Je, ni kweli bangi inaweza kukinga dhidi ya wachawi?

Unalogwa vizuri tu na bangi zako

Doh kumbe sawa lakini ni kweli wachawi hawapendi BANGI kwa mfano nasikia kama umepanga nyumba ambayo mmiliki ni mchawi akagundua unawashaga ndani atakutimua siku hiyo hiyo yaani hataki mpangaji anaevuta BANGI
 
Watu wa kigoma Kuna dawa Fulani wanaichanganya kwenye bangi halafu ndio wanavuta
Hapo mchawi yoyote km yupo Kati yenu anawanga LAZIMA apate shida
Sasa sijajua huyo jamaa yako pengine alichanganya na hiyo dawa ila hakuwaambia

Ohooo kumbe na je hio dawa ipoje ipoje au inaitwaje na naipataje siku nijaribu pekeyangu [emoji23]
 
Ila vijiweni Kuna kudu za hatari sana..

Kama mtu una amua kuvuta bange we vuta tu Kwa raha zako. Mambo ya kusema mmea unazuia uchawi ni hadithi tu.

Huo uchawi unaweza kukujia Kwa kupitia mmea huo huo.
 
Mimi nawashauri sana wavuta bangi wasipende kukaa vijiweni. Bangi inapenda ukae peke yako uwaze plans zako za kimaisha au kama ni kufanya tafakari inasaidia sana. Bangi inakufanya kuwa mtu wa shukrani, mtu wa amani na inakujenga kiroho kama utaipenda kwa jinsi inavyokupa nguvu ya kuyatazama maisha katika mtazamo ambao ni clear. Bangi inafungua ile power iliyo ndani yako, hata hofu ya kesho inaondoka unaona unakuwa mtu wa matarajio makubwa katika kutafuta ndoto zako.

Lakini tatizo ni moja ukivuta bangi ukakaa kijiweni mnaanza kupiga story ambazo hazina uhalisia kabisa mwisho wa siku mtazungumzia na maisha ya watu tu, ona sasa mnaanza kumzungumzia Bibi ambaye hamna uhakika lakini mnahisi ni mchawi.
Unajua mkuu bangi ni kama amplifier, ukiamini kitu kwa udogo tu au ukiaminishwa utajijengea wazo mpaka utaamini vitu ambavyo havipo. Ona jamaa anavyoamini inafukuza wachawi. Wakati ni imani tu za mtaani.

Niliwahi kuzungumza na jamaa mmoja ambaye amejijenga kiroho sana, ingawa hatumii mjani, lakini anajitahidi kufuata na kuutafuta ukweli wa mambo mengi ya kidunia. Katika mazungumzo nikamuuliza swali kama hili, maana hata hapa jf watu wameuliza swali kama hili mara nyingi mno. Akaniambia viumbe kama majini wanavutiwa na baadhi ya tabia za kibinadamu ambazo sometimes ni anasa, kama pombe, bangi, ngono n.k. Hivyo kama wewe unatumia mjani jua kwamba kuna viumbe wanavutiwa na harufu yake na wanakuwa wanachill na wewe kipindi unavuta bangi.

Vilevile kuna nchi nyingi za kiafrika na huko majuu, waganga na wachawi ( kule nje ya Africa uchawi ni tasnia na taaluma siyo kulogana sana kama Africa) lazima wavute bangi ili wapate stimu ya kupandisha mashetani yao, hata ukiingia mtandaoni vitu kama hivyo utavikuta.

Sasa sijui kwanini waTanzania tumeamua kudanganyana kiasi hiki kuhusu bangi. Mara utaambiwa bangi inafanya uwe kichaa, mara ukivuta bangi punje ya mchele inakuwa jabali, ukivuta bangi ukawa mcheshi na watu, watu wanasema bangi hizo. Yaani mambo mengi ambayo kimsingi hayana uhalisia kabisa.
ukivuta bangi ukawa mcheshi na watu, watu wanasema bangi hizo.

Na ukikausha zako unamediteti utawaskia..kadevela mibangi hiyo!
 
Vuta kama unahisi ina nguvu ya kuwakimbiza hawo wachawi, Maana imani huumba, siyo lazima iumbe kile ambacho jamii nyingine zinakiamini, Wewe binafsi ikiwa unaamini inafukuza wachawi basi kweli itafukuza kwa kuamini tu, vinginevyo vuta kama sigara nyingine.

Usikubali kusimuliwa BANGI ni tamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli lakini sasa muda mwingine inategemea na anaekupa hizo kudu unajua ndugu kuna vijiwe kadhaa nimewahi kufika unafika unakuta hakuna rika lako hata salamu unajistukia inabidi useme As. Aleikum kwaio hao huwa wanaongea vitu makini sana muda mwingine kwakuwa wameanza muda mrefu na wamepitia mengi
 
ukivuta bangi ukawa mcheshi na watu, watu wanasema bangi hizo.

Na ukikausha zako unamediteti utawaskia..kadevela mibangi hiyo!

Yaani iko hivyo na ukiwa unafanya kitu muda mwingine ukakosea katika hali ya ubinaadamu tu kama kuna mtu karibu yako anaefahamu kama unatumia hio kitu basi atakwambia tu “acha bange”
 
Vuta kama unahisi ina nguvu ya kuwakimbiza hawo wachawi, Maana imani huumba, siyo lazima iumbe kile ambacho jamii nyingine zinakiamini, Wewe binafsi ikiwa unaamini inafukuza wachawi basi kweli itafukuza kwa kuamini tu, vinginevyo vuta kama sigara nyingine.

Usikubali kusimuliwa BANGI ni tamu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimekuelewa ndugu yaani hata jamaa nikiwaona ambavyo wakiwa wanalipua hizo shada yaani huwa wakati mwingine nahisi wanaenjoy sana [emoji3]
 
Kama unavuta bangi wachawi hawana shida ya kukuroga maana utakua umesha. Jimaliza mwenyewe kwa kuvuta bangi
 
Mimi nawashauri sana wavuta bangi wasipende kukaa vijiweni. Bangi inapenda ukae peke yako uwaze plans zako za kimaisha au kama ni kufanya tafakari inasaidia sana. Bangi inakufanya kuwa mtu wa shukrani, mtu wa amani na inakujenga kiroho kama utaipenda kwa jinsi inavyokupa nguvu ya kuyatazama maisha katika mtazamo ambao ni clear. Bangi inafungua ile power iliyo ndani yako, hata hofu ya kesho inaondoka unaona unakuwa mtu wa matarajio makubwa katika kutafuta ndoto zako.

Lakini tatizo ni moja ukivuta bangi ukakaa kijiweni mnaanza kupiga story ambazo hazina uhalisia kabisa mwisho wa siku mtazungumzia na maisha ya watu tu, ona sasa mnaanza kumzungumzia Bibi ambaye hamna uhakika lakini mnahisi ni mchawi.
Unajua mkuu bangi ni kama amplifier, ukiamini kitu kwa udogo tu au ukiaminishwa utajijengea wazo mpaka utaamini vitu ambavyo havipo. Ona jamaa anavyoamini inafukuza wachawi. Wakati ni imani tu za mtaani.

Niliwahi kuzungumza na jamaa mmoja ambaye amejijenga kiroho sana, ingawa hatumii mjani, lakini anajitahidi kufuata na kuutafuta ukweli wa mambo mengi ya kidunia. Katika mazungumzo nikamuuliza swali kama hili, maana hata hapa jf watu wameuliza swali kama hili mara nyingi mno. Akaniambia viumbe kama majini wanavutiwa na baadhi ya tabia za kibinadamu ambazo sometimes ni anasa, kama pombe, bangi, ngono n.k. Hivyo kama wewe unatumia mjani jua kwamba kuna viumbe wanavutiwa na harufu yake na wanakuwa wanachill na wewe kipindi unavuta bangi.

Vilevile kuna nchi nyingi za kiafrika na huko majuu, waganga na wachawi ( kule nje ya Africa uchawi ni tasnia na taaluma siyo kulogana sana kama Africa) lazima wavute bangi ili wapate stimu ya kupandisha mashetani yao, hata ukiingia mtandaoni vitu kama hivyo utavikuta.

Sasa sijui kwanini waTanzania tumeamua kudanganyana kiasi hiki kuhusu bangi. Mara utaambiwa bangi inafanya uwe kichaa, mara ukivuta bangi punje ya mchele inakuwa jabali, ukivuta bangi ukawa mcheshi na watu, watu wanasema bangi hizo. Yaani mambo mengi ambayo kimsingi hayana uhalisia kabisa.
Mkuu naunga mkono hoja, mara kadhaa, nimeshuhudia mbuzi, ng'ombe na nyoka wakijumuika nami japo wapate ule moshi hata kwa mbaali tu, hasa huyu snake ndio amekuwa haogopi kabisa, yaani ikifika mida yangu ya kupasha lazma atokee maeneo tena siku nyingine anakuwa na alosto namkuta kishatangulia dox
 
Doh kumbe sawa lakini ni kweli wachawi hawapendi BANGI kwa mfano nasikia kama umepanga nyumba ambayo mmiliki ni mchawi akagundua unawashaga ndani atakutimua siku hiyo hiyo yaani hataki mpangaji anaevuta BANGI
Inategemea uchawi wa wapi,wengine wanakufukuza kisa bangi imesingiziwa mengi mabaya
 
Wavuta na wauza bangi mnataka kupandisha bei ya bangi, semeni kuwa inaongeza nguvu za kiume ndio muuze vizuri.

Yaani jini au mchawi aogope bangi aache kuogopa jina la YESU?
 
Mimi bange sivuti ila napenda harufu ya majani yake ule mmea umebarikiwa sana ni vile tu watu wenye fitna wanausema vibaya, ukweli ni kuwa bangi huwa inachochea sana katika kukamilisha nia uliyo nayo moyoni, moyo wako ukiwa na tamaa wivu na chuki bange inaenda kuchochea ile nguvu iliyo ndan yako ndo hapo unaenda kufanya mambo ya kipuuzi siku zote bange ni mbaya kwa watu wenye nia mbaya.

Lakin bange ukivuta kwa malengo ya kupambania maisha yako inaenda kuchochea na kuleta morali katika kile kilicho ndani yako kama ni kufanya ibada hakuna kipindi cha sala kitakacho kupita kama ni mtu mwema bas hata mambo ya kinafki na uchonganishi hautayataka kuyaskia kabisa Wana wanaweza kuleta stori za uchonganishi, ila we ukawa zako cool tu hata kuchangia mada huchangii kwakua tayar ilishakuchoche katika kile kilicho ndani yako ambacho ni amani.

Marasta wengi wale wa kweli ambao hawali nyama huwa hawawezi kushuhudia hata kuku akichinjwa huwa wanaumia sana moyoni kwakua Imani yake ni amani na upendo Sasa bange inaenda kuchochea kile kilicho moyon na hata utendaji wake unakua ni sahihi zaidi kwa 90% zaid ya yule ambae hatumii mmea.
 
Kama unavuta bangi wachawi hawana shida ya kukuroga maana utakua umesha. Jimaliza mwenyewe kwa kuvuta bangi

Hahaha hivi ni kweli sasa mbona nasikiaga yule raisi wa Kenya Mhe .Kenyatta anakulaga wida
 
Mkuu naunga mkono hoja, mara kadhaa, nimeshuhudia mbuzi, ng'ombe na nyoka wakijumuika nami japo wapate ule moshi hata kwa mbaali tu, hasa huyu snake ndio amekuwa haogopi kabisa, yaani ikifika mida yangu ya kupasha lazma atokee maeneo tena siku nyingine anakuwa na alosto namkuta kishatangulia dox

Dah nimecheka sana ila inawezekana ikawa kweli maana kuna jamaa hapo juu amesema kuwa kuna baadhi ya majini wanapenda mambo fulani ikiwemo BANGI na ukiwa unavuta hupendelea kukaa karibu yako hivyo basi huenda huyo nyoka ni jini ila anakujia kwa njia ya nyoka [emoji38]
 
Wavuta na wauza bangi mnataka kupandisha bei ya bangi, semeni kuwa inaongeza nguvu za kiume ndio muuze vizuri.

Yaani jini au mchawi aogope bangi aache kuogopa jina la YESU?

Inasemekana majini hupendelea hivyo vitu sasa unajua jini ana tabia kama akikuelewa anaweza kukulinda dhidi ya mambo fulani kwaio labda ndiomaana wachawi hawapendi hii kitu maana mchawi ukivuta BANGI kwenye nyumba yake atakasirika kwa maana anajua utaita majini
 
Back
Top Bottom