Naomba mungu isiwe kwa woteOut of site=Out of mind. Hii ni kanuni inayo operate sanaa kwenye mahusiso hasa kwa wanawake.
Avatar yako na maombi vitu viwil tofautNaomba mungu isiwe kwa wote
Maelezo yako yanatia moyoSijui kama distance ni kikwazo sema ina changamoto zake nyingi sana na kubwa ni upweke kati ya wapenzi hao.
Kwa watu wenye mapenzi ya dhati na wanaojitambua sizani kama distance ni kikwazo hususan kwa nyakati hizi za teknolojia.
Mkuu hicho "kimalkia" hapo kati kmeniacha kando kdogo .... kiasi cjakupata freshLong distance relationship never succeed I say this with time and effort love will fond its a way gap lililopo ndio linalozalisha sintofahamu nying ambzo zntengneza mlango wa kutokea
Not only DISTANCE between the 2 loved ones ..... but also the TIME spent in the relationship .... Both of the 2 seem to pose a great HINDRANCE to make the dreams of this loved couple come into realitySio umbali tu bali hata mda kwa wapendanao unaathari kwa wapendanao,sisemei kuwa hii ni asili yao wanaume kuchepuka ila ni ukweli mtupu,wapendanao wanapokuwa kwenye mahusiano kwa mda mrefu mvuto baina yao hupungua ndio maana basi mwenzio anaweza vua nguo mbele yako na usishtuke kabisa
Ushaur mzurbila kua na hofu ya mungu moyoni, ni lazima roho ya usalit itakuandama na kujikuta umevunja amri ya sita! kikubwa inabd wote muwe ni wakuogopa dhambi na mungu atawaongoza, peke yko huwez, turudi kwa mungu yote yanawezekana.
cha mambo mengini nini kikwazo?
I can see that ur heart is genuineAisee its not an obstacle really but it induces so much pain sometimes, financil difficulties is always à headache when it comes to long distance relationship, Mfano hai naishi tanzania ,mpenzi wangu anaishi marekani, kwa kweli kujichanga kwenda kumtembelea trip go and return its à headache, am à victim still holding the string tight and i dont want to give up, it works only if your heart is genuine,