Mkuu, hoja ya Mgombea ni kwamba bunge halikuhusishwa kabisa, na ndivyo anavyotueleza wapiga kura wake...hoja siyo kama bunge lilihusishwa au halikuhusishwa.
..Tanzania hatukutakiwa kununua ndege kwasababu shirika la ndege ni biashara ya hasara.
..matrilioni ya fedha tulizotumia kununua ndege ambazo zinatutia hasara sasa hivi, yalipaswa kuelekezwa ktk sekta nyingine zinazogusa wananchi wengi zaidi.
Ikiwa bunge lenyewe lilipigwa jeki na kutiwa mfukoni, kwa mtu timamu hutojiuliza kama 'bunge' lile la Ndugai Kama lilipitisha bajeti ya kununulia hizo Ndege.Mkuu, hoja ya Mgombea ni kwamba bunge halikuhusishwa kabisa, na ndivyo anavyotueleza wapiga kura wake.
Mkuu ilitenga hizo billion, je nikweli zilinunuliwa kwa hizo fedha?. Wakutupa majibu ni mkaguzi mkuu wahesabu za Serikali, kwa nini hamtaki azikague?.Mkuu, hoja ya Mgombea ni kwamba bunge halikuhusishwa kabisa, na ndivyo anavyotueleza wapiga kura wake.
Mwambie uyooooIkiwa bunge kenyewe lilipigwa jeki na kutiwa mfukoni, kwa mtu timamu hutojiuliza kama 'bunge' lile la Ndugai Kama lilipitisha bajeti ya kununulia hizo Ndege.
NDIYO hoja iliyopo?Hivi CAG anafanya ukaguzi ATCL.
DA yaani hii kitu nilikuwaga sijaisikia kumbe kila kitu kiliptia bungeni kuhusu ununuzi wa ndege kweli chadema ni wapumbavu wanataka kutufanya wajinga eti kila mtu hajui ndege zimenunuliwaje hawana hoja wanawadanganya watu wakati walipitisha wenyewe yaani na wewe unataka risiti ya ndege ? nenda ATCL utaonyeshwaSwali ni Je pesa zote zilizopitishwa na Bunge kununulia ndege zimenunulia ndege kweli kwa pesa ileile????
Bunge kuambiwa zimepitishwa shilingi bilioni 400 kununulia ndege 3 au 4 haimaanishi pesa zote hizo zilinunulia ndege.
CCM wajibu hili kwa kutuonesha bank transactions kwamba kila ndege walinunua kiasi gani full stop!
NDIYO hoja iliyopo?
Na wewe anzisha nyuzi!!
..hoja siyo kama bunge lilihusishwa au halikuhusishwa.
..Tanzania hatukutakiwa kununua ndege kwasababu shirika la ndege ni biashara ya hasara.
..matrilioni ya fedha tulizotumia kununua ndege ambazo zinatutia hasara sasa hivi, yalipaswa kuelekezwa ktk sekta nyingine zinazogusa wananchi wengi zaidi.