greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Lissu uwa ni liongoliongo sana kama vile yupo kwenye siku zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunavyosemaga machadema mengi ni manyumbu muwe mnatuelewa jamani.DA yaani hii kitu nilikuwaga sijaisikia kumbe kila kitu kiliptia bungeni kuhusu ununuzi wa ndege kweli chadema ni wapumbavu wanataka kutufanya wajinga eti kila mtu hajui ndege zimenunuliwaje hawana hoja wanawadanganya watu wakati walipitisha wenyewe yaani na wewe unataka risiti ya ndege ? nenda ATCL utaonyeshwa
Huko majukwaani tunasikia mengi, lakini mengine nadhani yanafanywa kwa makusudi ya kutafuta kura. Inawezekana ikawa ndio maana halisi ya kampeni kwa tafsiri yetu ya Kibongo tu.
Ukimsikiliza Lissu anasema hakuna mbunge hata mmoja anayejua hata fedha zilizotengwa kununua hizo ndege. Hiyo ndiyo ilikuwa hoja yake kwenye clip hiyo kama umeisikiliza. Halafu baadaye anaonekana Mheshimiwa Halima Mdee akiijadili hoja hiyo akiwa Bungeni. Msinishambulie mimi kwakuwa mimi sio niliyesema hivyo na bahati nzuri nimeweka video yake. Mimi sigombei hata udiwani.
Nimeisikiliza vizuri sana mwaka haujatajwa ilanimesikia mwakajana sasa sijui unamaanisha ndege zimenunuliwa mwaka huu alichokizungumza alima nirandama ilioletwa bungeni mwaka jana ndege tumenunua mwaka huu au tulinunua mwakajana huohuo lakini hatahivyo sijuiutuelewi watanzania bungeni hakunambunge anaejuauhasia wandege zilinunuliwa kiasi gani nazipondegetofauti tofauti nabei nihivyohivyo sasa kamautampata mbunge au waziri anatamka bei yandege zetu nikiasi fulani bungeni utakuwa umemaliza hojaHuko majukwaani tunasikia mengi, lakini mengine nadhani yanafanywa kwa makusudi ya kutafuta kura. Inawezekana ikawa ndio maana halisi ya kampeni kwa tafsiri yetu ya Kibongo tu.
Ukimsikiliza Lissu anasema hakuna mbunge hata mmoja anayejua hata fedha zilizotengwa kununua hizo ndege. Hiyo ndiyo ilikuwa hoja yake kwenye clip hiyo kama umeisikiliza. Halafu baadaye anaonekana Mheshimiwa Halima Mdee akiijadili hoja hiyo akiwa Bungeni. Msinishambulie mimi kwakuwa mimi sio niliyesema hivyo na bahati nzuri nimeweka video yake. Mimi sigombei hata udiwani.
Nimeshangazwa na uekewa midogo wa Wana JF. May be ni kwa makusudi.Swali ni Je pesa zote zilizopitishwa na Bunge kununulia ndege zimenunulia ndege kweli kwa pesa ileile?
Kuambiwa Bunge limepitisha shilingi bilioni 400 kununulia ndege 3 au 4 haimaanishi pesa zote hizo zilinunulia ndege.
CCM wajibu hili kwa kutuonesha bank transactions kwamba kila ndege walinunua kiasi gani full stop!
Hahahaha kura ndio nauli kapande
Hawawezi kamwe kutoa bei halisi ya kila ndege kwa sababu ndo wamepigia hela anazotumia magufuli kujenga kiwanda cha samaki huko GeitaNimeshangazwa na uekewa midogo wa Wana JF. May be ni kwa makusudi.
Clip iko clear anazungumxia bei na mikataba. Watu wanageuza kuwa kama vile bungee halikuwa linajua...!!
Hawa Jamaa waache utaoeli na kumanupulate watu kama walivyotufanyia kwa miaka karibu 60 Sasa. Watupe bei za ndege na mikataba yake kama ni kweli.
No wonder tunaambiwa uwanja wa Chato utabeba samaki na kuleta watalii.Hawawezi kamwe kutoa bei halisi ya kila ndege kwa sababu ndo wamepigia hela anazotumia magufuli kujenga kiwanda cha samaki huko Geita
Masuala ya ununuzi wa ndege yalihamishiwa kasima ya ikulu ambayo haihojiwi… Correct me if I am wrongHuko majukwaani tunasikia mengi, lakini mengine nadhani yanafanywa kwa makusudi ya kutafuta kura. Inawezekana ikawa ndio maana halisi ya kampeni kwa tafsiri yetu ya Kibongo tu.
Ukimsikiliza Lissu anasema hakuna mbunge hata mmoja anayejua hata fedha zilizotengwa kununua hizo ndege. Hiyo ndiyo ilikuwa hoja yake kwenye clip hiyo kama umeisikiliza. Halafu baadaye anaonekana Mheshimiwa Halima Mdee akiijadili hoja hiyo akiwa Bungeni. Msinishambulie mimi kwakuwa mimi sio niliyesema hivyo na bahati nzuri nimeweka video yake. Mimi sigombei hata udiwani.
Wewe unaongea hearsay bajeti ya kununua ndege ipo kwenye wizara ya miundombinu na mawasiliano na ilijadiriwa bungeni. Nenda kwenye website ya Bunge na Wizara husika utaona na kujisomea mwenyewe achana na propaganda za wanasiasa.Bunge husimamia kila kitu kupitia kamati ndogo, Oversight Committees, ambazo kwa utaratibu wa jumuiya ya madola, ambapi sisi ni wanachama, kamati hizi husimamiwa na wabunge kutoka kambi rasmi ya upinzani, ili kuweka utawalabora.
Pia bunge hudhibiti kupia C.AG. sasa hizi njia mbili zote bunge limefungwa mikono na kuzibwa mdomo. Ununuzi wa ndege umehamishiwa ofisi ya Rais, ambayo haikaguliwi na C.A.G.
Ukipenda, hiki ni kichaka cha kuficha maovu. Usiri wa nini?
Issue Bunge liliijadili hiyo bajeti au hapana?Masuala ya ununuzi wa ndege yalihamishiwa kasima ya ikulu ambayo haihojiwi… Correct me if I am wrong
Nini wewee kupe wa lumumba?Wewe unaongea hearsay bajeti ya kununua ndege ipo kwenye wizara ya miundombinu na mawasiliano na ilijadiriwa bungeni. Nenda kwenye website ya Bunge na Wizara husika utaona na kujisomea mwenyewe achana na propaganda za wanasiasa.
Au tumfutie kauli mgombea. Hilo pia linawezekana tu.Lissu hajasema kuwa hakuna mbunge hata mmoja anayejua fedha zilizotengwa kwa ajili yakununua ndege hizo. Alichosema ni hakuna ( si mbunge au mwananchi) anayejua bei ya ndege na hakuna aliyeona mkataba wa manunuzi. Hakusema kuwa suala la ununuzi wa ndege halijawahi kujadiliwa Bungeni. Anachohoji ni mchakato wa kununua ndege baada ya Bunge kupitisha maombi ya serikali kupitia Bunge. Halima Mdee anahoji maombi ya serikali ya kupewa kibali ili cha Bunge ili watengewe Shilingi bilioni 495 wakati mwaka uliopita walitengewa bilioni takribani 500. Ni dhahiri kuwa yeye kamambunge hajawahi kupata mrejesho wa matumizi wa pesa zilizoombwa. Mrejesho unakuwa ni Mkataba wa manunuzi unaoonyesha bei na masharti ya manunuzi. Wote wawili wanaongelea kitu kimoja. Kuna tofauti kubwa kati ya kutenga pesa na matumizi yake. Bajeti inaonyesha makisio ya matumizi wakati mikataba ya manunuzi inaonyesha kiasi kinachotakiwa kukamilisha manunuzi.
Amandla...
Kumbe una majibu yako mfukoni?Au tumfutie kauli mgombea. Hilo pia linawezekana tu.
Bahati nzuri Mheshimiwa sana Halima Mdee ametaja hadi mwaka. Sasa naona watu wanatoa povu kwa kufuata mkumbo bila kusikiliza hata video clip yenyewe. Sijui tatizo ni bundle la kuicheza video hiyo, au sijui ni nini. Maana naona sisi tuliokuwa nje ya Bunge sasa tumeanza kukanusha hata ushahidi wa hansard.Ndugu hawa wapinzani wamechanganyikiwa?
Hawakai Bungeni taarifa zinapitishwa wao wanazurura chako ni chako.
Documents zinaonesha Manunuzi yote ya ndege za ATCL budget zake zimetengwa na Kwenye Manunuzi Bunge limeshirikishwa.
Wao ni Wabunge kweli kwa Majukumu au ni Majina tu.
Rudia tena kusikiliza bila hasira.Nimeisikiliza vizuri sana mwaka haujatajwa ilanimesikia mwakajana sasa sijui unamaanisha ndege zimenunuliwa mwaka huu alichokizungumza alima nirandama ilioletwa bungeni mwaka jana ndege tumenunua mwaka huu au tulinunua mwakajana huohuo lakini hatahivyo sijuiutuelewi watanzania bungeni hakunambunge anaejuauhasia wandege zilinunuliwa kiasi gani nazipondegetofauti tofauti nabei nihivyohivyo sasa kamautampata mbunge au waziri anatamka bei yandege zetu nikiasi fulani bungeni utakuwa umemaliza hoja
Inasikitisha Sana Kwa hiyo kila ujinga unaongea Lissu Serikali iujibu yeye kama naniSwali ni Je pesa zote zilizopitishwa na Bunge kununulia ndege zimenunulia ndege kweli kwa pesa ileile?
Kuambiwa Bunge limepitisha shilingi bilioni 400 kununulia ndege 3 au 4 haimaanishi pesa zote hizo zilinunulia ndege.
CCM wajibu hili kwa kutuonesha bank transactions kwamba kila ndege walinunua kiasi gani full stop!
Kama Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020- 2025Inasikitisha Sana Kwa hiyo kila ujinga unaongea Lissu Serikali iujibu yeye kama nani