Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
Nina vipodozi vya Congo 🇨🇩 aise watu wanapanda bei wenyeweJe ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja.
Mfano
Bidhaa A ina faida mara 3
Bei ya mtaani rejareja 30,000
Bei ya chimboni ni 10,000
Bei ya bidhaa B faida ni mara 18
Bei ya rejareja ni 18,000
Bei ya chimboni ni 1000
Kama hali ni hiyo faida wanayopata ni kubwa mno, serikali iweke bei elekezi kwenye vipodozi.
Mbona wanaweka bei elekezi kwenye mazao ya wakulima, mkulima analima kwa gharama zake, ananunua mbolea kwa gharama kubwa anaajiri vibarua kwa gharama kubwa ila bei ya mazao anapangiwa.
Yupi mwenye thamani kwa taifa anaye ajiri watu wengi na kulisha taifa chakula na hatimaye kupewa bei ya hasara, au muuza vipodozi vyenye viambata vya sumu kuharibu ngozi na kuleta kansa na kupata faida mara 3 hadi mara 18.
Nasoma comments.
Duh, shower gel faida ni mara 4 hadi 6Nina vipodozi vya Congo 🇨🇩 aise watu wanapanda bei wenyewe
Hawezi kusema ukweliTumuulize Dada Niffer
Biashara yoyote Ina faida ni wewe tu unavo ibrand, kipodozi Kuna sehemu ni elfu mbili sehemu nyingine elf tanoTumuulize Dada Niffer
Kwanini uhangaike kote huko si una order sehemu ambayo mzigo utakuja direct ship mpaka bongo? Barbara Ina shida nying sana kwa hizo nacho za kiafrika, ryshwa kibao,Hakuna kitu kama hicho vitu vyenyewe kuingia Tanzania sio swala dogo kila Item moja inatakiwa iwe na kibali cha TBS na kibali ni Tsh 600,000 ukileta item kumi zidisha na hiyo laki sita hapo ni TBS pekee sio TRA wala vipimo..
Unataka shower gel gani Og uuziwe bei nzuri..
Mafuta sema ya mzunguko ila hayana faida kubwa kihivyo na pia yanashika hela nyingi sana unaweza kuona box 1p tu ila ni hela nyingi maana unaweza kukuta katoni moja ni laki mbili naa huko...
Kama ni bei rahisi twende tukapakie hapo cash n carry SA,Jumbo na kwingineko na wanapima 55 rand kwa kg kuchukua truck la 32 tani ni rand 200,000 mpaka Daslm sawa na Tsh 35m.
Truck kupita tu Zambia wanataka usd 530 bado kulipia toll zao 11 mzigo unafika Tunduma bado kodi na mambo mengine biashara zina mambo mengi sana usione vitu vipo kwenye shelve tu.
Wafanyabiashara wanapunguza gharama ili angalau kupata faida viwanda vingi vya mafuta vipo Jhb na kusafirisha kwa meli kutoa SA gharama ni ndogo ila pia muda wa kutoa mzigo Jhb kwenda Durban labda uwe na mtaji mkubwa sana kama wanavyofanya wahindi mzigo unapishana kwenye maji..Kwanini uhangaike kote huko si una order sehemu ambayo mzigo utakuja direct ship mpaka bongo? Barbara Ina shida nying sana kwa hizo nacho za kiafrika, ryshwa kibao,
Alafu bro kwenye ile inshu Yako ya magari ka unakumbuka nilikuchomekea inshu ya vipodozi ukaidharau kina leo umeina he? Bro SISI tupo ndani hapa bongo tunaelewa biashara iliyo kwenye trending kwa sasa ni vipodozi watumiaji wanaongezeka Kila siku, muwe mnatuheshimu tunapo wapa mawazo we know where market is going nigaa, ulinishangaza sana, hii ni bizness mafuta ya ngozi huyu anauza elfu 35, yule45 mwingine 60 unachukuliaje poa bizne kama hiyo
Bidhaa za vipodozi huchukua muda mrefu hata zaidi ya miaka 4 ili kuisha muda wa matumizi.Niliwahi kufanya kazi kampuni inaitwa Movit.
Hiyo biashara ni pasua kichwa sana,kwanza mabidhaa mengi ya cosmetics yana expire haraka,hivyo hasara ni nje nje usipokua makini.
Hakuna hiyo faida uliyoiandika instead faida ni zile zile za kawaida elfu 2 to 5 kwa carton.
Kutengeneza bidha hapa unapiga sana pesa kuliko kuleta bidhaa og, takupa mfano ukichukua materials za sabuni za maji huko ukaja kutengenezea hapa bongo, umilionea huo tofauti na kusafirisha kuleta product halisiWafanyabiashara wanapunguza gharama ili angalau kupata faida viwanda vingi vya mafuta vipo Jhb na kusafirisha kwa meli kutoa SA gharama ni ndogo ila pia muda wa kutoa mzigo Jhb kwenda Durban labda uwe na mtaji mkubwa sana kama wanavyofanya wahindi mzigo unapishana kwenye maji..
Wafanyabiashara wa mafuta wote wamenunua magari yao ya kusafirisha mzigo kutoa SA kuleta Tanzania na inawezekana mzigo siku saba upo Daslm..
Ukiweza kununua mafuta SA na kuleta Tanzania hata product moja tu utapata faida..
Nimewahi kubeba sana mafuta na kuleta Tz kutoka SA sasa hivi changamoto yake mengi wanatoa copy China na bei ndogo unapoleta mafuta yako labda uuze mwenyewe ila kwa mzigo mkubwa utakusumbua ukikutana na copy mjini..
Sasa hivi unaamua kudeal na product moja ikiwezekana utengeneze kiwanda hapo hapo Tanzania SA unafata malighafi tu ndio plan b hii maana kwa Dunia ilivyo sasa ni bora ukatengeneza hiyo bidhaa hapo hapo ingawaje unabrba bidhaa kidogo kwa ajili ya duka lako hapo..
Ukifungua kiwanda bongo jipange kweli kweli.Wafanyabiashara wanapunguza gharama ili angalau kupata faida viwanda vingi vya mafuta vipo Jhb na kusafirisha kwa meli kutoa SA gharama ni ndogo ila pia muda wa kutoa mzigo Jhb kwenda Durban labda uwe na mtaji mkubwa sana kama wanavyofanya wahindi mzigo unapishana kwenye maji..
Wafanyabiashara wa mafuta wote wamenunua magari yao ya kusafirisha mzigo kutoa SA kuleta Tanzania na inawezekana mzigo siku saba upo Daslm..
Ukiweza kununua mafuta SA na kuleta Tanzania hata product moja tu utapata faida..
Nimewahi kubeba sana mafuta na kuleta Tz kutoka SA sasa hivi changamoto yake mengi wanatoa copy China na bei ndogo unapoleta mafuta yako labda uuze mwenyewe ila kwa mzigo mkubwa utakusumbua ukikutana na copy mjini..
Sasa hivi unaamua kudeal na product moja ikiwezekana utengeneze kiwanda hapo hapo Tanzania SA unafata malighafi tu ndio plan b hii maana kwa Dunia ilivyo sasa ni bora ukatengeneza hiyo bidhaa hapo hapo ingawaje unabrba bidhaa kidogo kwa ajili ya duka lako hapo..
Kujipanga kwenye nini mkuu mafuta sio ishu kubwa maana SA ni kama viwanda vidogo tu..Ukifungua kiwanda bongo jipange kweli kweli.
Mkuu, una duka la jumlà la vipodozi tukuungishe?Je ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja.