Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
- Thread starter
-
- #21
Watu wanabisha kwa kuwa Hawana direct access ya machimbo original ya bidhaa ila faida ni mara 3 hadi mara 18 kuna Mtu Kati anajiita chimbo ila bado bei yake ya jumla ni mara mbili ya bei ya rejareja, je vipi kuhusu chimbo original? Vipi kuhusu wanaoagiza?Kutengeneza bidha hapa unapiga sana pesa kuliko kuleta bidhaa og, takupa mfano ukichukua materials za sabuni za maji huko ukaja kutengenezea hapa bongo, umilionea huo tofauti na kusafirisha kuleta product halisi
Ndo mnavyodanganyana eeh 😁
Kwanini uhangaike kote huko si una order sehemu ambayo mzigo utakuja direct ship mpaka bongo? Barbara Ina shida nying sana kwa hizo nacho za kiafrika, ryshwa kibao,
Alafu bro kwenye ile inshu Yako ya magari ka unakumbuka nilikuchomekea inshu ya vipodozi ukaidharau kina leo umeina he? Bro SISI tupo ndani hapa bongo tunaelewa biashara iliyo kwenye trending kwa sasa ni vipodozi watumiaji wanaongezeka Kila siku, muwe mnatuheshimu tunapo wapa mawazo we know where market is going nigaa, ulinishangaza sana, hii ni bizness mafuta ya ngozi huyu anauza elfu 35, yule45 mwingine 60 unachukuliaje poa bizne kama hiyo
Ndo mnavyodanganyana eeh 😁
Ni kweli ukifanikiwa kulijua chimbo umetoboa mpaka hapoWatu wanabisha kwa kuwa Hawana direct access ya machimbo original ya bidhaa ila faida ni mara 3 hadi mara 18 kuna Mtu Kati anajiita chimbo ila bado bei yake ya jumla ni mara mbili ya bei ya rejareja, je vipi kuhusu chimbo original? Vipi kuhusu wanaoagiza?
Hakuna cha uongo, labda umeenda kupigwa kwenye chimbo feki. Sikuhizi bei zipi Instagram na TikTok live. Faida ni mara tatu au zaidi. Watu wa vipodozi wanapiga hela mno. Huku watu wa sekta zingine kama mahindi wanateseka .
View: https://www.instagram.com/chimbo_la_vipodozi_kariakoo/p/DdqG2VFKIoN/
Hivi bidhaa ya buku mnaijua kweli? Hakuna namna yeyote bidhaa ya buku iuzwe 18k mtaani, raha ya ngoma ingia ucheze!
Watu wanabisha kwa kuwa Hawana direct access ya machimbo.Ni kweli ukifanikiwa kulijua chimbo umetoboa mpaka hapo
Kipindi nauza detergents ulikua ukichukulia stone town unauziwa 35, ukienda kwa wahindi kule juu mikunguni unauziwa 29 elfu, umeona hapo, ukisha jua machimbo utajiri huu hapaWatu wanabisha kwa kuwa Hawana direct access ya machimbo.
Acha watu wabishe.Kipindi nauza detergents ulikua ukichukulia stone town unauziwa 35, ukienda kwa wahindi kule juu mikunguni unauziwa 29 elfu, umeona hapo, ukisha jua machimbo utajiri huu hapa
Vipodozi vya Congo 🇨🇩 navyo changamoto tupu...makali yanawachoma mpaka wanakomaNina vipodozi vya Congo 🇨🇩 aise watu wanapanda bei wenyewe
Ni kweli kabisaLabda vipodozi vya sumu ndio vinaweza kuwa na hiyo faida kubwa. Ila vipodozi vilivyopoa faida yake haiwezi kuzidi mtaji.
Labda vipodozi vya sumu ndio vinaweza kuwa na hiyo faida kubwa. Ila vipodozi vilivyopoa faida yake haiwezi kuzidi mtaji.
kupata uhakika wa kina ni mpaka uingie kwenye hiyo tasnia
ni kweli tangazo linavutia, ila ukweli halisi ni mpaka uingie humo ndani
View: https://www.instagram.com/chimbo_la_vipodozi_kariakoo/p/DdqG2VFKIoN/
Soma hiyo bei. Tena huyu ni mtu Kati yupo kariakoo. Vipi kuhusu bei ya chimboni original? Vipi kuhusu bei ya chimboni Guangzhou china?
Movit si Kampuni ya Uganda, wana branch hapa?Niliwahi kufanya kazi kampuni inaitwa Movit.
Hiyo biashara ni pasua kichwa sana,kwanza mabidhaa mengi ya cosmetics yana expire haraka,hivyo hasara ni nje nje usipokua makini.
Hakuna hiyo faida uliyoiandika instead faida ni zile zile za kawaida elfu 2 to 5 kwa carton.
Vipodozi vya DRC na Ivory coast vipo kila kona na havipiti kwa hayo mavibali yenu vingi vina viambata sumu ila vilikotoka sio sumuHakuna kitu kama hicho vitu vyenyewe kuingia Tanzania sio swala dogo kila Item moja inatakiwa iwe na kibali cha TBS na kibali ni Tsh 600,000 ukileta item kumi zidisha na hiyo laki sita hapo ni TBS pekee sio TRA wala vipimo..
Unataka shower gel gani Og uuziwe bei nzuri..
Mafuta sema ya mzunguko ila hayana faida kubwa kihivyo na pia yanashika hela nyingi sana unaweza kuona box 1p tu ila ni hela nyingi maana unaweza kukuta katoni moja ni laki mbili naa huko...
Kama ni bei rahisi twende tukapakie hapo cash n carry SA,Jumbo na kwingineko na wanapima 55 rand kwa kg kuchukua truck la 32 tani ni rand 200,000 mpaka Daslm sawa na Tsh 35m.
Truck kupita tu Zambia wanataka usd 530 bado kulipia toll zao 11 mzigo unafika Tunduma bado kodi na mambo mengine biashara zina mambo mengi sana usione vitu vipo kwenye shelve tu.
Kumbe kuna carton za vipodozi 😂 !!Hakuna hiyo faida uliyoiandika instead faida ni zile zile za kawaida elfu 2 to 5 kwa carton.
Jamaa nilikua namuelekeza kwa vipodozi ambavyo anatakiwa auze shop sio hivyo vilivyokatazwa mkuu maana anaweza kusaga meno siku moja.Vipodozi vya DRC na Ivory coast vipo kila kona na havipiti kwa hayo mavibali yenu vingi vina viambata sumu ila vilikotoka sio sumu