JE NI KWELI CHINA ni nchi inayoendelea???

PathwayzZote

Member
Joined
Jul 4, 2024
Posts
65
Reaction score
85
Guys me sielewi kabisa hii statement
Wale wajuzi wa mambo ya uchumi mjeni hapa kwenye comment
Wekeni nondo hizo na sisi ambao hatujui tuzijue

Tusije tukawa tunalishwa matango pori. Kwa china nayoona ile sehem kama Shanghai Beijing 🔥 lakini kuna watu wanasema ni DEVELOPING duh ni atare

Ok let's go down here
 
Attachments

  • Screenshot_2025-01-29-21-42-08-369_com.brave.browser.jpg
    Screenshot_2025-01-29-21-42-08-369_com.brave.browser.jpg
    299.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_2025-01-29-21-41-59-760_com.openai.chatgpt.jpg
    Screenshot_2025-01-29-21-41-59-760_com.openai.chatgpt.jpg
    287.4 KB · Views: 4
Guys me sielewi kabisa hii statement
Wale wajuzi wa mambo ya uchumi mjeni hapa kwenye comment
Wekeni nondo hizo na sisi ambao hatujui tuzijue

Tusije tukawa tunalishwa matango pori. Kwa china nayoona ile sehem kama Shanghai Beijing 🔥 lakini kuna watu wanasema ni DEVELOPING duh ni atare

Ok let's go down here
Wewe peke yako labda ndo ulikuwa hujui! Ni kama mtu wa mikoani akikuona wewe unaishi Dar anafikiri mambosafi kumbe hapa Dar kuna masikini choka mbaya kuliko mikoani! China ni miongoni mwa nchi zinazoitwa "Emerging economy countries". Hizi nchi kwa kujitutumia kukwepa kuwa kundi moja na nchi makabwela, zikaunda umoja wao zinajiita BRICS (Brazil, Russia, India, China, na South Africa). Sasa unashangaa China? Hata Urusi ni nchi inayoendelea. Hili uitwe nchi iliyoendelea kuna vitu vingi vinaangaliwa pamoja na percapita, GDP, utawala wa sheria, Democrasia, jinsi unavyojiusisha na mipango ya maendeleo ya kidunia katika taasisi kubwa duniani. Nje ya hapo wewe bado unapambana kujitafuta!
Kwa mfano, je unaweza kumuona mjerumani, mmarekani, mwingereza, mjapani, mfaransa, akiwa kariakoo akila msoto wa kutafuta bakuri kama wachina? Wachina ukiwakuta kariakoo (labda rangi yao) lakini ni wapambanaji kama sisi!
 
China walivyo wahuni wamekubaliana na huu msemo ili wapeleke msongo wa mawazo kwa maadui zao.

Kuna wakati mtu anakwambia wewe ni mjinga tu huna lolote unamkubalia kisha unavunga. Kitakachokushangaza ni mtu yuleyule aliyekuita mjinga kuendelea kuteseka kwaajili yako hadi anaharibu malengo yake.
Kwa sasa China ndio kiwanda cha dunia
 
Tunachopasa kuelewa Hawa watu hawaridhikagi hapo walipo sio melengo yao, Bado Kuna sehem wanahitaji kufika .
 
Wewe peke yako labda ndo ulikuwa hujui! Ni kama mtu wa mikoani akikuona wewe unaishi Dar anafikiri mambosafi kumbe hapa Dar kuna masikini choka mbaya kuliko mikoani! China ni miongoni mwa nchi zinazoitwa "Emerging economy countries". Hizi nchi kwa kujitutumia kukwepa kuwa kundi moja na nchi makabwela, zikaunda umoja wao zinajiita BRICS (Brazil, Russia, India, China, na South Africa). Sasa unashangaa China? Hata Urusi ni nchi inayoendelea. Hili uitwe nchi iliyoendelea kuna vitu vingi vinaangaliwa pamoja na percapita, GDP, utawala wa sheria, Democrasia, jinsi unavyojiusisha na mipango ya maendeleo ya kidunia katika taasisi kubwa duniani. Nje ya hapo wewe bado unapambana kujitafuta!
Kwa mfano, je unaweza kumuona mjerumani, mmarekani, mwingereza, mjapani, mfaransa, akiwa kariakoo akila msoto wa kutafuta bakuri kama wachina? Wachina ukiwakuta kariakoo (labda rangi yao) lakini ni wapambanaji kama sisi!
Umetumia mihemko na ushabiki zaidi badala ya hoja lakini huna unacho jua kuhusu uchumi.
Vipi huko kwenye nchi zinazo jiita zimeendelea kule hakuna masikini wote ni matajiri?
Kwanza Urusi haipo kwenye kundi la nchi zinazo endelea bali wapo kwenye kundi la nchi zilizo endelea na haya sio maneno yangu bali ni kwa mujibu wa takwimu za Benki ya dunia na IMF kwa hiyo acha kulisha watu matango pori kwa vitu usio kuwa na ufahamu navyo.

Mwaka 2018 IMF ilitoa pendekezo la kuiondoa China kwenye nchi zinazo endelea lakini China ilipinga vikali kwasababu ukiwa kwenye kundi hilo unapata faida nyingi za kibiashara.
 
Guys me sielewi kabisa hii statement
Wale wajuzi wa mambo ya uchumi mjeni hapa kwenye comment
Wekeni nondo hizo na sisi ambao hatujui tuzijue

Tusije tukawa tunalishwa matango pori. Kwa china nayoona ile sehem kama Shanghai Beijing 🔥 lakini kuna watu wanasema ni DEVELOPING duh ni atare

Ok let's go down here
Wenyewe wanapenda status ya developing hawaipendi ya developed ni wajanja wapo sahihi kupenda hivyo.
 
Umetumia mihemko na ushabiki zaidi badala ya hoja lakini huna unacho jua kuhusu uchumi.
Vipi huko kwenye nchi zinazo jiita zimeendelea kule hakuna masikini wote ni matajiri?
Kwanza Urusi haipo kwenye kundi la nchi zinazo endelea bali wapo kwenye kundi la nchi zilizo endelea na haya sio maneno yangu bali ni kwa mujibu wa takwimu za Benki ya dunia na IMF kwa hiyo acha kulisha watu matango pori kwa vitu usio kuwa na ufahamu navyo.

Mwaka 2018 IMF ilitoa pendekezo la kuiondoa China kwenye nchi zinazo endelea lakini China ilipinga vikali kwasababu ukiwa kwenye kundi hilo unapata faida nyingi za kibiashara.
Siku zote linapo kuja jambo la kuhusu China na Urusi hajaa ushabiki maandazi,soma huu Uzi wa mleta mada utagundua akili za kishabiki na kuliko facts.
 
Wewe peke yako labda ndo ulikuwa hujui! Ni kama mtu wa mikoani akikuona wewe unaishi Dar anafikiri mambosafi kumbe hapa Dar kuna masikini choka mbaya kuliko mikoani! China ni miongoni mwa nchi zinazoitwa "Emerging economy countries". Hizi nchi kwa kujitutumia kukwepa kuwa kundi moja na nchi makabwela, zikaunda umoja wao zinajiita BRICS (Brazil, Russia, India, China, na South Africa). Sasa unashangaa China? Hata Urusi ni nchi inayoendelea. Hili uitwe nchi iliyoendelea kuna vitu vingi vinaangaliwa pamoja na percapita, GDP, utawala wa sheria, Democrasia, jinsi unavyojiusisha na mipango ya maendeleo ya kidunia katika taasisi kubwa duniani. Nje ya hapo wewe bado unapambana kujitafuta!
Kwa mfano, je unaweza kumuona mjerumani, mmarekani, mwingereza, mjapani, mfaransa, akiwa kariakoo akila msoto wa kutafuta bakuri kama wachina? Wachina ukiwakuta kariakoo (labda rangi yao) lakini ni wapambanaji kama sisi!
Daah kumbe aisee
Ukiangalia hata teknolojia yao ni kubwa kaka
Apo inakaaje
 
China is often considered one of the world's largest and fastest-growing economies, but there are several reasons why it might not be classified as a "developed country" in the traditional sense. It's important to understand that the term "developed country" is often defined by specific criteria, such as high levels of income, advanced technological infrastructure, a high standard of living, and widespread access to services like healthcare and education. Here are some reasons why China might not yet be considered fully developed:

  1. Income Disparities: Despite its rapid economic growth, China still faces significant income inequality. There is a noticeable gap between the wealthy urban areas, like Beijing and Shanghai, and the rural areas, where poverty rates are higher. A large portion of the population still lives in rural regions, where the standard of living is much lower than in urban areas. This disparity affects overall development.
  2. Political System: China's political system is a one-party, communist government, which differs significantly from the democratic systems often associated with developed countries. The lack of political freedoms, restrictions on speech, and limited political participation can be seen as a hindrance to the classification of China as a fully developed country, especially when considering the level of political openness in many developed nations.
  3. Environmental Challenges: China is dealing with severe environmental challenges, such as air pollution, water scarcity, and widespread environmental degradation. These problems are consequences of rapid industrialization and urbanization, and they continue to affect the quality of life for millions of citizens. Addressing these environmental concerns is crucial for further development.
  4. Rural-Urban Divide: While urban centers in China have experienced significant development, rural areas often lack the same level of access to resources, infrastructure, and social services. The divide between urban and rural China is still quite pronounced, and addressing this inequality is key to moving toward full development.
  5. Dependency on Manufacturing and Export: Although China has become a global manufacturing powerhouse, its economy is still heavily reliant on manufacturing and exports. This makes the country vulnerable to global economic fluctuations and trade imbalances. Developed countries usually have more diversified economies, with advanced service sectors, innovation-driven industries, and a higher reliance on domestic consumption.
  6. Aging Population: China's population is aging rapidly due to its one-child policy (which was in place from 1979 to 2015). This demographic shift could result in labor shortages, increased healthcare costs, and other challenges that could slow the country's progress toward becoming a fully developed economy. Developed countries often have more balanced demographic structures that support sustainable growth.
  7. Technological Development: While China is making significant strides in technology, especially in areas like e-commerce, telecommunications, and artificial intelligence, it still faces challenges in innovation. Many of China's technological advancements are based on adapting existing technologies rather than groundbreaking innovation. Developed countries typically lead in both high-tech manufacturing and cutting-edge research.
  8. Healthcare and Education: Although China has made substantial improvements in healthcare and education, there are still gaps, particularly in rural areas. While urban populations have better access to quality healthcare and education, rural regions struggle with insufficient resources. This disparity in access to quality services hinders overall national development.

In summary, while China has made remarkable progress in many areas and has emerged as a global economic power, it still faces challenges related to income inequality, political system, environmental sustainability, and social services that prevent it from being considered a fully developed country by conventional measures. However, the country is certainly on a path toward further development, and it is expected to continue evolving in the coming decades.
 
Hicho kigezo namba 6 ni upuuzi mtupu, mbona Japan na Italy Zina high percentage of aging population na bado regarded as developed countries.
Suala la demokrasia nalo ni subjective zaidi, wazungu Bado hawaamini china Iliyo kuwa maskini imewzaje kuadvance ndani ya muda mfupi hata kufikia kuwa challenge wao? Kwahiyo wako kwenye factual denial
 
7. Technological development
a) China is leading in material science
b) China is leading in nano-technology
c)China is leading in AI

Hayo mambo ya groundbreaking technologies eti China hafanyi, siyo kweli, scientists wa kichina ndiyo wanaoongoza siki hizi kupublish articles za kisayansi za viwango vya juu kwenye sector nyingi tu.

By the way, Marekani mwenyewe alijifunza technolojia ya Maroketi kwa WANAZI wa Ujerumani.
Ni kweli unachokiandika, lakini kutokatana na vigezo vilivyowekwa ili nchi ihesabike kuwa imeendelea, China haijakidhi bado, kwa sababu hiyo tu wanaonekana kuwa ni nchi inayoendelea. Na kwa mtizamo wangu mimi AI imechangia sana katika maendeleo ya China, na nina uhakika wachina wapo kwenye level nyingine kabisa ya Akili Mnemba na teknolojia kwa ujumla ila haya mambo ni ya usiri mkubwa.
 
Back
Top Bottom