Mantheman6
Senior Member
- May 30, 2020
- 169
- 143
- Thread starter
-
- #21
Unalogwa vizuri tu na bangi zako
Cc.mshana jr
Watu wa kigoma Kuna dawa Fulani wanaichanganya kwenye bangi halafu ndio wanavuta
Hapo mchawi yoyote km yupo Kati yenu anawanga LAZIMA apate shida
Sasa sijajua huyo jamaa yako pengine alichanganya na hiyo dawa ila hakuwaambia
ukivuta bangi ukawa mcheshi na watu, watu wanasema bangi hizo.Mimi nawashauri sana wavuta bangi wasipende kukaa vijiweni. Bangi inapenda ukae peke yako uwaze plans zako za kimaisha au kama ni kufanya tafakari inasaidia sana. Bangi inakufanya kuwa mtu wa shukrani, mtu wa amani na inakujenga kiroho kama utaipenda kwa jinsi inavyokupa nguvu ya kuyatazama maisha katika mtazamo ambao ni clear. Bangi inafungua ile power iliyo ndani yako, hata hofu ya kesho inaondoka unaona unakuwa mtu wa matarajio makubwa katika kutafuta ndoto zako.
Lakini tatizo ni moja ukivuta bangi ukakaa kijiweni mnaanza kupiga story ambazo hazina uhalisia kabisa mwisho wa siku mtazungumzia na maisha ya watu tu, ona sasa mnaanza kumzungumzia Bibi ambaye hamna uhakika lakini mnahisi ni mchawi.
Unajua mkuu bangi ni kama amplifier, ukiamini kitu kwa udogo tu au ukiaminishwa utajijengea wazo mpaka utaamini vitu ambavyo havipo. Ona jamaa anavyoamini inafukuza wachawi. Wakati ni imani tu za mtaani.
Niliwahi kuzungumza na jamaa mmoja ambaye amejijenga kiroho sana, ingawa hatumii mjani, lakini anajitahidi kufuata na kuutafuta ukweli wa mambo mengi ya kidunia. Katika mazungumzo nikamuuliza swali kama hili, maana hata hapa jf watu wameuliza swali kama hili mara nyingi mno. Akaniambia viumbe kama majini wanavutiwa na baadhi ya tabia za kibinadamu ambazo sometimes ni anasa, kama pombe, bangi, ngono n.k. Hivyo kama wewe unatumia mjani jua kwamba kuna viumbe wanavutiwa na harufu yake na wanakuwa wanachill na wewe kipindi unavuta bangi.
Vilevile kuna nchi nyingi za kiafrika na huko majuu, waganga na wachawi ( kule nje ya Africa uchawi ni tasnia na taaluma siyo kulogana sana kama Africa) lazima wavute bangi ili wapate stimu ya kupandisha mashetani yao, hata ukiingia mtandaoni vitu kama hivyo utavikuta.
Sasa sijui kwanini waTanzania tumeamua kudanganyana kiasi hiki kuhusu bangi. Mara utaambiwa bangi inafanya uwe kichaa, mara ukivuta bangi punje ya mchele inakuwa jabali, ukivuta bangi ukawa mcheshi na watu, watu wanasema bangi hizo. Yaani mambo mengi ambayo kimsingi hayana uhalisia kabisa.
Binadamu ndivyo tulivyo mkuu. Kikubwa ni Peace of mind. Jah blessukivuta bangi ukawa mcheshi na watu, watu wanasema bangi hizo.
Na ukikausha zako unamediteti utawaskia..kadevela mibangi hiyo!
Ila vijiweni Kuna kudu za hatari sana..
Kama mtu una amua kuvuta bange we vuta tu Kwa raha zako. Mambo ya kusema mmea unazuia uchawi ni hadithi tu.
Huo uchawi unaweza kukujia Kwa kupitia mmea huo huo.
ukivuta bangi ukawa mcheshi na watu, watu wanasema bangi hizo.
Na ukikausha zako unamediteti utawaskia..kadevela mibangi hiyo!
Binadamu ndivyo tulivyo mkuu. Kikubwa ni Peace of mind. Jah bless
Vuta kama unahisi ina nguvu ya kuwakimbiza hawo wachawi, Maana imani huumba, siyo lazima iumbe kile ambacho jamii nyingine zinakiamini, Wewe binafsi ikiwa unaamini inafukuza wachawi basi kweli itafukuza kwa kuamini tu, vinginevyo vuta kama sigara nyingine.
Usikubali kusimuliwa BANGI ni tamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naunga mkono hoja, mara kadhaa, nimeshuhudia mbuzi, ng'ombe na nyoka wakijumuika nami japo wapate ule moshi hata kwa mbaali tu, hasa huyu snake ndio amekuwa haogopi kabisa, yaani ikifika mida yangu ya kupasha lazma atokee maeneo tena siku nyingine anakuwa na alosto namkuta kishatangulia doxMimi nawashauri sana wavuta bangi wasipende kukaa vijiweni. Bangi inapenda ukae peke yako uwaze plans zako za kimaisha au kama ni kufanya tafakari inasaidia sana. Bangi inakufanya kuwa mtu wa shukrani, mtu wa amani na inakujenga kiroho kama utaipenda kwa jinsi inavyokupa nguvu ya kuyatazama maisha katika mtazamo ambao ni clear. Bangi inafungua ile power iliyo ndani yako, hata hofu ya kesho inaondoka unaona unakuwa mtu wa matarajio makubwa katika kutafuta ndoto zako.
Lakini tatizo ni moja ukivuta bangi ukakaa kijiweni mnaanza kupiga story ambazo hazina uhalisia kabisa mwisho wa siku mtazungumzia na maisha ya watu tu, ona sasa mnaanza kumzungumzia Bibi ambaye hamna uhakika lakini mnahisi ni mchawi.
Unajua mkuu bangi ni kama amplifier, ukiamini kitu kwa udogo tu au ukiaminishwa utajijengea wazo mpaka utaamini vitu ambavyo havipo. Ona jamaa anavyoamini inafukuza wachawi. Wakati ni imani tu za mtaani.
Niliwahi kuzungumza na jamaa mmoja ambaye amejijenga kiroho sana, ingawa hatumii mjani, lakini anajitahidi kufuata na kuutafuta ukweli wa mambo mengi ya kidunia. Katika mazungumzo nikamuuliza swali kama hili, maana hata hapa jf watu wameuliza swali kama hili mara nyingi mno. Akaniambia viumbe kama majini wanavutiwa na baadhi ya tabia za kibinadamu ambazo sometimes ni anasa, kama pombe, bangi, ngono n.k. Hivyo kama wewe unatumia mjani jua kwamba kuna viumbe wanavutiwa na harufu yake na wanakuwa wanachill na wewe kipindi unavuta bangi.
Vilevile kuna nchi nyingi za kiafrika na huko majuu, waganga na wachawi ( kule nje ya Africa uchawi ni tasnia na taaluma siyo kulogana sana kama Africa) lazima wavute bangi ili wapate stimu ya kupandisha mashetani yao, hata ukiingia mtandaoni vitu kama hivyo utavikuta.
Sasa sijui kwanini waTanzania tumeamua kudanganyana kiasi hiki kuhusu bangi. Mara utaambiwa bangi inafanya uwe kichaa, mara ukivuta bangi punje ya mchele inakuwa jabali, ukivuta bangi ukawa mcheshi na watu, watu wanasema bangi hizo. Yaani mambo mengi ambayo kimsingi hayana uhalisia kabisa.
Inategemea uchawi wa wapi,wengine wanakufukuza kisa bangi imesingiziwa mengi mabayaDoh kumbe sawa lakini ni kweli wachawi hawapendi BANGI kwa mfano nasikia kama umepanga nyumba ambayo mmiliki ni mchawi akagundua unawashaga ndani atakutimua siku hiyo hiyo yaani hataki mpangaji anaevuta BANGI
Kama unavuta bangi wachawi hawana shida ya kukuroga maana utakua umesha. Jimaliza mwenyewe kwa kuvuta bangi
Mkuu naunga mkono hoja, mara kadhaa, nimeshuhudia mbuzi, ng'ombe na nyoka wakijumuika nami japo wapate ule moshi hata kwa mbaali tu, hasa huyu snake ndio amekuwa haogopi kabisa, yaani ikifika mida yangu ya kupasha lazma atokee maeneo tena siku nyingine anakuwa na alosto namkuta kishatangulia dox
Inategemea uchawi wa wapi,wengine wanakufukuza kisa bangi imesingiziwa mengi mabaya
Wavuta na wauza bangi mnataka kupandisha bei ya bangi, semeni kuwa inaongeza nguvu za kiume ndio muuze vizuri.
Yaani jini au mchawi aogope bangi aache kuogopa jina la YESU?