Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
- Thread starter
- #21
Watu wanabisha kwa kuwa Hawana direct access ya machimbo original ya bidhaa ila faida ni mara 3 hadi mara 18 kuna Mtu Kati anajiita chimbo ila bado bei yake ya jumla ni mara mbili ya bei ya rejareja, je vipi kuhusu chimbo original? Vipi kuhusu wanaoagiza?Kutengeneza bidha hapa unapiga sana pesa kuliko kuleta bidhaa og, takupa mfano ukichukua materials za sabuni za maji huko ukaja kutengenezea hapa bongo, umilionea huo tofauti na kusafirisha kuleta product halisi
Hakuna cha uongo, labda umeenda kupigwa kwenye chimbo feki. Sikuhizi bei zipi Instagram na TikTok live. Faida ni mara tatu au zaidi. Watu wa vipodozi wanapiga hela mno. Huku watu wa sekta zingine kama mahindi wanateseka .
View: https://www.instagram.com/chimbo_la_vipodozi_kariakoo/p/DdqG2VFKIoN/
Ndo mnavyodanganyana eeh 😁