Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

Issue Bunge liliijadili hiyo bajeti au hapana?
Mkuu, "makamanda" hawataki kusikia hili, wao wanataka wasisikie mtu akimkumbusha chochote mgombea wetu kuhusu chochote kwakuwa nadhani anayo hati miliki ya kutushikia akili na kuongea utumbo kwa niaba yetu. Na sasa goli linahamishwa au wanakanusha kilichoongewa mjengoni. Sitashangaa pia kusikia hiyo video clip imetengenezwa, sio yeye, hakusema hivyo.
 
Reactions: UCD
MSipotoshe huo mjadala ni ndege zinazotarajiwa kununuliwa mwaka wa fedha 2020/2021 hoja ni ununuzi wa ndege za awali. Wabunge waliletewa tu taarifa hawakushirikishwa.
 
Ngoja niwatafutie clip nyingine ya mgombea, ambayo pia ni very controversial.
Makamanda andaeni tu povu la kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…