweza kushirikiana na majini kwasababu yapo mengine mazuri na mengine mabaya. allah aligeuza Biblia badala ya Isaka mtoto wa Ibrahim kuwa ndiye aliyetolewa sadaka akasema Ishmael ndio alitolewa sadaka na ibrahim, ila alisahau kwamba biblia iliandikwa long before hata mesenja wake hajazaliwa. allah hamtambui Yesu Kristo kama ni Mungu yule yule aliyefanyika mwili ili atukomboe na haamini kwamba huwezi kufika mbinguni bila Yesu Kristo.Mkuu Allah hana tofauti na Mungu wa Isaka Abrahamu na Yakobo ndiyo mana Abrahamu waislamu wanamwita Ibrahim, yakobo ni Yakubu au Yaqub na Isaka ni Isihaka tofauti ni majina hivyo hivyo mfalme Solomon wao wanamwita Seleman au Suleiman nk
@kidole cha simba kwani kidole Cha Simba yeye pia si kaumbwa?? Ila anamuabudu Allah ?? Si ana abudu Hela.da!!!,ebu niambie kazi ya jinni makata na maimuna,,,je??? izo kazi zao nao wanamwabudu MUNGU???