Je, ni kweli CCM inaiba kura au ni visingizio vya upinzani?


Kwa hiyo unataka tukueleze wanaibaje au wewe ni mgeni, mtafute Jecha kwanza majibu yako anayo, ukimaliza mtafute Nape akufanunulie maana ya goli la mkono ukimaliza uje tena. Nia yenu ovu inafahamika humu JF mnawatafuta wengine wakuwatupa baharini, kama sio kuwamiminia risasi.
 
Unaposema 2015 upinzani ulipata wabunge wengi na halmashauri nyingi kulikuwa hakuna kauli ya kufuta upinzani awamu hii upinzani unatakiwa ufutwe wote wameanzia serekali za mitaa hakuna upinzani kwenye udiwani na ubunge kauli zimetoka za kwataka baadhi ya wabunge watafute kazi nyingine ubunge kwao basi maana yake ni kufuta upinzani lakini kwa awamu ya 4 kauli hizo hazikusikika wapinzani waiamini tume kwa upande wa ngazi ya chini angalao walikupua kidogo hivi sasa ni kukupua vyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu kwa nini kuandikia mate? Si wangeridhia basi hiyo tume huru ili kujisafisha?

Au kama ni wazalendo zaidi waridhie tume isimikwe na upinzani.

Umewahi kujiuliza kama refa akiwa pia ni mchezaji wa timu pinzani katika magoli ya kushinda ya mkono hayatakuwamo (in Nape's voice)?

Au wewe waonaje mkuu?

Tusijitoe ufahamu kwenye mambo yaliyo dhahiri mno.
 
Tukubali au tukatae ccm haina ubavu wa kupambana na wapinzani kwenye ulingo sawa na wahaki.
 
Hivi yule bingwa wa kuiba kura aliekahama na Lowasa akiitwa CHIZI yuko wapi kwan?
 
Bumbuli ndio ilitisha. Waliompigia kura JPM walizidi idadi ya Watu wote waliojiandikisha kupiga kura.
 
Kwanini usimulize jecha nisababu gani akafuta uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…