Je, ni kweli CCM inaiba kura au ni visingizio vya upinzani?

Kwanza kabisa binafsi Sina mapenzi na chama chochote cha siasa Tanzania ila ni mpenzi wa siasa Safi.Tuje kwa hoja niliyouliza hapo juu Kama nikwel wapinzani wanaibiwa kura au Tume ya uchaguzi haitendi haki haya maswali nimejiuliza

Mbowe ameshindaje ubunge wa hai na pia chadema kachukua kata zote za hai mwaka 2015? Bulaya amemshindaje aliyekuwa waziri wa ofisi ya urais Wassira?Sugu kashinda ubunge kwa kura nyingi na tofauti yake na anayemfuata ni kubwa kupitia Tume hii.

Mwaka huo huo Chadema imepata halmashuri nyingi kulinganisha na miaka ya nyuma ikiwemo la jiji la dar kupitia Tume hii.Je Tume ya uchaguzi inakuwa huru pale chadema inaposhinda? Ila inaposhinda CCM wanasema inaiba au Tume
sio huru.

Ifike kipindi vyama vya upinzani vijikite kujiimarisha badala ya kueneza hii propaganda haitawasaidia Zaid itawapunguzia wapiga kura wao wakiendelea kuaminisha wapenzi wao hivyo watasusa kupiga kura.

Ingekuwa CCM inaiba kura sizani wangetumia hela nyingi kulipa wasanii kuwafanyia kampeni mfano Diamond pekee alilipwa mil 100 kwa kufanya show, kampeni pamoja na kushooting video ya kampeni ya wimbo wa number one,Kiba alilipwa mil 15, wema kalipwa mil 20 wengine sijui Bei zao bado sijamzungumzia gharama zingine walizoingia.

Kwa hiyo unataka tukueleze wanaibaje au wewe ni mgeni, mtafute Jecha kwanza majibu yako anayo, ukimaliza mtafute Nape akufanunulie maana ya goli la mkono ukimaliza uje tena. Nia yenu ovu inafahamika humu JF mnawatafuta wengine wakuwatupa baharini, kama sio kuwamiminia risasi.
 
Unaposema 2015 upinzani ulipata wabunge wengi na halmashauri nyingi kulikuwa hakuna kauli ya kufuta upinzani awamu hii upinzani unatakiwa ufutwe wote wameanzia serekali za mitaa hakuna upinzani kwenye udiwani na ubunge kauli zimetoka za kwataka baadhi ya wabunge watafute kazi nyingine ubunge kwao basi maana yake ni kufuta upinzani lakini kwa awamu ya 4 kauli hizo hazikusikika wapinzani waiamini tume kwa upande wa ngazi ya chini angalao walikupua kidogo hivi sasa ni kukupua vyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa binafsi Sina mapenzi na chama chochote cha siasa Tanzania ila ni mpenzi wa siasa Safi.Tuje kwa hoja niliyouliza hapo juu Kama nikwel wapinzani wanaibiwa kura au Tume ya uchaguzi haitendi haki haya maswali nimejiuliza

Mbowe ameshindaje ubunge wa hai na pia chadema kachukua kata zote za hai mwaka 2015? Bulaya amemshindaje aliyekuwa waziri wa ofisi ya urais Wassira?Sugu kashinda ubunge kwa kura nyingi na tofauti yake na anayemfuata ni kubwa kupitia Tume hii.

Mwaka huo huo Chadema imepata halmashuri nyingi kulinganisha na miaka ya nyuma ikiwemo la jiji la dar kupitia Tume hii.Je Tume ya uchaguzi inakuwa huru pale chadema inaposhinda? Ila inaposhinda CCM wanasema inaiba au Tume
sio huru.

Ifike kipindi vyama vya upinzani vijikite kujiimarisha badala ya kueneza hii propaganda haitawasaidia Zaid itawapunguzia wapiga kura wao wakiendelea kuaminisha wapenzi wao hivyo watasusa kupiga kura.

Ingekuwa CCM inaiba kura sizani wangetumia hela nyingi kulipa wasanii kuwafanyia kampeni mfano Diamond pekee alilipwa mil 100 kwa kufanya show, kampeni pamoja na kushooting video ya kampeni ya wimbo wa number one,Kiba alilipwa mil 15, wema kalipwa mil 20 wengine sijui Bei zao bado sijamzungumzia gharama zingine walizoingia.

Mkuu kwa nini kuandikia mate? Si wangeridhia basi hiyo tume huru ili kujisafisha?

Au kama ni wazalendo zaidi waridhie tume isimikwe na upinzani.

Umewahi kujiuliza kama refa akiwa pia ni mchezaji wa timu pinzani katika magoli ya kushinda ya mkono hayatakuwamo (in Nape's voice)?

Au wewe waonaje mkuu?

Tusijitoe ufahamu kwenye mambo yaliyo dhahiri mno.
 
Tukubali au tukatae ccm haina ubavu wa kupambana na wapinzani kwenye ulingo sawa na wahaki.
 
Hivi yule bingwa wa kuiba kura aliekahama na Lowasa akiitwa CHIZI yuko wapi kwan?
 
1. Kwa upande wa upinzani watasema wanashinda kwa nguvu ya umma maana hakuna mpinzani amewahi tangazwa kirahisi rahisi bila mabomu kurushwa na vurugu kutoke rejea majimbo ya mwanza 2010, Mbagala 2015 zile vurumai.

2. Ushahidi wa kimazingira, ssa unakuta kura zimemaliza kuhesabiwa zinakaa hata siku 3 hatangazwi mshindi kma kule Kwera au Uvinza ssa hapo hawatoona kuna wizi?

Sheria ya uchaguzi inakataza wapinzani kupinga matokeo ya Urais je kma hawaibi si waruhusu ili walete ushahidi mahakamani??

Kama wapinzani wanadai kuibiwa si muwape tume huru ili waumbuke na propaganda ziishe?? Its very simple magufuli na wabunge wa CCM wanakubalika sana kama anavyodai polepole ssa ili kuprove kina mbowe na zitto wrong walete tume huru ili mjadala uishe ila kuzidi kuipinga ndio unaongeza ushahidi wa kimazingira kuwa CCM huiba kura.

3. CCM WANAIBAJE?
Mkuu ni hivi kama umesoma statistics kuna estimations zinatumia D'hondt methods of proportion yaani mgawanyo kulingana na wingi wa watu/kura ili uwiano uwepo kati ya wawakilishi na wapiga kura.

Na hapa CCM ndio huwa makini sana, Kwahiyo wanakuwa wameshaamua majimbo gani wayachukue na yapi wayaachie ili kubalance uwiano wa ushindi kujenga uhalali. Kwahiyo ukiona jimbo anatangazwa mpinzani ujue wamelicompensate na majimbo hata 10 ya vijijini. Maana wakichukua yote si itaonekana wazi kabisa zimeibwa so wanagive some and take some.

Ndio maana utaona majimbo ambayo upinzani hushinda ubunge kwa kura nyingi sana za urais huwa ni ndogo. Yaani Wabunge wanne wa chadema mbeya wanakura nyingi kuliko kura alizopata lowassa kwenye majimbo hayo!! Na hii ilitokea kwa Dr Slaa pia. Hii yote wahakikishe hata upinzani ukiwa na madiwani au wabunge wengi urais wasiukamate kabisa.

Case study jimbo la Bumbuli na Tunduma waliopiga kura za Urais ni mara mbili ya waliopiga kura za ubunge. Hiyo ndio CCM ni mwendo wa proportionate victory.
Bumbuli ndio ilitisha. Waliompigia kura JPM walizidi idadi ya Watu wote waliojiandikisha kupiga kura.
 
Kwanza kabisa binafsi Sina mapenzi na chama chochote cha siasa Tanzania ila ni mpenzi wa siasa Safi.Tuje kwa hoja niliyouliza hapo juu Kama nikwel wapinzani wanaibiwa kura au Tume ya uchaguzi haitendi haki haya maswali nimejiuliza

Mbowe ameshindaje ubunge wa hai na pia chadema kachukua kata zote za hai mwaka 2015? Bulaya amemshindaje aliyekuwa waziri wa ofisi ya urais Wassira?Sugu kashinda ubunge kwa kura nyingi na tofauti yake na anayemfuata ni kubwa kupitia Tume hii.

Mwaka huo huo Chadema imepata halmashuri nyingi kulinganisha na miaka ya nyuma ikiwemo la jiji la dar kupitia Tume hii.Je Tume ya uchaguzi inakuwa huru pale chadema inaposhinda? Ila inaposhinda CCM wanasema inaiba au Tume
sio huru.

Ifike kipindi vyama vya upinzani vijikite kujiimarisha badala ya kueneza hii propaganda haitawasaidia Zaid itawapunguzia wapiga kura wao wakiendelea kuaminisha wapenzi wao hivyo watasusa kupiga kura.

Ingekuwa CCM inaiba kura sizani wangetumia hela nyingi kulipa wasanii kuwafanyia kampeni mfano Diamond pekee alilipwa mil 100 kwa kufanya show, kampeni pamoja na kushooting video ya kampeni ya wimbo wa number one,Kiba alilipwa mil 15, wema kalipwa mil 20 wengine sijui Bei zao bado sijamzungumzia gharama zingine walizoingia.
Kwanini usimulize jecha nisababu gani akafuta uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom