Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

Je ni kweli "distance" si kikwazo kwa wawili wapendanao?

Inategemea na sababu inayowafanya muwe mbali. Kama ni kwa ajili ya kutengeneza maisha mazuri hapo baadae...inawezekana mkaishi mbali mkiwa na malengo yanayofanana mkijua kwamba hayo mateso ni ya muda tu..ila faida yake itakuja kuwa nzuri na ya mda mrefu zaidi. (Hapa lazima muwe na malengo yanayofanana)
Zaidi ya hapo itakuwa ni ngumu sana.
 
Long distance relationship never succeed I say this with time and effort love will fond its a way gap lililopo ndio linalozalisha sintofahamu nying ambzo zntengneza mlango wa kutokea
 
Sijui kama distance ni kikwazo sema ina changamoto zake nyingi sana na kubwa ni upweke kati ya wapenzi hao.

Kwa watu wenye mapenzi ya dhati na wanaojitambua sizani kama distance ni kikwazo hususan kwa nyakati hizi za teknolojia.
 
Sio umbali tu bali hata mda kwa wapendanao unaathari kwa wapendanao,sisemei kuwa hii ni asili yao wanaume kuchepuka ila ni ukweli mtupu,wapendanao wanapokuwa kwenye mahusiano kwa mda mrefu mvuto baina yao hupungua ndio maana basi mwenzio anaweza vua nguo mbele yako na usishtuke kabisa
 
Maelezo yako yanatia moyo
 
Long distance relationship never succeed I say this with time and effort love will fond its a way gap lililopo ndio linalozalisha sintofahamu nying ambzo zntengneza mlango wa kutokea
Mkuu hicho "kimalkia" hapo kati kmeniacha kando kdogo .... kiasi cjakupata fresh
 
Sio umbali tu bali hata mda kwa wapendanao unaathari kwa wapendanao,sisemei kuwa hii ni asili yao wanaume kuchepuka ila ni ukweli mtupu,wapendanao wanapokuwa kwenye mahusiano kwa mda mrefu mvuto baina yao hupungua ndio maana basi mwenzio anaweza vua nguo mbele yako na usishtuke kabisa
Not only DISTANCE between the 2 loved ones ..... but also the TIME spent in the relationship .... Both of the 2 seem to pose a great HINDRANCE to make the dreams of this loved couple come into reality
 
Mapenz ya mbali ni mazuri sana kama ulienae nae ameridhika kwa kila hali, penz la mbali bila uaminifu ni baya sana na halidumu hata kidogo
Minji asisitiza UAMINIFU na KURIDHIKA ...... point taken dear
 
bila kua na hofu ya mungu moyoni, ni lazima roho ya usalit itakuandama na kujikuta umevunja amri ya sita! kikubwa inabd wote muwe ni wakuogopa dhambi na mungu atawaongoza, peke yko huwez, turudi kwa mungu yote yanawezekana.
 
Ushaur mzur
 
Aisee its not an obstacle really but it induces so much pain sometimes, financil difficulties is always à headache when it comes to long distance relationship, Mfano hai naishi tanzania ,mpenzi wangu anaishi marekani, kwa kweli kujichanga kwenda kumtembelea trip go and return its à headache, am à victim still holding the string tight and i dont want to give up, it works only if your heart is genuine,
I can see that ur heart is genuine

hongera sana!
 
Back
Top Bottom